Miaka 26 sina nachomiliki zaidi Bachelor Degree valid traveling passport, Driving License class D. NATOKAJE

Miaka 26 sina nachomiliki zaidi Bachelor Degree valid traveling passport, Driving License class D. NATOKAJE

Thamani Yako haijengwi na vitu vinavyoonekana kama ulivyovitaja Bali visivyoonekana,Boresha maeneo haya
1.Maarifa na ujuzi(badili elimu Yako kutatua matatizo ya jamii ulipwe kama umesoma Uhasibu kawasaidie watu kufile return za TRA
2.Connection
Tembea na waliofanikiwa nawe utafanikiwa (saidia fundi siku Moja atakuwa fundi)
Wengine wataongeza ya kukushauri cheti siyo utajiri
 
Nina shahada ya maendeleo ya jamii
 
Mimi nimetoka chuo nikapitiliza KAZI za uhudumu wa hoteli za chakula Dodoma, raha ya Dodoma ukiwa msafi mtanashati kwenye hizi hoteli utafahamiana na watu mashuhuri sana PICHA la kutisha linaanzia hapo ukichezesha akili vizuri unachomoka Kwa staili kadhaa
 
Suruali mbili shati mbili boxer 3 vest 2 begi moja na smartphone

Nahisi kupoteza Dira
Wakuuu natokaje?

Hili Halianzi na Maoni ya watu wa nje.
Bali jinsi gani ww unaona unatokaje.

Umri bado ni mdogo. Kwahiyo usiogope.
Na uko mkoa gani?.

Ushauri Wangu. Tafuta kazi.

Umesema una Bachelor ya Community Development.
Je unataka kufanya kazi Serikalini au Private?.

Ukishatambua hilo.

Andika CV yako vizuri.
kuomba kazi ndio iwe kazi yako.

Andika uzoefu, wa kitu unachokiomba, labda umefanya kwa mwaka 1 au 2.
Hata Kama hujawah fanya hiyo kazi sehemu yoyote.

Mfano.
Unaomba kazi za M and E.
Basi andika ukishafanya hiyo kazi Sehem flan kwa muda flan.
na siku ukiitwa Interview uhakikishe unasoma kweli M and E na jinsi inavyokuwa practical.

Ikitokea kazi ya project officer kwenye NGO.
Geuza CV isema ushawah pia kuwa project officer kwa muda flan na kufanya ABC.

All in all. CV yako iendane na kaz unayoiomba. Mara zote.
 
Mimi nimetoka chuo nikapitiliza KAZI za uhudumu wa hoteli za chakula Dodoma, raha ya Dodoma ukiwa msafi mtanashati kwenye hizi hoteli utafahamiana na watu mashuhuri sana PICHA la kutisha linaanzia hapo ukichezesha akili vizuri unachomoka Kwa staili kadhaa
Hizo kazi marinda yanakuwa hatarini bro
 
Hongera kua na passport, kuna muda mtu una stuck hujui pa kuanza zaidi kama unajitenga inakua mbaya zaidi.. inategemea na sehemu ulipo ji mix na wadau kijiweni. Ukweli ni kwamba wenye degree kuna mda kazi kama kubeba zege, boda, genge tunachukulia poa.

Kama afya inaruhusu piga ata kazi za viwanda mtoto wa kiume kamwe usiruhusu kutia huruma ukweli ni kua huwezi kukosa kazi kabisa sema unachagua ya degree au udereva.
 
Back
Top Bottom