Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

Utajuaje kwamba ni wewe uliyezaliwa baada ya miaka 100?
Ukikaa kwa kutulia mahali tulivu huku ukiisikiliza pumzi yako kwa amani, utaanza kupata maono. Kuna baadhi ya vitu ambavyo utajikuta tayari una experience navyo

Enzi zile nikiwa kijana mdogo, mdogo wangu wa mwisho wa miaka 6 alifanikiwa ku-unlock locked system kwenye kompyuta, kitu ambacho kilowashinda wale mafundi electronic. Nakumbuka alimwambia Daddy washa kompyuta nikuoneshe kitu. Before, hakuwahi kuchezea maake ilikuwa ni marufuku, isitoshe alikuwa chekechea, tena kijishule kisicho na kompyuta. Kama maajabu, dakika 10 si nyingi kompyuta systems zikawa unlocked. Baada ya hapo, father akamruhusu kuwa anatumia. Cha ajabu data entry kwenye Excel alikuwa anafanya. Ni kwa vile tu tulikosa mahali pa ku-share hii record
 
Chai tupu kama hakuna roho mpya ni zilezile mbona hii idadi ya Bongo kwa Sasa haikuwa sawa tuchukulie tu miaka ya 1960s, pili km roho ni hai inasubiria kuuvaa mwili mwingine inapotezaje kumbukumbu.
Ngoja nijaribu kukuelewesha, Paka ana uwezo wa kubeba roho zaidi ya 7 kwenye mwili wake. Kama hizo roho zikiwa humanoloid, zinakuwa sawa na watu saba

Wanyama kama tembo na vifaru wanapotea kwa kasi kubwa sana. Kama walihifadhi roho za kibinaadamu kipindi cha nyuma, hao hao binadamu ndio wanaoexist kwa sasa. Vivyo hivyo kwa upotevu wa viumbe kama chatu

Idadi ya roho kipindi cha nyuma wakati wa LFP zilikuwa ni nyingi sana compare to nowdays ili kubalance kile tunakiita Eclogical System

In short: We tambua tu, baada ya kifo chako, utazaliwa upya, huenda pasi na kumbukumbu hata moja ama kwa kumbuka japo kwa uchache sana, isipokuwa tu kama utazaliwa kwenye namna tofauti na ubinadamu i.e mnyama ama mmea

Utazaliwa tena na tena...
 
Hivi vitu vikirishi sana mfano kwanini leo ndio najitambua MIMI KAMA MIMI katika hii dunia kama niliwahi kuishi kwa nini isiwe kipindi hicho hata kabla ya uwepo wa kalenda.
 
Ndo maana hua nikaaa pekee Angu hua kuna hisia zinanijia kana kwambaa sijui mm ni mwanajeshii sometimes naweza kukaa seheme nikapotea kweny mawazo kua nipo sehem nimevaa nguo za kijeshii mara sijui natoa amri…….. kuna kipind miaka ya nyuma pind nipo chuo nilkua nimepanga sehem na hapo nilipokua kulikua na mdada ni mjeshi asa kila yule dada akifua hizo uniform zake nikigusaa nasisimkaa kinomaa [emoji23] nikiwambia washikaji zangu wanambia ety nimefall in love daah [emoji23]….. ila kiukwel ule msisimko ulikua sio wa kimapenzii kabsaa kabsaa…… kuna siku nilkua natembea ghfla tu hizo hisia zikaniajia nikajikuta nakimbia kama nafanya jogging hiv zile wanazofanya wajesh asubh au jion so nikajiona nipo kambinii kabsaa nakimbiaa na washiikaji hata siwajuii nikakimbia kama dk mbili mwanangu mmoja akanistua oyaa unakimbia wap aaah aiseee nilijiona chiziiii…… kuna vitu ving tu nafanya mara nyingii sanaa

NB: nilienda hospital kupima afya ya akili lakiniii nikakuta nnautimamu kamilii hakuna shidaa

Sasa mleta mada kwaio inawezekana hii roho ishawah kua mjeshiii kipind hikoo isije ikawa kuna mtu anacheza na akili yangu
 
Wee jamaa umeenda mno[emoji23], kama hazipungui hizo roho sasa maana ake tubazaa kwa binary fussion? Badala ya kujaamiiana na skuizi watu wanatumia uzazi wa mpango.
 
Hamna kitu kama hicho kwa nini Sasa najifeel MIM KAMA MIM kwa kipindi hiki na sio yule, hii nafsi iliopo humu ya MIMI kama MIMi kwa wanyama inaenda na mimea, kama haiendi inaenda wapi? na ilitokea wapi kama kwa wanyama na mimea haipo na haijawahi kujifeel kama hivi sasa kwa kipindi chochote zaid ya sasa, na kwa nini isiwe mapindi hayo ikajifeel iwe Sasa tu.
 
Hakuna ukweli wowote,mbona sisi wengine hatukumbuki chochote kama tumewahi kuishi maisha ya nyuma?
 
Atakaesema hii ni chai na arogwe
 
Mimi huwa nina Ref. deja,vu
 
Kumbe roho ndo inatunza kumbukumbu sio akili? Basi wanasayansi wametudanganya sana.
 
Ipo hivi ilivyo ili huyo chanzo wa vyote azidi kubaki wa kipekee.

1. Mbingu na moto
2. Kuzaliwa tena
3. Hakuna maisha baada ya maisha haya (ukifa ndio umepotea)
4. Sisi ni mifugo ya muumba (ukifa ndio amekutwaa roho yako chakula chake).
5. Na zingine nyingi tu.

Chanzo cha haya yote ni mwanadamu kukosa uwezo wa kujua nini hutokea baada ya kufa, na kujaribu kufukunyua uhalisia wa maisha baada ya kufa. Kama alivyosahau maisha ya dunia ya tumbo la mama, ndivyo mwanadamu asivyojua nini kifuatacho baada ya kifo.
 
Hakuna ukweli wowote,mbona sisi wengine hatukumbuki chochote kama tumewahi kuishi maisha ya nyuma?
Mtoa mada kashasema miaka 100 ni kipindi cha kufuta kumbukumbu....kwa upande wangu sijakataa wala kukubali kwa huo muda inaweza kua pungufu au zaidi.

Na ndio maana salamu ya shikamoo iko kwetu kwa lugha zingine hakuna hata za kwetu za kienyeji hamna,na nilipata kuuliza kwa watu kadhaa majibu niliyopata ni kwamba mtoto mdogo kabisa hapo kwenye jamii yenu anaweza kua na soul ya muda mrefu kuliko mzee wa hapo,na hii inasababishwa na soul yake kuchelewa kupata mwili.

Mataifa makubwa kila kitu wanafanyia utafiti na ndio maana kwenye hiyo case uliyonikoti waliweza kuunganisha doti.

We endelea kushiba magimbi hapo kazuramimba mengine yaache kama yalivyo.
 
Melki the Storyteller mimi ni mtu mweusi (Mwa Afrika)
Je nikifa baada ya hiyo miaka 100 naweza kuzaliwa Mchina au Mwaarabu au au Mzungu? Au kama ulikuwa mwafrika hata hiyo miaka 100 unazaliwa mwafrika tena?
 
Wakati tunapata uhuru tulikuwa 2 million now tuko more than 60 million izi roho zingine zimetoka wapi?
 
Inamaana unaweza zaliwa hiyo miaka 100 hata kama watu hawadin? Au utazaliwa punda,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…