Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
- Thread starter
- #41
Mtibeli una maana nisome nipate class E?Usichague kazi
Soma kozi kama udereva. Miezi sita tuu huwezi kosa gari.
Mana nina D ina miaka 4
Mtibeli una maana nisome nipate class E?Usichague kazi
Soma kozi kama udereva. Miezi sita tuu huwezi kosa gari.
Mtibeli una maana nisome nipate class E?
Mana nina D ina miaka 4
Mkuu sio hivyoKama ni dereva. Nini unashindwa? Magari yamejaa mjini?
Watu wanataka kuendeshwa.
Huna familia? Nini kinakushinda? Au unataka kulipwa mamilioni?
Asije kudhani maisha ya ulinzi mazuri hasa kama ana malengo tofauti. Huu ushauri ni wa kumpa matarajio hasi. Hakuna kitu inapatikana kirahisi, hata connection yenyewe tu ya kuwa mlinzi at akiona fala, kuna ile mtu kakuweka inabidi umpe asilimia ya mshahara mpaka unaondokaMiaka 20 mpaka 30 ndio umri wa kuweza kufanya chochote na kazi hazikubagui. ndani ya huo umri hakikisha unaweka mitego nje ya box.
Nakupa jaribu.
Nenda migodi yoyote kanda ya ziwa ile inayolindwa.
Hakikisha una nida kadi,, omba kazi ya ulinzi usiwe mjuaji hakikisha hupeleki degree yako huko peleka akili zako.
Mfumo uko hivi kuna kampuni za walinzi na wanalinda maduara na geti kuu wanakuwa wapo askari hawa wa kawaida sasa wewe utakuwa kule kwenye yale mashimo kulinda.
kama kawaida usiku ni muda wa madili,, wanakuja watu wanafanya yao na mnapata mgao kuanzia askari mpka walinzi hamna hamna huwezi kukosa 20 au 50 kwa siku .
pia yale maduara mnayolinda wakiuza mali au mchanga huwezi kukosa mgao hata wa m1 au laki 5.
huwa wanatoa chakula mlo mmoja na mshahara wanalipa kwa siku 10.
Mkuu sio hivyo
Nina class D
Na class D kupata ajira ya udereva ni ngumu wanataka kuanzia class E ambayo sina mkuu
Ajira kwenye udereva ni kuanzia E C¹ C² C³ au C Mkuu
Au kuna ushauri wa ziada naomba kuwa huru kujirekebisha mdogo wako sina kaka mwenye madini kama wewe
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri mzuri nitafanyia kazi hasa ufundi wa TV simu nk .Kasome upate Class C
Au kasomee ufundi TV, simu na hizi home appliances zina hela sana. Hasa ukiwa master.
Alafu sio gharama ukijichanganya mtaani
Nimeshangaa miaka 26 amenza kukosa matumainiMiaka 26 unaumia kukosa chochote!! Watu wanafika 35, wababadiri mchezo @ 38 na kuwa "game changers".
Jikaze we dogo, maisha ni tafu. Usikate tamaa.
Nimeshangaa miaka 26 amenza kukosa matumaini
Sio ni navyo taka inabidi kwenda na uhalisia sio uongo wa wazi wazi kama wako huo. Life is not a bitchNimeandika kitu ambacho nakifahamu. hayo mengine atumie akili yake ambayo ina degree.
Pia njia ni nyingi za kuwa anavyotaka
Hawajambo kule UDOM.Mimi nimetoka chuo nikapitiliza KAZI za uhudumu wa hoteli za chakula Dodoma, raha ya Dodoma ukiwa msafi mtanashati kwenye hizi hoteli utafahamiana na watu mashuhuri sana PICHA la kutisha linaanzia hapo ukichezesha akili vizuri unachomoka Kwa staili kadhaa
Kwani unahisi ushauri wako ni bora kuliko mwingine mpaka upinge ?? utofauti wetu ndo raha ya dunia .Sio ni navyo taka inabidi kwenda na uhalisia sio uongo wa wazi wazi kama wako huo. Life is not a bitch
Nieleze njia tano tu ili nami nitoboe.Nimeandika kitu ambacho nakifahamu. hayo mengine atumie akili yake ambayo ina degree.
Pia njia ni nyingi za kuwa anavyotaka
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri mzuri nitafanyia kazi hasa ufundi wa TV simu nk .
Kupata C plain lazima uwe na miaka 30 pia uwe na leseni E ambayo imekaa miaka 3
Sikupingi kakaUfundi wa hizi home appliances usipokuwa na hela labda uwe mbabaishaji alafu hujui kujitangaza
Angalia kinacho ongelewa na utoe mihemko ambayo haina mbele wala nyuma. Hauwezi kutoa ushauri usio na mantiki yoyoteKwani unahisi ushauri wako ni bora kuliko mwingine mpaka upinge ?? utofauti wetu ndo raha ya dunia .
najua huna akili, pia ni mjuaji kwenye vitu ambavo hata haviitaji ujuaji.Angalia kinacho ongelewa na utoe mihemko ambayo haina mbele wala nyuma. Hauwezi kutoa ushauri usio na mantiki yoyote
Tafuta kichaka ujibanze kwa muda wakati unaendelea kutafuta pori sahihi.
Kila mtu ana njia zake za kutoboa.Nieleze njia tano tu ili nami nitoboe.
Hapo sawa.Kila mtu ana njia zake za kutoboa.
mimi sitoi njia nimempa wazo alipambanue yeye mwenye ataamua afanye nini.
Huyu kasema ana miliki boxer, vest na simu. Sasa nilimpa hilo wazo akajishikize huko na boxer zake.