Miaka 2 ya vita vya Israel dhidi ya Hamas, Hezbollah na Houthi. Nani kashinda?

Miaka 2 ya vita vya Israel dhidi ya Hamas, Hezbollah na Houthi. Nani kashinda?

Kila vita lazima kuwa na mshindi kwenye vita hivi Israel kaibuka kidedea kwa kishindo kikubwa na malengo yake ya kivita aliyojiwekea yametimia.
Vita havina mshindi sababu una casualities na unachopata leo katika long term unaweza ukakipoteza kesho; Israel kapoteza allies Israel karudisha antisemitism duniani; Israel karudisha ugaidi maradufu; Ugaidi ni Ideology kwamba mtu akiona anasumbuliwa hivyo anapambana kwahio dawa sio kuendeleza muendelezo uleule wa kuwapa fodder magaidi bali kuondoa hio fodder
Malengo ya Hamas hakuna hata moja lililotimia hivyo ameshindwa. Kilichobaki kwa magaidi hao ni kujifariji na kujipa moyo tu kwa kusema “ Hakuna Mshindi”
Hamas ni kina nani ? Hamas ni wanamgambo; Hamas wapo sababu kuna watu wanaona kuna shida kwahio wanahitaji mtetezi (na mtetezi kama sio Hamas leo kesho kitakuja Kikundi chochote kile kingine) kufanya yale yale...,
 
Kupoteza allies 100 wakati bado USA bado unaye, hakuna hasara
Kuwa nae USA ndio kulisababisha ndugu zetu wa Kenya na Tanzania kupata majeraha kwenye Ubalozi wa Tanzania na Kenya - Kazi ambayo aliweza kuifanya Osama bila kukutana na hao magaidi bali ni ile Idea (Ideology)

Sasa unadhani huu Upuuzi aliofanya Trump na Jamaa yake italeta watu kama hao miaka 20 ijayo wangapi ?!!!!

Busara walifanya kina Yitzhak Rabin kwa kuonyesha sisi wabaya bali hao wanaowaabia mjilipue ndio wabaya (kuondoa fodder kwa recruiters); Sasa hivi mnawapa sababu brain-washers kupata wanajeshi zaidi (ndugu yako anaweza akawa recruited na kulipua nyumba yenu) that how these things work (na zinaweza kuondolewa kwa education na sio mabavu)

Hata kina Ayatollah wa Iran kupata kwao nguvu ni kwa msaada wa USA na UK kwa kusaidia kwa kuangushwa serikali ya IRAN;

 
Two years ago, Yahya Sinwar made the worst military decision in history which resulted in:

  • The collapse of Hamas
  • The ruination of Gaza
  • The crippling of Hezbollah
  • The destruction of Beirut and South Lebanon
  • The elimination of the IRGC top brass
  • The Israeli anti-war Left with zero power or influence, and a revitalised right wing
  • Renewed efforts by Israeli Jews to settle Gaza
  • The final nail in the coffin for a two state solution
  • The assassination of Haniyeh
  • The assassination of Nasrallah
  • The assassination of Deif
  • The assassination of EVERY HEZBOLLAH LEADER
  • The assassinations of Salami, Bagheri, Hajizadeh and other IRGC commanders
  • The killing of Sinwar himself
  • The weakening of Khamenei's Axis
  • The collapse of the the Syrian regime with its supply routes to Hezbollah
  • The rise of Israel as a regional superpower with two fewer fronts to worry about
  • The rise of Bibi Netanyahu as a leader of action, as opposed to a hesitant man who prefers the status quo pre-07/10
  • The destruction of the regime in Iran's image as a powerful actor with powerful proxies

07/10 was supposed to be the end of Israel but instead became the end of everyone who planned it.
Ni lini wapalestina waliwahi kuwa na jeshi?.
 
In the first phase of the ceasefire plan, Israel will remain in control of nearly 60 percent of the Gaza Strip.
 
