Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF?

Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF?

Niliwahi kwenda Ubungo stand by then kumpokea mgeni wangu toka JF
Kilichotokea huwa kinanichekesha mpaka leo

Akiwa yuko ubungo mataa akaporwa simu bahati nzuri nilikuwa nimeshamwambia nilivyovaa
Gari inaingia stand kati ya abiria 5 was kwanza kushuka nikamuona mmoja ananikimbilia
Basi nikampa pole ya safari nikabeba begi lake dogo mpaka kwenye gari tukasogea mpaka mgahawa mmoja ndani ya stand unaitwa Salamander

Sasa tunaanza kupiga story kuna mahali tukawa tunaachana..
Kwamfano Aliomba sehemu ya kuchaji simu, lakini akiwa kwenye basi alisema simu take iko full charge

Kwenye mavazi akadai aidha nimemdanganya au sijui rangi.. Nikabaki kushangaa

Baada ya dakika kadhaa simu yake ikaita .. Kumbe mtu wake alimpokea mtu watu na kinyume chake
simu ikaitaje wakati ameibiwa?
 
1. DDOS ATTACK
2. KUZiMWA INTERNET NA KUIKOSA JF
3. KuFUNGWA KWA JUKWAA LILEEEE PENDWA
JLW (R.I.P)🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli Kuna mengi ya kumbukumbu Kuna mtu alikua yupo jukwaa la Dini alikua wa moto sana anatoa parables unasema mtakatifu Petro tunae huyu hapa🤣🤣. Na jukwaa la JLW unamkuta pia yupo moto zaidi, alikua ananichekesha sana ukimuuliza anasema Ya kaisari mpe kaisari ya Mungu mrudishieni Mungu..
multiple Certified Hater once a hoe always a hoe.🤣🤣🤣
 
Najua nikanzisha tu ngumi zitarushwa na hivi mambo si mambo, watu wamepigwa tobo..!! 😹😹😹

We mtoto em tulia nisije kutamwaga hapa bure na dada yenu tena km mnavyonijua friji langu haligandishi..!! Haiiiyaaaaaa
We mwaga bwana sie tusha kuzoea hivyohivyo 😆😆 mods wameshapumzika mida hii, wa kuuana wauwane tuu! weka mambo hapo la mama👌🏽
 
Back
Top Bottom