Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF?

Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF?

Ule Uzi hausikii dawa wala maombi ni humu tu..!! 😹😹

Umenisababishia ban nyingi sana ule.
Siku kesi ya Samia ikianza naenda kuufufua kwa kishindo mana nna miubuyu mizito na mimi kutunza siri za watu ambazo wenyewe wameshindwa kuzitunza mhmm SIWEZIII

NAYAMWAGA MWENYE PURESHA ATAPAMBANA NA HALI YAKE..!! HAIIYAAAA 🤸‍♀️
😂😂😂😂😂😂😂
 
Wakati jf ina miaka 20 mimi nina mwaka wa 13 hapa .
Nimwshudia vingi ila vya msisimko ni visa vya mmu, uzi wa selfika ,nk.
Kuna wakina mahondaw watrend Sana, wakina wangar mathar, yule dada wa mwanza aliye lipwa 650 kutoka mwanza, wakina cocastic wakina ,uzi wa vituko mtandaoni , uzi wa makapuku nk.

Yote ya yote jf imekuwa jukwaa kubwa na lenye hamasa chanya kwa jamii ya kiswahili.
 
Mahiii em tulia kwanza, soma upepo, mbona unataka kuanza kuyatinginyua mapema mnoo.

Na venye hadi VPN, ku type kunakua kugumu mweeeeeh.
😂😂😂😂😂😂😂
Uduguu wangu haya wala siyabwagi muda bado sanaaa!!

Raha ya miubuyu km hii inikute nishapiga vitu vyangu. Nimetulia na glass yangu ya shots pembeni nalianzisha huku napiga vitu vya muitaly.
Nasema uongo uduguu wangu? 😹😹😹

Aahaa udugu tulia sikurupuki miye mpk kiumbe majnuni aingie kwenye mfumo nianze shengesha langu. Na Uzuri nayaweza…!! 👌
 
Unakumbuka nini, tukio gani kila ukilikumbuka unaishia kucheka?

Vipi JF imekuletea michongo gani na connection ipi!

Umewahi kubahatika kuonana na member yoyote nje JF?

Unahisi miaka ya sahivi na miaka ile kuna utofauti gani hapa jukwaani.

Ulikuwa wapi kipindi kile ofisi za JF zinapigwa msako mkali? Au kipindi kile Makonda na Zitto wako active huku.

Unahisi saivi makali ya nyuzi ndani ya JF yamepoa au ndio yameongezeka.

Any story unaeza share.
Mwandiko wa Pdidy
Wakkahi ntachukua mda kuusahau
 
Back
Top Bottom