I
Vita havina mshindi sababu una casualities na unachopata leo katika long term unaweza ukakipoteza kesho; Israel kapoteza allies Israel karudisha antisemitism duniani; Israel karudisha ugaidi maradufu; Ugaidi ni Ideology kwamba mtu akiona anasumbuliwa hivyo anapambana kwahio dawa sio kuendeleza muendelezo uleule wa kuwapa fodder magaidi bali kuondoa hio fodder
Usifikiri wote humu ni wajinga kama wewe!! Kwani Kati ya Magaidi wa Hamas na Israel nani ana causalities wengi? Istoshe kuwa na casualties wengi au wachache hakukupi wewe Ushindi!!


Ushindi katika vita unamaanisha kushinda au kufaulu katika mzozo wa kijeshi ambapo upande mmoja unawashinda wapinzani wao. Hii i pamoja na kufikia malengo ya kimkakati, kama vile kuteka eneo, kuwashinda adui, au kufanikisha maslahi ya kitaifa. Ushindi unaweza kupimwa kwa njia za kijeshi (kushinda vita), kisiasa (kufikia amani wenye manufaa kwako), au kiuchumi (kupata rasilimali).

Umeongelea kuwa Israel imepoteza Allies hiyo haina maana yoyote ile maana pamoja na kupoteza hao Allies wanafiki Israel ili endelea kupata ushindi kwenye uwanja wa medali viongozi wa Magaidi na magaidi wenyewe mvua za masika ziliwanyeshea bila wasiwasi wowote kwa hiyo Allies wanafiki hawakuleta madhara yoyote katika vita na magaidi hao!!!
Hamas ni kina nani ? Hamas ni wanamgambo; Hamas wapo sababu kuna watu wanaona kuna shida kwahio wanahitaji mtetezi (na mtetezi kama sio Hamas leo kesho kitakuja Kikundi chochote kile kingine) kufanya yale yale...,
Hamas ni Magaidi na si wanamgambo kama unavyosema magaidi kama Hamas, Hezbollah au Houth hawahitaji kuungwa mkono na wapenda Amani maana ni Magaidi. Wajinga na Wapumbavu tu kama wewe ndiyo wanaweza kuwaunga mkono magaidi hao!!!
 
I

Usifikiri wote humu ni wajinga kama wewe!! Kwani Kati ya Magaidi wa Hamas na Israel nani ana causalities wengi? Istoshe kuwa na casualties wengi au wachache hakukupi wewe Ushindi!!
Unajua hata maana ya Ugaidi ?!! Anachofanya Israel sasa hivi ni Ugaidi ; Na anachoendelea kufanya ni kwamba kinazalisha zaidi magaidi kwa kukupa elimu matumizi ya Terror katika kudai madai yako ndio ugaidi wenyewe....
Ushindi katika vita unamaanisha kushinda au kufaulu katika mzozo wa kijeshi ambapo upande mmoja unawashinda wapinzani wao. Hii i pamoja na kufikia malengo ya kimkakati, kama vile kuteka eneo, kuwashinda adui, au kufanikisha maslahi ya kitaifa. Ushindi unaweza kupimwa kwa njia za kijeshi (kushinda vita), kisiasa (kufikia amani wenye manufaa kwako), au kiuchumi (kupata rasilimali).
Unajua mgogoro huu ulianza lini na vipi ? na kinachotokea leo kitamaliza mgogoro huo kwamba watu watakuwa safe ? Israel alikuwa akipata shida miaka mingi sana kwa Antisemitism sasa hivi imerudi kwa kasi; Juzi tu hapa kuna gaidi kavamia Synanogue kule Manchester; Rants za kuwabagua Jews zimeanza kurudi sehemu tofauti (jambo ambalo kizazi hiki kilishaona ni upuuzi) lakini ametengeneza kizazi ambacho kesho kitarudia shida ambazo alizipata kabla; Unadhani Hitler aliweza vipi kuwa-convinse watu kuwa-exterminate jews kama sio hatred na antisemitism ; Kwahio kurudisha hio hali wewe ndio unaona ni ushindi ?!!!!
Umeongelea kuwa Israel imepoteza Allies hiyo haina maana yoyote ile maana pamoja na kupoteza hao Allies wanafiki Israel ili endelea kupata ushindi kwenye uwanja wa medali viongozi wa Magaidi na magaidi wenyewe mvua za masika ziliwanyeshea bila wasiwasi wowote kwa hiyo Allies wanafiki hawakuleta madhara yoyote katika vita na magaidi hao!!!
Unadhani urafiki wa Nchi kama Canada na Great Britain una faida ndogo kwa Israel ? Unajua ushirikiano uliopo na uliokuwepo kati ya hizi nchi ? Au unadhani allies ni kunywa kinywaji na kupigiana simu ? Unaweka all your goodies kwenye one basket na basket yenyewe ni kwa administration itakayokuwepo kwa miaka minne alafu inaondoka ?
Hamas ni Magaidi na si wanamgambo kama unavyosema magaidi kama Hamas, Hezbollah au Houth hawahitaji kuungwa mkono na wapenda Amani maana ni Magaidi. Wajinga na Wapumbavu tu kama wewe ndiyo wanaweza kuwaunga mkono magaidi hao!!!
Wanamgambo hawawezi kuwa magaidi ? Hata individual wewe unaweza ukawa gaidi ni means unazotumia kutekeleza matakwa yako na kwa Israel kuua watoto na watu wasio na hatia (kama taifa) ni kuongeza fodder kwa watu wenye hasira na nothing to loose ambao kesho na keshokutwa watakuwa tayari kufa na kujilipua kwa ajili ya imani yao (na catalyst ya kufanya hivyo itakuwa ni Israel yeneywe) Ni vita na invisible enemy anyone can turn against you kutokana na hatred ambayo ni wewe ndio umeikuza kwa kutumia strategy za kipuuzi....
 
