Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF?

Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF?

Kenya talk

Yaap hilo hilo...nimejaribu kuzama naona bado nipo active, wakati last login ilikuwa 2018

Screenshot_20260128_224601_Chrome.jpg
 
From NYC,Le Mutuz,Field Marshall,Sauti ya umeme na mkewe sijui flora mwamposya hapo bado wako US..
E bana waligeukana jamaa katoka baru,bongo nako noma tu Mutuz alisema mwenyewe karudi na dola 1000 tu.
Ndo wakaanza bifu huko na Mange Refa, watoto nao wamo wanamshambulia jamaa alikata moto fasta.
Huyo ndo mtu namkumbuka sana na kumuombea hero kabisa🙏
N̈i dola 500/=
 
Chacha Wangwe aliposhinda uchaguzi mdogo kule Tarime. Makamba aliaibika vibaya mno.Kipindi hicho cha Kikwete .Ila mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Kipindi hicho Kina Kikwete na CCM hawajagundua kuiba kura za ubunge kama alivyokuja kuwafundisha Magufuli.
 
Njuzi zilizonishika.
1. Utaki, unaacha. uzi uliokuwa ukielezea kisa cha waziri Mwakyembe na sumu ya pollenium 210. Uzi wa @jouson bourne
2. Geramino.
kisa cha kutekwa na kuuliwa kwa Osama bin Laden. Uzi wa habibu hanga a k.a the bold
3. Siku ya kwanza kupanda ndege, ushamba mzigo.
kule chitchat. Andaa mbavu. Nilicheka sana.
mwisho kabisa member niliokuwa nawapenda na kuwaheshimu Wapo wengi, ila kwa leo nitaje angalao wachache.
1. FaizaFoxy
2. Mzee Mwanakijiji
3. paskal mayala
4. Mshana Jr
 
Back
Top Bottom