Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

Wala sishangai...kazi iendelee
 

Ana shida huyo we chepuka tu
 
Sio njia rahisi hasa kwa mwanaume rijali , kuna wanawake wengi nimeksona nao, kuna mmoja amewah kunivulia bikini [emoji160] ofisini nikajifanya nimezimia , huyo mpaka leo hatusalimiani ikawa ugomvi , sio njia rahisi kutunza agano la ndoa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukazimia tena aloo
 
una mzuga kwakuwa una jua yuko fb.
 
Inapendeza, ila yeye unakuta anachepuka kwa sana tu...
 
Ila jamani tuseme ukweli wanawake tunatwishwa sana mizigo .hiv kuna mwanamke tjmamu anayeweza vua kyupi ofisin iasbh na baridi na kichwan mzima kbs? .ungesema sehem za starehe sawa..ila ofisini?? Haya bwana
Ofisi yangu nimejiajiri na mimi ndio mkurugenzi wa kampuni, najua naongea nini
 
Mwaka na zaidi??

Hii imekaaje chief

Pole sana, regardless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…