Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Ahsante ndugu kwa comment yako hii.
Hakika ushauri wako ni mzuri sana
 
Naomba mods ikiwezekana huu uzi muuweke pale juu kabisa baada ya hilo tangazo la korona huenda ukachangia kwa kiasi kikubwa sana vijana kubadilika na kujikwamua. Ukichoka kusoma shuhuda hapa ambazo ukaona hazikusaidii wewe ni wakupuuzwa na hovyo kabisa.
 
Mkuu vipi tena, nini mbaya huko
 
Hili bandiko lako naomba walimu, mahakimu, polisi na watu wa afya wangeliona kwa kuwasaidia kama una rafiki ama ndugu kutoka katika sekta hizi umtag jamani.

Hapa niko baa na ka mwalimu fulani mpaka huruma kwa future yake asee
Ahaaaaaaaa umenikumbusha kuna ticha mmoja rafiki yangu damu amechongoka kama moja,yeye huwa habadilishi nguo anaweza vaa nguo moja hata wiki tatu bila kubadilisha hadi namuhurumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…