Miaka 22 ya TICTS nchini yafika mwisho, mamlaka ya bandari kutosaini mkataba mpya

Miaka 22 ya TICTS nchini yafika mwisho, mamlaka ya bandari kutosaini mkataba mpya

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,207
Reaction score
17,674
Bodi ya Mamlaka ya bandari nchini imekubaliana kutohuisha mkataba wa kampuni ya kupakua na kupakia makontena bandarini ya TICTS na badala yake itatafuta muwekezaji mwingine. Chanzo cha taarifa kinasema pande hizo mbili zilishindwa kufikia makubaliano baada ya mkataba wa miaka 5 kufikia tamati na baadae kuongeza mitatu.

Mwaka 2017 Rais Magufuli aliielekeza TPA kufanya mapitio ya mkataba wao na TICTS ikiwa ni miezi mitano baada ya CAG Assad kuonesha mkataba ulikuwa na mapungufu. Baada ya marekebisho Serikali iliweka tozo mara mbili yake kwa TICTS iliyokuwa inalipwa kwa mwaka kutoka $ milioni 7 mpaka 14 mwaka 2017.

Kwasasa TPA itaendesha gati namba 8-11 zilizokuwa chini ya sekta binafsi kwa miaka 20 sasa.

========

National
Ticts’ 22-year era over as TPA ends contract
Saturday, November 26, 2022


By Dickson Ng’hily
In-depth reporting & investigative journalist

Mwananchi Communications Limited

Summary
Ticts had a five-year lease agreement that expired on September 30, 2022 but it was extended for another three months to give more time for the two parties to discuss the possibility of contract renewal
Dar es Salaam. The Tanzania Ports Authority (TPA) will not renew its contract with the Tanzania International Container Services (Ticts) Limited, which has been handling containers at berths number 8 to 11 of the Dar es Salaam Port.


Reliable sources revealed that the TPA board has resolved to terminate the contract and look for another investor.

Ticts had a five-year lease agreement which expired on September 30, 2022 but it was extended for another three months to give more time for the two parties to discuss the possibility to renew the contract.

However, the source said the two sides failed to agree on renewal terms.

“The board of TPA agreed not to renew the lease contract with Ticts and look for another operator,” said the source who did not want to be named.

The board told the management to prepare a notice that will be served to Ticts, informing its resolve not to renew the agreement, in what the board described as to safeguard the interest of the authority, the government, and the nation at large. Efforts to get comments from Ticts did not materialize until the time of press.

Unfavourable offer
It is said that Ticts’ new offer for consideration of renewal of the lease agreement for another term entailed that the firm should be allowed to manage berths 8 to 11 as well as berths 5 to 7 on behalf of TPA.

The offer also stated that Ticts will pay a fixed annual rental of $30 million, escalating at three percent per annum; and that the firm will also pay a royalty fee of $29 per container of twenty-foot equivalent unit (TEU), escalating at four percent per annum; as well as requesting a suspension of key performance indicators (KPI) targets.

However, the government negotiation team ruled that the offer never met its requirements which includes an annual fixed rental of $30 million with effect from October this year, escalating at eight percent per annum.

The negotiation team also required a royalty fee of $29 per container, effectively from October this year and escalating at eight percent per annum thereafter.

The team also demanded the container output target as per the existing lease agreement of 2017, shall be calculated as 7.4 percent of the minimum guaranteed throughput of 657,946 TEU of year 2021 effectively from October 2022 escalating at 7.4 percent annually for the remaining term.

Ticts was also said to have provided conditions that could not be acceptable by the TPA, including a demand to suspend key performance indicators. TPA said could not have a contract that does not have functioning key performance indicators (KPIs), which determine the royalty payment.

The condition to manage berths 5 to 7 could also not be accepted because there are other plans currently being implemented by TPA at the respective berths.

TPA takes charge
TPA will now operate berths 8 to 11 that have been under the private sector for over twenty (20) years so as to get the revenues forecasted to be collected from cargo handled at those respective berths.

According to the source, in fact the initial term of the lease agreement between TPA and TICTS Limited expired at the end of September this year. And the negotiations between the Parties for renewal of the Lease Agreement failed after not agreeing on terms for renewal.

In 2008, Parliament passed a resolution instructing the government to terminate the contract extension. However, that was followed by a five-year contract extension in 2017.

In September 2017, President John Magufuli directed TPA to review its contract with Ticts. That came only five months after the CAG, Prof Musa Assad, revealed that the contract had numerous defects. After reviewing the contract in 2017, the government doubled the annual fee Ticts pays for leasing the lucrative container terminal from $7 million to $14 million.

Ticts was also required to ensure 37 percent annual growth of container traffic.
 
Best deal to make generational wealth..... just $30M and some fees which can be paid over a period of time... kina karamagi nadan wametosheka tu.. politics and politicians couldnt do them anything..

Congrants...
 
