Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF?

Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF?

Unakumbuka nini, tukio gani kila ukilikumbuka unaishia kucheka?

Vipi JF imekuletea michongo gani na connection ipi!

Umewahi kubahatika kuonana na member yoyote nje JF?

Unahisi miaka ya sahivi na miaka ile kuna utofauti gani hapa jukwaani.

Ulikuwa wapi kipindi kile ofisi za JF zinapigwa msako mkali? Au kipindi kile Makonda na Zitto wako active huku.

Unahisi saivi makali ya nyuzi ndani ya JF yamepoa au ndio yameongezeka.

Any story unaeza share.
Kuvuja kwa skendo ya demiss na zile picha zake.
 
Ule Uzi hausikii dawa wala maombi ni humu tu..!! 😹😹

Umenisababishia ban nyingi sana ule.
Siku kesi ya Samia ikianza naenda kuufufua kwa kishindo mana nna miubuyu mizito na mimi kutunza siri za watu ambazo wenyewe wameshindwa kuzitunza mhmm SIWEZIII

NAYAMWAGA MWENYE PURESHA ATAPAMBANA NA HALI YAKE..!! HAIIYAAAA 🤸‍♀️
liamshe basi unatuweka roho juu wambea 😁😅
 
JLW (R.I.P)🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli Kuna mengi ya kumbukumbu Kuna mtu alikua yupo jukwaa la Dini alikua wa moto sana anatoa parables unasema mtakatifu Petro tunae huyu hapa🤣🤣. Na jukwaa la JLW unamkuta pia yupo moto zaidi, alikua ananichekesha sana ukimuuliza anasema Ya kaisari mpe kaisari ya Mungu mrudishieni Mungu..
multiple Certified Hater once a hoe always a hoe.🤣🤣🤣
Kweli once a whore 😁😁😁
 
Tukio ambalo Sinto lisahau ni Utapeli wa Ontario Kwa members wa Jf na forex yake

Pia Mikasa ya ugomvi wa mahusiano Kwa Baadhi ya members wa Jf wanalombana Huko mitaani penzi likifa wanakuja kuraruana Huku


Jf ya miaka ya 2014 to 2019 was superb sio mchezo


Michango Bora ya great thinkers katika jukwaa la kimataifa na jukwaa la JI ni kitu ambacho mpaka Leo Nina kimiss hata jukwaa la MMU by that time haikuwa kitu Cha kukosa kabisa

Jf ilikuwa ya moto sanaaaa

Ukienda jukwaa la entertainment unakutana na simulizi za Patrick ck + Rala 1 🔥🔥🙌🙌 hapo lazima tu utalala saa 9 usiku

Riwaya kama ya Miss Tanzania peniela etc za Patrick ck zilikuwa zinanifanya nisipate usingizi
 
Back
Top Bottom