Hapa ndani kunawhat happened
Ni mengi sana nimekutana nayoDuh! Ebu share kwa uchache maana matapeli hayaishagi huku jukwaani.
Wakina Robert Heriel.Makali ya nyuzi yamepoa siku hizi madogo wa content Creator kutoka tiktok wamezamia huku
Pamoja nawe mkuu .. Yaliyotokea nje ya JF si vizuri kuyaleta hukuIongezee nyama hii mkuu Mshana, au tuletee kauzi kabisa, ilikuwaje kuwaje?
Happyy new year 2026 mkuu.
Huwa nikikumbuka na kuwawaza walioniletea hiyo michongo huwa nacheka sana😂 duh michongo ya kusota lupango kabisa hiyo.
Sio vizuri kumuanika Red black namna hii😂😂Niliwahi kwenda Ubungo stand by then kumpokea mgeni wangu toka JF
Kilichotokea huwa kinanichekesha mpaka leo
Akiwa yuko ubungo mataa akaporwa simu bahati nzuri nilikuwa nimeshamwambia nilivyovaa
Gari inaingia stand kati ya abiria 5 was kwanza kushuka nikamuona mmoja ananikimbilia
Basi nikampa pole ya safari nikabeba begi lake dogo mpaka kwenye gari tukasogea mpaka mgahawa mmoja ndani ya stand unaitwa Salamander
Sasa tunaanza kupiga story kuna mahali tukawa tunaachana..
Kwamfano Aliomba sehemu ya kuchaji simu, lakini akiwa kwenye basi alisema simu take iko full charge
Kwenye mavazi akadai aidha nimemdanganya au sijui rangi.. Nikabaki kushangaa
Baada ya dakika kadhaa simu yake ikaita .. Kumbe mtu wake alimpokea mtu watu na kinyume chake😂😂😂
Duh kwenye huko mkeka wote hapa sipoHapa ndani kuna
Walokole wa kweli
Walokole feki
Wezi
Majambazi
Matapeli
Matajiri
Watu wa connection za uhakika
Makuwadi
Viongozi
Wachawi😀
Walozii😀
Washirikina😀
Wasoma nyota😀
Waganga wa kienyeji😀
Wahuni
Wababaifu
Madanga
Mario nknk
Hata nakazalika wakazalika😀?Duh kwenye huko mkeka wote hapa sipo
Nakumbuka 2019 kuna Fala mmoja tunalewa wote kila mtu yupo bize jf kumbe ananitukana jf kwa I'd nyingine.Hata nakazalika wakazalika😀?