- Thread starter
- #221
Ahsante ndugu kwa comment yako hii.Mkuu wanawake tuwaheshim sana, mm niliharibu sana, niliishi ughaibuni nikija likizo naishia kumuita Malaya aje airport, nakula Bata hotelini nyumbani kwangu wiki iishe ndio nakwenda. That was my first chance, sikufanikiwa kujenga mapema, gari sikuwa nayo wala mradi wa maana, pombe na malaya ndio yalikuwa maisha. Shukuru una radhi za wazaz na labda ndio maana Mungu akakupa zawad ya mke. Kuna wenzio hawataman kurudi nyumbani,wake zao moto
Bora wewe ulikosea mapema, watu run 34 watoto wadogo
Aendelea na biashara zako, kazi usiache viendeshe kwa pamoja. Ni ushauri tu
Hakika ushauri wako ni mzuri sana