Miaka 26 sina nachomiliki zaidi Bachelor Degree valid traveling passport, Driving License class D. NATOKAJE

Kama ni dereva. Nini unashindwa? Magari yamejaa mjini?
Watu wanataka kuendeshwa.

Huna familia? Nini kinakushinda? Au unataka kulipwa mamilioni?
Mkuu sio hivyo
Nina class D
Na class D kupata ajira ya udereva ni ngumu wanataka kuanzia class E ambayo sina mkuu

Ajira kwenye udereva ni kuanzia E C¹ C² C³ au C Mkuu

Au kuna ushauri wa ziada naomba kuwa huru kujirekebisha mdogo wako sina kaka mwenye madini kama wewe
 
Asije kudhani maisha ya ulinzi mazuri hasa kama ana malengo tofauti. Huu ushauri ni wa kumpa matarajio hasi. Hakuna kitu inapatikana kirahisi, hata connection yenyewe tu ya kuwa mlinzi at akiona fala, kuna ile mtu kakuweka inabidi umpe asilimia ya mshahara mpaka unaondoka
 

Kasome upate Class C
Au kasomee ufundi TV, simu na hizi home appliances zina hela sana. Hasa ukiwa master.

Alafu sio gharama ukijichanganya mtaani
 
Kasome upate Class C
Au kasomee ufundi TV, simu na hizi home appliances zina hela sana. Hasa ukiwa master.

Alafu sio gharama ukijichanganya mtaani
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri mzuri nitafanyia kazi hasa ufundi wa TV simu nk .
Kupata C plain lazima uwe na miaka 30 pia uwe na leseni E ambayo imekaa miaka 3
 
Nimeandika kitu ambacho nakifahamu. hayo mengine atumie akili yake ambayo ina degree.
Pia njia ni nyingi za kuwa anavyotaka
Sio ni navyo taka inabidi kwenda na uhalisia sio uongo wa wazi wazi kama wako huo. Life is not a bitch
 
Hawajambo kule UDOM.

Vipi Nabii Tito hajambo kule ng'hong'onha?
 
Kwani unahisi ushauri wako ni bora kuliko mwingine mpaka upinge ?? utofauti wetu ndo raha ya dunia .
Angalia kinacho ongelewa na utoe mihemko ambayo haina mbele wala nyuma. Hauwezi kutoa ushauri usio na mantiki yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…