generationn Z
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 454
- 748
baba umeua ningeomba uzi uishie hapaMkuu anza upya maisha hayana formula sahihi. Anza upya, tafuta interest tofauti na ulicho somea. Jipende wewe kwanza maisha yako sio elimu wala kazi uliyonayo, ila ni namna unavyojihisi ndani yako
Wewe nadhani una shida mahali.Sio ni navyo taka inabidi kwenda na uhalisia sio uongo wa wazi wazi kama wako huo. Life is not a bitch
26 Life ,bado una umri mdogo sheikh ,vijana wengi wananza kuona mafanikio kuanzia 28 -35.Suruali mbili shati mbili boxer 3 vest 2 begi moja na smartphone
Nahisi kupoteza Dira
Wakuuu natokaje?
Kimantiki ulicho kisema hakina ukweli maana nimesha ona hao walinzi wanaishi maisha mabaya na kibambikiziwa kesi tu.Wewe nadhani una shida mahali.
Sasa nimesema kitu ninachofamu wewe unasema uongo????
Haya mpe ushauri mpeleke akafanye wewe mkweli halafu huu uongo aachane nao.
Kimantiki ulicho kisema hakina ukweli maana nimesha ona hao walinzi wanaishi maisha mabaya na kibambikiziwa kesi tu.
Na kwanini ukipewa challenge ya kile umesema unaishia kudhani mtu aliye challenge anashida?
Huo ndo ujinga wa watu, hudhani ukimwabia alive kuhoji ataacha, sasa kwa watu kama sisi tunajua huo ushamba wa kujilinda. Wewe umemdanganya.
Mimi nilimwambia atafute kitu halali cha kufanya na aanze chini kabisa. Maisha yanahitaji discipline
Hakuna haja, na haina maana.Haya nitajie jina la mgodi miliki wa duara namba ya mlinzi jina la kampuni aliyolindia mlinzi aliyebambikiwa kesi na kuishi maisha ya hovyo?
Kumbe naongea na mtu asiyefahamu chochoteHakuna haja, na haina maana.
Ukisha sema kazi za magendo ni ushamba wa kuanzia
Relax!!! Haijaisha mpaka iishe!!Suruali mbili shati mbili boxer 3 vest 2 begi moja na smartphone
Nahisi kupoteza Dira
Wakuuu natokaje?
Sasa unataka nijibu na fahamu ili tuanze kujadiliana namna ya kufanya ujinga wa magendo? Huo undezi ni wa watu wasio na mbele wala nyuma.Kumbe naongea na mtu asiyefahamu chochote
Nyie ndo huwa mnaishia kugeuzwa nyie.Mimi nimetoka chuo nikapitiliza KAZI za uhudumu wa hoteli za chakula Dodoma, raha ya Dodoma ukiwa msafi mtanashati kwenye hizi hoteli utafahamiana na watu mashuhuri sana PICHA la kutisha linaanzia hapo ukichezesha akili vizuri unachomoka Kwa staili kadhaa
Ni hivyo tuu ulivyonavyo yaani hata akili huna!Suruali mbili shati mbili boxer 3 vest 2 begi moja na smartphone
Nahisi kupoteza Dira
Wakuuu natokaje?
Ifike muda matako yako uhurumie wanaokuzunguka. Kila siku unawaomba ushaur wanakushauri n kesho unawaomba tena! Kitobo kabisa wewAcha roho mbaya ****** wewe
Mwelese uliyoyaona silent inn miaka hiyo asipokasa 😆