cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂😂😂😂 hatariiii sana uduguu.Uduguu wangu haya wala siyabwagi muda bado sanaaa!!
Raha ya miubuyu km hii inikute nishapiga vitu vyangu. Nimetulia na glass yangu ya shots pembeni nalianzisha huku napiga vitu vya muitaly.
Nasema uongo uduguu wangu? 😹😹😹
Aahaa udugu tulia sikurupuki miye mpk kiumbe majnuni aingie kwenye mfumo nianze shengesha langu. Na Uzuri nayaweza…!! 👌
JF haipoi wala haiboi, kila mda ubuyu mpyaaa.
Wambea kazi ipooo mbona, 😂😂😂😂😂