Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

Acha uongo mkuu hata kwa macho hujawahi hata kumezea mate basi itakuwa mtakatifu maana kwenye maandiko yanasema ukitizama kwa tamaa imo, yaani tayari umezini kama ni kweli hata hii ujafanya naweka signecha ya dole kwenye pongezi
 
Acha utoto. Ndio maana zipo zinazovuta kama smaku na zingine kama mfuko wa Rambo
Utoto unao wewe, mwenye kujidai unajua kila kitu. Nimekueleza wanawake wana maumbile tofauti, ila.mwisho wa siku unaweza ukaamua raha unayotaka wewe..
 
Reactions: Pep
Unakosa raha sana mkuu, div one unakosa na ndoa unakosa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bila kuwa na maisha mazuri ni kazi bureee...kwamba niolewe nikaishi room 1 mandoo ya maji humo humo mapanga jiko la tambi,kitanda, tv,yaan vurugu tupuπŸ˜…πŸ˜…..waolewe tu aiseπŸ₯΅πŸ₯΅!
Pesa inaboost mapenzi mkuu...πŸ₯΅
Nimekubali kukosa vyote hapo juu...acha nipambane na hali zangu
 
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚..
 
usikae ivyo ivyo sasa, chini patafunika 😐😐😐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…