Suruali mbili shati mbili boxer 3 vest 2 begi moja na smartphone
Nahisi kupoteza Dira
Wakuuu natokaje?
Hili Halianzi na Maoni ya watu wa nje.
Bali jinsi gani ww unaona unatokaje.
Umri bado ni mdogo. Kwahiyo usiogope.
Na uko mkoa gani?.
Ushauri Wangu. Tafuta kazi.
Umesema una Bachelor ya Community Development.
Je unataka kufanya kazi Serikalini au Private?.
Ukishatambua hilo.
Andika CV yako vizuri.
kuomba kazi ndio iwe kazi yako.
Andika uzoefu, wa kitu unachokiomba, labda umefanya kwa mwaka 1 au 2.
Hata Kama hujawah fanya hiyo kazi sehemu yoyote.
Mfano.
Unaomba kazi za M and E.
Basi andika ukishafanya hiyo kazi Sehem flan kwa muda flan.
na siku ukiitwa Interview uhakikishe unasoma kweli M and E na jinsi inavyokuwa practical.
Ikitokea kazi ya project officer kwenye NGO.
Geuza CV isema ushawah pia kuwa project officer kwa muda flan na kufanya ABC.
All in all. CV yako iendane na kaz unayoiomba. Mara zote.