Unajua hata maana ya Ugaidi ?!! Anachofanya Israel sasa hivi ni Ugaidi ; Na anachoendelea kufanya ni kwamba kinazalisha zaidi magaidi kwa kukupa elimu matumizi ya Terror katika kudai madai yako ndio ugaidi wenyewe....
Kilichofanyika Oct 07,2023 ni Ugaidi na Israel iliyokuwa inadai mateka waliotekwa na magaidi hao warejeshwe huo si Ugaidi!! Labda tu ninyi Waarabu-koko ndiyo mmegeuza maana ya Ugaidi kuwa upigania uhuru kitu ambacho ni uongo uliopindukia!!
Unajua mgogoro huu ulianza lini na vipi ? na kinachotokea leo kitamaliza mgogoro huo kwamba watu watakuwa safe ? Israel alikuwa akipata shida miaka mingi sana kwa Antisemitism sasa hivi imerudi kwa kasi; Juzi tu hapa kuna gaidi kavamia Synanogue kule Manchester; Rants za kuwabagua Jews zimeanza kurudi sehemu tofauti (jambo ambalo kizazi hiki kilishaona ni upuuzi) lakini ametengeneza kizazi ambacho kesho kitarudia shida ambazo alizipata kabla; Unadhani Hitler aliweza vipi kuwa-convinse watu kuwa-exterminate jews kama sio hatred na antisemitism ; Kwahio kurudisha hio hali wewe ndio unaona ni ushindi ?!!!!
kujua au kutokujua mgogoro huo ilianza lini si sababu bali sababu kubwa ni Ugaidi wa waarabu na chuki zao dhidi ya wayahudi. Toka miaka ya 1999 waarabu wengi walivamia nchi za Ulaya na Marekani wakisingizia ukiukwaji wa Haki za binadamu katika nchi zao, Kwa bahati mbaya sana nchi hizo ziliwapa hifadhi na Uraia katika nchi zao kitu ambacho sasa hivi wanajuta kwa nini waliwakaribisha Nyang’au hao. Sasa hivi wanafanya maandamano yasiyo na tija katika nchi hizo wanabaka na kuua watu katika nchi hizo kisingizio ni chuki zao dhidi ya Wayahudi!!!

