Madogo hawataki process wanataka ikifika 25 boom maisha haya hapa, ndomana idadi kubwa wanadata wanahisi washa-fail wanataka ku-rush.Miaka 26 unaumia kukosa chochote!! Watu wanafika 35, wababadiri mchezo @ 38 na kuwa "game changers".
Jikaze we dogo, maisha ni tafu. Usikate tamaa.
Bddo mdogo sana, usikate tamaa! Kikubwq sahau kama una bachelor degree then ingia mtaani upambaneSuruali mbili shati mbili boxer 3 vest 2 begi moja na smartphone
Nahisi kupoteza Dira
Wakuuu natokaje?
😎 Comment Yako naivalia miwani meusiiHili Halianzi na Maoni ya watu wa nje.
Bali jinsi gani ww unaona unatokaje.
Umri bado ni mdogo. Kwahiyo usiogope.
Na uko mkoa gani?.
Ushauri Wangu. Tafuta kazi.
Umesema una Bachelor ya Community Development.
Je unataka kufanya kazi Serikalini au Private?.
Ukishatambua hilo.
Andika CV yako vizuri.
kuomba kazi ndio iwe kazi yako.
Andika uzoefu, wa kitu unachokiomba, labda umefanya kwa mwaka 1 au 2.
Hata Kama hujawah fanya hiyo kazi sehemu yoyote.
Mfano.
Unaomba kazi za M and E.
Basi andika ukishafanya hiyo kazi Sehem flan kwa muda flan.
na siku ukiitwa Interview uhakikishe unasoma kweli M and E na jinsi inavyokuwa practical.
Ikitokea kazi ya project officer kwenye NGO.
Geuza CV isema ushawah pia kuwa project officer kwa muda flan na kufanya ABC.
All in all. CV yako iendane na kaz unayoiomba. Mara zote.
tatizo lako hunyooki kwenye maelezo yako, ulisema wewe ni polisi na sasa unasema kuwa ni jobless... trashSuruali mbili shati mbili boxer 3 vest 2 begi moja na smartphone
Nahisi kupoteza Dira
Wakuuu natokaje?
Tuliwai pia kuwa situation kama Yako 😊Suruali mbili shati mbili boxer 3 vest 2 begi moja na smartphone
Nahisi kupoteza Dira
Wakuuu natokaje?
Kk security nae ni afandetatizo lako hunyooki kwenye maelezo yako, ulisema wewe ni polisi na sasa unasema kuwa ni jobless... trash
Unanifahamu hadi useme nilicho andika ni utani ?Acha matani wewe!
Ahsante nashukuru sana nitafanyia kaziMiaka 20 mpaka 30 ndio umri wa kuweza kufanya chochote na kazi hazikubagui. ndani ya huo umri hakikisha unaweka mitego nje ya box.
Nakupa jaribu.
Nenda migodi yoyote kanda ya ziwa ile inayolindwa.
Hakikisha una nida kadi,, omba kazi ya ulinzi usiwe mjuaji hakikisha hupeleki degree yako huko peleka akili zako.
Mfumo uko hivi kuna kampuni za walinzi na wanalinda maduara na geti kuu wanakuwa wapo askari hawa wa kawaida sasa wewe utakuwa kule kwenye yale mashimo kulinda.
kama kawaida usiku ni muda wa madili,, wanakuja watu wanafanya yao na mnapata mgao kuanzia askari mpka walinzi hamna hamna huwezi kukosa 20 au 50 kwa siku .
pia yale maduara mnayolinda wakiuza mali au mchanga huwezi kukosa mgao hata wa m1 au laki 5.
huwa wanatoa chakula mlo mmoja na mshahara wanalipa kwa siku 10.
Pambana mkuu umenizidi kila kituSuruali mbili shati mbili boxer 3 vest 2 begi moja na smartphone
Nahisi kupoteza Dira
Wakuuu natokaje?
DahPambana mkuu umenizidi kila kitu
Dah pole sanaa mkuu jifunze baadhi ya skills kama marketing, editing n kSuruali mbili shati mbili boxer 3 vest 2 begi moja na smartphone
Nahisi kupoteza Dira
Wakuuu natokaje?
Karibu, pia unaweza jaribu chochote si lazima iwe hiyoAhsante nashukuru sana nitafanyia kazi
Suruali mbili shati mbili boxer 3 vest 2 begi moja na smartphone
Nahisi kupoteza Dira
Wakuuu natokaje?