Miaka 20 plus unamuonesha nani? na ili iweje? ujinga ujinga tu

Kuna jambo ambalo binafsi huwa linanikera sana; kuona mtu amevaa nguo lakini nguo za ndani zinaonekana wazi. Kwa upande wa wanawake, wengine huvaa nguo nyepesi au zinazobana kiasi kwamba chupi inaonekana kwa urahisi,naye anaona yupo sawa tu ,na unakuta anakaa kwao anatoka mpaka ndugu zake wanamwona wala hajili au hata aibu halioni zamani huwezi kuta mama zetu wanavaa kama hivi vibinti vya 2004 huwezi kuta huu ujinga sijui wameutoa wapi .

Kwa upande wa wanaume, kuna wanaovaa suruali zilizoshuka hadi boxer kuonekana wazi wakiamini ni fasheni au mtindo wa kisasa. Boxer chenyewe sasa unakuta kichafu ops yaani kina rangi mbili wendawazimu tu unamwonyesha nani na ili iwaje nonsense.

Je, hii ni ishara ya kujiamini na kufuata mitindo ya mavazi ya sasa, au ni tabia inayopunguza heshima na staha katika jamii? Kwa maoni yenu, kuna tofauti kati ya fasheni na kuvaa kwa namna inayovutia umakini usio wa lazima?
Ningependa kusikia maoni yenu:
Kwa nini watu hufanya hivyo?
Je, mnadhani ni fasheni au kutafuta attention?
Kwenu ni jambo la kawaida au linawakera pia?
Bila shaka wewe ni Mtu 90's hukooo..... Tuachie sisi Gen Z tufanye Kila kituuu....Haturuki chochoteee
 
Utandawazi umekja kuharibu saana hichi kizazi ukiangalia mda mwingi mtoto hakai na mzazi wake mara yupo hapa yupo kule koo vinajilea vyenyewe Kwa kuiga vitu vya ajabu
 
Uvaaji wa namna hiyo hushusha heshima ndan ya jamii.
Na usiombe uwe huna kazi upoupo tu, aki utaitwa mwizi mtaan.

Na upande wa wanawake uvaaji wa kuonesha maungo nje nje watu hukutafsiri kama unajiuza, yaan wew malaya
Malaya ndio mtu anashindwa hata kujaladia vizury nguo watakuwa lini na baadaye atakuwa mzazi anawezaje kumlea mtoto wake huyu
 
1781775032523.gif
 
Sasa chupi yake wewe inakuhusu nini wacha wavae watakavyo nchi ishakuwa ya kiliberali hii
hapana mkuu.
Unajua mpaka makanisan wadada wanakuja wamevaa gaun linalo mchora shepu na trako.
mpaka chupi ilipoishia unaiona kabsa ile mikanda.

Sasa upo zako unakemea kwa jina la yesu mala mbele yako unaona mikanda ya chupi, si atakutoa kweny uwepo wa Mungu
 
Ningependa kusikia maoni yenu:

Kwa nini watu hufanya hivyo?

Je, mnadhani ni fasheni au kutafuta attention?

Kwenu ni jambo la kawaida au linawakera pia?
Hao wanawake wa hivyo wanaume tunaotaka kuwaoa tupo huku mimi siwezi kuoa mwanamke kajifunika mwili mzima yaan naona macho tu huyo no no no nataka nimuone nionyeshe eeh hivyo yaan sasa wewe endelea kujifunika mwili mzima
 
Malaya ndio mtu anashindwa hata kujaladia vizury nguo watakuwa lini na baadaye atakuwa mzazi anawezaje kumlea mtoto wake huyu
afu siku hizi na vitenge hawavai kabsa.

Na kizaz chake lazim kiwe kibovu tu, mama/baba hawez kumkanya mwanae tabia ambazo yey mwenyew mzazi anazifanya na anaona yupo sahih
 
hapana mkuu.
Unajua mpaka makanisan wadada wanakuja wamevaa gaun linalo mchora shepu na trako.
mpaka chupi ilipoishia unaiona kabsa ile mikanda.

Sasa upo zako unakemea kwa jina la yesu mala mbele yako unaona mikanda ya chupi, si atakutoa kweny uwepo wa Mungu
Hapo ndio kosa sasa nyumba za ibada ziheshimiwe zaid maeneo mengine wacha wajimwae na hii tabia hasa ukanda wa pwan hii tabia huwez ikuta RUNGWE TUKUYU
 
hapana mkuu.
Unajua mpaka makanisan wadada wanakuja wamevaa gaun linalo mchora shepu na trako.
mpaka chupi ilipoishia unaiona kabsa ile mikanda.

Sasa upo zako unakemea kwa jina la yesu mala mbele yako unaona mikanda ya chupi, si atakutoa kweny uwepo wa Mungu
Usikubali kutoka kwenye uwepo wa Mungu badala yake jiondoe kwenye uwepo wa hivyo vileta mauti
 
Back
Top Bottom