Kwa sasa nchi za Ulaya na Marekani wanajuta kabisa kuwakaribisha washenzi hao kila siku wanafanya maandamano kuhusu Gaza ukiwaambia nendeni maandamano huko Gaza hawataki kabisa huo ni ujinga wa waarabu kuvuruga nchi za watu kwa kupeleka desturi zao za kipumbavu!!
Unadhani urafiki wa Nchi kama Canada na Great Britain una faida ndogo kwa Israel ? Unajua ushirikiano uliopo na uliokuwepo kati ya hizi nchi ? Au unadhani allies ni kunywa kinywaji na kupigiana simu ? Unaweka all your goodies kwenye one basket na basket yenyewe ni kwa administration itakayokuwepo kwa miaka minne alafu inaondoka ?
Hao unaowasema wewe Allies wamezuia nini katika vita vya Gaza? Maana Israel toka mwanzo wa vita malengo yake hayajakwama popote yanazidi kutimia baada ya mkataba huu kukubalika baada ya Kipondo cha kufa mtu wanachopata magaidi wa Hamas hivyo sijaona hasara ya kuwakosa hao Allies wanafiki nilichokiona ni ushindi dhidi ya magaidi wa Hamas tu. Kwa taarifa yako tu Uingereza na Canada wanaitegemea sana Israel kuliko Israel inavyowategemea wao!! Kwa hiyo kuwakosa hakuna hasara yoyote inayoweza kuisababisaha Israel ishindwe kufanya Operation zake huko Gaza!!!
Wanamgambo hawawezi kuwa magaidi ? Hata individual wewe unaweza ukawa gaidi ni means unazotumia kutekeleza matakwa yako na kwa Israel kuua watoto na watu wasio na hatia (kama taifa) ni kuongeza fodder kwa watu wenye hasira na nothing to loose ambao kesho na keshokutwa watakuwa tayari kufa na kujilipua kwa ajili ya imani yao (na catalyst ya kufanya hivyo itakuwa ni Israel yeneywe) Ni vita na invisible enemy anyone can turn against you kutokana na hatred ambayo ni wewe ndio umeikuza kwa kutumia strategy za kipuuzi....

Wakati mwingine Tumia akili zako vizuri!!! Oct 07,2023 Magaidi walipovamia huko Israel waliua wanawake, watoto wanaume hao kwenu ninyi hawakuwa watoto? Mmekaririshwa na Propaganda za waarabu wanatafuta huruma kutoka jumuia za kimataifa wanasingizia wanawake na watoto ili Israel iache kupambania mateka wake kuachiwa!,, jiulize inakuwaje watoto tu ndiyo wauwawe? Kwa nini wazazi wao wasiwakinge kwa kuwaweka sehemu salama? Kwa nini wakubwa hawatangazwi sana kufa wanatangazwa watoto tu? Au Magaidi hao wanawatumia watoto kama Kinga kama ilivyo kawaida ya magaidi kuwatumia wanawake na watoto kama Kinga? Kama una akili timamu jiulize maswali hayo then ujijibu mwenyewe hapo ndipo utagundua unashabikia upuuzi kabisa!!!
 
Mwenyezi awajalie rehema zake wale wote waliokufa mashahidi katika kudai haki za wapalestina.
mwenyezi si mjinga kama unavyofikiria wewe!!! Hamas walifanya Ugaidi Oct 07,2023 wakabaka watu, wakatesa watu, wakateka watu na kuua watu 1,200 kwa siku moja harafu wewe unakuja na uongo kuwa mwenyezi awarehemu Wabakaji,watesaji, watekaji na wauaji kama Wapalestina!!! Basi huyo atakuwa si mwenyezi bali atakuwa mwenyezi wa MICHONGO!!!
 
