😀😀😀sio kweliMMU part nasikia ilikua ukienda tu lazima upatane na mchuchu wa maana.
We had a beautiful JFAisee ni kipindi kile cha white party au mishe mishe za kodi.
Iongezee nyama hii mkuu Mshana, au tuletee kauzi kabisa, ilikuwaje kuwaje?Matukio ni mengi ila ninalokumbuka sana ni binti mmoja wa JF aliyetoka nduki baa baada ya kujua kakaa na mzee za kilingeni ilikuwa 2014
what happenedIla JF usipokuwa makini unalizwa vibaya sana.. Kuna mbweha wengi sana tena wa jinsia zote lakini wamevaa ngozi za kondoo
Nimenusurika matukio mengi kiduchu nimepigwa😂
ngoja wakati nakuja kuchukua tuzo yangu ya mwezi Jan hapo ofcn lazima ule viboko😁 Shhhhh
Haya yanaandikwa na mtu ambae ni chawa.Makali ya nyuzi yamepoa siku hizi madogo wa content Creator kutoka tiktok wamezamia huku
Duh! Ebu share kwa uchache maana matapeli hayaishagi huku jukwaani.Ila JF usipokuwa makini unalizwa vibaya sana.. Kuna mbweha wengi sana tena wa jinsia zote lakini wamevaa ngozi za kondoo
Nimenusurika matukio mengi kiduchu nimepigwa😂