Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
- Thread starter
- #101
Ukikaa kwa kutulia mahali tulivu huku ukiisikiliza pumzi yako kwa amani, utaanza kupata maono. Kuna baadhi ya vitu ambavyo utajikuta tayari una experience navyoUtajuaje kwamba ni wewe uliyezaliwa baada ya miaka 100?
Enzi zile nikiwa kijana mdogo, mdogo wangu wa mwisho wa miaka 6 alifanikiwa ku-unlock locked system kwenye kompyuta, kitu ambacho kilowashinda wale mafundi electronic. Nakumbuka alimwambia Daddy washa kompyuta nikuoneshe kitu. Before, hakuwahi kuchezea maake ilikuwa ni marufuku, isitoshe alikuwa chekechea, tena kijishule kisicho na kompyuta. Kama maajabu, dakika 10 si nyingi kompyuta systems zikawa unlocked. Baada ya hapo, father akamruhusu kuwa anatumia. Cha ajabu data entry kwenye Excel alikuwa anafanya. Ni kwa vile tu tulikosa mahali pa ku-share hii record