Kilichofanyika Oct 07,2023 ni Ugaidi na Israel iliyokuwa inadai mateka waliotekwa na magaidi hao warejeshwe huo si Ugaidi!! Labda tu ninyi Waarabu-koko ndiyo mmegeuza maana ya Ugaidi kuwa upigania uhuru kitu ambacho ni uongo uliopindukia!!
Aliyesema sio ugaidi ni nani ? Huo ni ugaidi ndio na bado ugaidi utaongezeka zaidi sababu recruiters wamepewa fodder na reason zaidi, mtu anaye-brain wash watoto hapati kazi tena ni kucheza video tu za mabomu yanayopigwa au watoto kuuliwa au watu kunyimwa chakula (kwa chakula kutumika kama silaha ya kivita) Huenda ugaidi wa jamaa aliyetaka kuleta madhara kwenye Synagorge kule Manchester asingefanya hivyo sababu kulikuwa hakuna sababu - Haya mambo hayahitaji mihemko yanahitaji long term education ili kuondoa uwezekano wa brainwashing yanahitaji kujitofautisha na wao ili wote tupambane na Magaidi na sio kufanya Ugaidi ili eti kuondoa Ugaidi (only a myopic ego driven Psychopathy will do such a thing)
kujua au kutokujua mgogoro huo ilianza lini si sababu bali sababu kubwa ni Ugaidi wa waarabu na chuki zao dhidi ya wayahudi. Toka miaka ya 1999 waarabu wengi walivamia nchi za Ulaya na Marekani wakisingizia ukiukwaji wa Haki za binadamu katika nchi zao, Kwa bahati mbaya sana nchi hizo ziliwapa hifadhi na Uraia katika nchi zao kitu ambacho sasa hivi wanajuta kwa nini waliwakaribisha Nyang’au hao. Sasa hivi wanafanya maandamano yasiyo na tija katika nchi hizo wanabaka na kuua watu katika nchi hizo kisingizio ni chuki zao dhidi ya Wayahudi!!!
Again myopic thinking; mimi naongelea suala la ugaidi (terrorism) kwa jamii yoyote baina ya nyingine no matter sababu ni nini wewe unaleta xenophobia unaongelea miaka ya 1999 ya jana utadhani historia ilianza juzi.., ndio maana hujui hata hayo matatizo ya 1999 ni kwamba yaliletwa na action ya kabla ya hapo (action and reaction are equal and opposite); Lakini uzuri ni kwamba tulianza kutoka huko Gen Z walianza kuwa educated na wagumu kuwa brainwashed na walianza wenyewe ku-react against their own regimes..., upuuzi na matendo yaliyofanyika tena sasa hivi ni kwamba yamewapa recruiters and extremists fodder ya kuweza kupata tena wafuasi (kwa upuuzi anaofanya, aliofanya na anaendelea kufanya Israel); Kama kweli intelligensia yake ni kubwa kwanini asiue hao wabaya (kwa ujasusi) na kuwapa elimu kwa wanaowalinda kwamba wale ndio wabaya (mbona ndio mbinu alizokuwa anatumia USA / UK za kuua watu na ku-topple regimes kwa manufaa yake na bado anasifiwa kwamba ni mtu mzuri (hivyo kutokuongeza magaidi)
Kwa sasa nchi za Ulaya na Marekani wanajuta kabisa kuwakaribisha washenzi hao kila siku wanafanya maandamano kuhusu Gaza ukiwaambia nendeni maandamano huko Gaza hawataki kabisa huo ni ujinga wa waarabu kuvuruga nchi za watu kwa kupeleka desturi zao za kipumbavu!!
Kila anayeandamana Ulaya na Marekani ni Muarabu ?!!! Na unajua disruption kubwa katika huu ulimwengu imefanywa na Ulaya na Marekani ? Hivi unajua hata matatizo ya IRAN ya leo yalisababishwa na USA na UK kuangusha Demokrasia (Serikali ya IRAN) sababu ya kulinda maslahi ya Kampuni za Mafuta za UK... Ushauri wa bure sasa hivi information ipo wazi huu muda wa kubwabwaja haja ungeutumia vema kujielimisha mambo yanavyokwenda duniani..
Hao unaowasema wewe Allies wamezuia nini katika vita vya Gaza? Maana Israel toka mwanzo wa vita malengo yake hayajakwama popote yanazidi kutimia baada ya mkataba huu kukubalika baada ya Kipondo cha kufa mtu wanachopata magaidi wa Hamas hivyo sijaona hasara ya kuwakosa hao Allies wanafiki nilichokiona ni ushindi dhidi ya magaidi wa Hamas tu. Kwa taarifa yako tu Uingereza na Canada wanaitegemea sana Israel kuliko Israel inavyowategemea wao!! Kwa hiyo kuwakosa hakuna hasara yoyote inayoweza kuisababisaha Israel ishindwe kufanya Operation zake huko Gaza!!
