Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF?

Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF?

Ule Uzi hausikii dawa wala maombi ni humu tu..!! 😹😹

Umenisababishia ban nyingi sana ule.
Siku kesi ya Samia ikianza naenda kuufufua kwa kishindo mana nna miubuyu mizito na mimi kutunza siri za watu ambazo wenyewe wameshindwa kuzitunza mhmm SIWEZIII

NAYAMWAGA MWENYE PURESHA ATAPAMBANA NA HALI YAKE..!! HAIIYAAAA 🤸‍♀️
Mhmm
 
Nilipata mgeni toka Kenya tulifahamiana JF.. Akasafiri mpaka bongo nikampokea.. Akawa anashinda kwenye pub yangu kwa raha zake

Akaanshisha mahusiano na bar maid Wang u mmoja..😀 wakawa wanapika na kupakua.. Kumbe yule barmaid jamaa take ni hawa madereva wa masafa..
Huyu mgeni wangu akawa anataka sana kufika beach ya kigamboni nikamuomba sana asubiri ifike weekend nimpeleke
Kumbe siku moja ijumaa akawa kazinguana na yule dem basi jamaa akafosi kwenda beach..
Nikiwa sijui ana stress nikamuelekeza nagari ya kufika ferry
Akafka vizuri tu na kupanda panton .. Kufika katikati ya maji akajirusha!
Aliokolewa hakufa ila ile kesi ilinisumbua sana!
Nikaweka uzi hapa kutafuta msaada nikaishia kuitwa tapeli na haters😂
PENZI LA BARMAID.

Mshauri jamaa yako aandike kitabu.
 
Sitosahau kuna wadada walirusha humu kibumbu cha mwenzao live live😅😅

Yule dada asee apewe kesi ya uhaini😅 hajataka mambo mengi kashusha mzigo shwaaa alafu huyo akatelezaa, nilimkubali sana asee sema hajaonekanaga hadi leo sijui yupo wapi. Aliacha kutumia jf mazima
 
Back
Top Bottom