Miaka 26 sina nachomiliki zaidi Bachelor Degree valid traveling passport, Driving License class D. NATOKAJE

Miaka 26 sina nachomiliki zaidi Bachelor Degree valid traveling passport, Driving License class D. NATOKAJE

Wewe nadhani una shida mahali.
Sasa nimesema kitu ninachofamu wewe unasema uongo????
Haya mpe ushauri mpeleke akafanye wewe mkweli halafu huu uongo aachane nao.
Kimantiki ulicho kisema hakina ukweli maana nimesha ona hao walinzi wanaishi maisha mabaya na kibambikiziwa kesi tu.

Na kwanini ukipewa challenge ya kile umesema unaishia kudhani mtu aliye challenge anashida?

Huo ndo ujinga wa watu, hudhani ukimwabia alive kuhoji ataacha, sasa kwa watu kama sisi tunajua huo ushamba wa kujilinda. Wewe umemdanganya.

Mimi nilimwambia atafute kitu halali cha kufanya na aanze chini kabisa. Maisha yanahitaji discipline
 
Haya nitajie jina la mgodi miliki wa duara namba ya mlinzi jina la kampuni aliyolindia mlinzi aliyebambikiwa kesi na kuishi maisha ya hovyo?
 
Haya nitajie jina la mgodi miliki wa duara namba ya mlinzi jina la kampuni aliyolindia mlinzi aliyebambikiwa kesi na kuishi maisha ya hovyo?
Hakuna haja, na haina maana.
Ukisha sema kazi za magendo ni ushamba wa kuanzia
 
26 dogo unapagawa na una degree hata kama ni ya kijinga unadata kabisaa?

Aisee haya maisha watu tumekuzidi mbali sana umri hatuna hivyo vyote and we're damn okay
 
Kumbe naongea na mtu asiyefahamu chochote
Sasa unataka nijibu na fahamu ili tuanze kujadiliana namna ya kufanya ujinga wa magendo? Huo undezi ni wa watu wasio na mbele wala nyuma.

Mtu msomi kabisa huyu akaanze kufanya risk za kijinga huko. Then aishie jela? Si jela tu kuna kudhuriwa pia na watu. Hebu wacha hizi issue dada, kuna vitu ni vya kumshauri mtu ambae hana future ila huyu kasoma na ana integrity
 
Mkuu shukuru M-ngu AKIBA ya miaka 4 nimekuja kuitumia kwenye ugonjwa kama uko mzima pambana anzia popote tu mradi sio kinyume cha sheria
 
Kila siku mnamshaur mtu huyohuyo nyie hamchoki?
 
Back
Top Bottom