Again myopic thinking hivi unajua Israel alivyozungukwa hapo Middle East sio Kisiwa ? Na pia wote wanaomzunguka sio kwamba ni kitu kimoja Unajua Iran kuna kipindi alikuwa hapendi kina Egypt (waarabu) hivyo kutokuwapa msaada katika six days war ? Pia unaongelea vitu vya kigaidi ukidhani kwamba ni kama mpira timu hii inakaa huku na ile kule alafu mnapigana (lakini sio hivyo ni ideology fulani ambayo kuivunja ni kwa kutumia Hoja na Elimu) ndio maana USA aliwashindwa Somalia mpaka kuondoka sababu hujui adui ni nani na hata mtoto mdogo anayecheza hapo mtaani anaweza akavaa Bomu na kuwalipua (sababu ameshaona ukandamizwaji mkubwa na kutokupewa Haki, hana hope na nothing to loose) yupo tayari kufa ili mradi na nyie mfe..., By the way ungejua historia ungetambua hilo sio jipya hata Japan walikuwa na Kamikaze Warriors....
Wakati mwingine Tumia akili zako vizuri!!! Oct 07,2023 Magaidi walipovamia huko Israel waliua wanawake, watoto wanaume hao kwenu ninyi hawakuwa watoto?
Aliyesema Hamas sio Gaidi ni nani ? Hivi hata unatumia logic ? Kwahio gaidi akifanya ugaidi katika Mtaa mmoja wewe ukaende kufanya Ugaidi katika nchi nzima wewe unakuwa sio Gaidi sababu wao waliua watoto na wewe ndio unaua watoto ? Hizi akili za wapi hizi au ndio ushabiki maandazi na mihemko.....
Mmekaririshwa na Propaganda za waarabu wanatafuta huruma kutoka jumuia za kimataifa wanasingizia wanawake na watoto ili Israel iache kupambania mateka wake kuachiwa!,, jiulize inakuwaje watoto tu ndiyo wauwawe? Kwa nini wazazi wao wasiwakinge kwa kuwaweka sehemu salama? Kwa nini wakubwa hawatangazwi sana kufa wanatangazwa watoto tu? Au Magaidi hao wanawatumia watoto kama Kinga kama ilivyo kawaida ya magaidi kuwatumia wanawake na watoto kama Kinga? Kama una akili timamu jiulize maswali hayo then ujijibu mwenyewe hapo ndipo utagundua unashabikia upuuzi kabisa!!!
Haijalishi watoto wametumiwa kama kinga au lah dunia kama wastarabu kuna sheria tumejipangia kwamba huwezi kufanya hiki au kile (kuna weapons of mass destruction) wengi wanazo ila hawawezi kuzitumia sababu ya makatazo haya; kuna sehemu ambazo zina civillians sio kwamba mabomu hayawezi kufika ila watu wenye busara hawatumii hizo mbinu; sababu after all zina-defeat the purpose ambayo ni kwamba watu wamekuwa magaidi in the first place kwa kuona wanaonewa sasa kuwaonea kwa uwazi na kuua wazazi wote na mtoto kubaki yatima huyu mtoto ni kwamba umetengeneza Mnyama na mtu hatari sana kwa dunia ya kesho.... Mkuu hii sio karne ya conqering na kusema kwamba nchi yangu ina ardhi kubwa..., hii ni karne ya Imperialism na soft colonialism ndio maana hata Great Britain ilikuwa Empire iliyopo duniani kote ila mwisho wa siku waliona that way ya MABAVU does not cut it anymore.... It was a loosing battle sooner rather than later
 
Acheni longo longo hapa vita lazima watu wafe mlitaka watu wasife? Kama kiongozi ambaye watu Iran walitamani awepo ni Qassim Suleman lakini aliuliwa na Trump, je Leo Iran hawapeleki moto kisa alikufa Suleman? Watu Wana replacement ndugu.?
Wazee wa kulia Lia mna penda kujifariji na utetezi wenu uchwara
Cc.
gallow bird
 
Hamas hawana jeshi official bali militias (mgambo) kwa msaada wa Iran
Sasa uoni kuwa mshindi ni mgambo(Hamas) ambaye anatumia vifaa duni dhidi ya taifa moja lenye zana za kisasa na huku likisaidiwa kwa vifaa na fedha na nchi zenye majeshi imara?.
 
Back
Top Bottom