Best deal to make generational wealth..... just $30M and some fees which can be paid over a period of time... kina karamagi nadan wametosheka tu.. politics and politicians couldnt do them anything..

Congrants...
Duh
 
Hapo hamna kitu, ni janjajanja tu. TICTS watakuja kivingine kwa jina lingine au watakuwa ubia na new investor. Kama alimaliza mkataba halafu anapewa extension ya miezi mitatu kujadili mkataba mpya, nyie amshitukii dili?
Wewe uliona wapi kampuni inamaliza mkataba halafu anaongezewa muda ili wajadiliane halafu mbaya zaidi kampuni husika mkataba wa awali ili-underperform!!🤣🤣
 
Mkuu nakuelewa, naongea kama mfanyabiashara... .. hiyo chance usidhani Karamagi ameamua tu kuachia... if you real love this country heshimuni biashara za watu na mzitenge ba siasa za Uccm...

Otherwise..enjoy the show...

$30M ni peanut kwa straight business kama ya TPA
 
Mwisho wa TICS ni mwanzo wa TICS nyingine, kwa Tanzania tegemea yaleyale au zaidi ya yale, God father wa TICS hayupo sasa amelala Lupaso, shamba linawaniwa na wahuni wengine..
Dubai Port, bila shaka!
 
Mwisho wa TICS ni mwanzo wa TICS nyingine, kwa Tanzania tegemea yaleyale au zaidi ya yale, God father wa TICS hayupo sasa amelala Lupaso, shamba linawaniwa na wahuni wengine..
Ongeza sauti kidogo wa nyuma hatujasikia.
 
Lakini kuna jambo mhuhimu ninaloomba waTanzania tukumbushane kwa kwa kuutumia huu mfano wa mkataba na TICTS.
Kampuni hiyo imekuwepo hapa kwa miaka 20 na kwa muda wote huo sisi waTanzania hatukuweza kujifunza lolote kutoka kwao, kwamba tutajijiengea uwezo wa kuiendesha hiyo sehemu ya bandari baada ya hawa wageni kuondoka.

Hapana, sijasema serikali iingie kwenye huo uendeshaji, (najua kuna watu husema serikali haiwezi chochote), lakini je, hata kuwaandaa na kuwapa uwezo waTanzania nje ya serikali haiwezekani?

Kuna utaalam gani wa zaidi sana ambao watu wetu hawawezi kamwe kuumudu kuendesha shughuli kama hiyo?

Ninaelewa ni kiasi gani tunavyojidharau, kwamba hatuwezi chochote, jambo ambalo sikubaliani nalo kabisa. Kinachotushinda ni viongozi wetu kutosimamia vizuri shughuli zetu na kuwatia moyo wananchi wake ili waweze kuleta mageuzi makubwa katika nchi yao.
Hatuna viongozi wanaoamini kwamba tunaweza, matatizo yetu yanaanzia hapo.
 
DP World wako vizuri wale jamaa wanaweza hata kupanua hiyo Port wana uzoefu wa hali ya juu.

Maza alienda Dubai sijui waliongea nini?
Tuachane na 'mindset' za namna hii mkuu 'imhotep'.
Hao Dubai wana kitu gani wasichokuwa nacho wengine, mitaji?
Hao hao TICTS walikuja hapa wakijigamba na kuwekeza kikubwa kuifanya Dar Port iwe 'efficient' sana. Mpaka wanaondoka, kama kweli wataondoka, ni uwekezaji upi waliofanya wa ziada kuifanya bandari iwe na ufanisi zaidi?

Dubai huyo huyo anahangaika huko Somalia na katimuliwa Djibouti. Au unaangalia mfano wa anayofanya Rwanda, ambayo siyo ya ajabu yoyote!
 
Hapo hamna kitu, ni janjajanja tu. TICTS watakuja kivingine kwa jina lingine au watakuwa ubia na new investor. Kama alimaliza mkataba halafu anapewa extension ya miezi mitatu kujadili mkataba mpya, nyie amshitukii dili?
Wewe uliona wapi kampuni inamaliza mkataba halafu anaongezewa muda ili wajadiliane halafu mbaya zaidi kampuni husika mkataba wa awali ili-underperform!!🤣🤣
Umeyasema mkuu, acha tuangalie sinema inavyochezwa.
 
Tuachane na 'mindset' za namna hii mkuu 'imhotep'.
Hao Dubai wana kitu gani wasichokuwa nacho wengine, mitaji?
Hao hao TICTS walikuja hapa wakijigamba na kuwekeza kikubwa kuifanya Dar Port iwe 'efficient' sana. Mpaka wanaondoka, kama kweli wataondoka, ni uwekezaji upi waliofanya wa ziada kuifanya bandari iwe na ufanisi zaidi?

Dubai huyo huyo anahangaika huko Somalia na katimuliwa Djibouti. Au unaangalia mfano wa anayofanya Rwanda, ambayo siyo ya ajabu yoyote!
 
Back
Top Bottom