Miaka 3 ijayo Dunia ni tofauti kabisa, Rais anaongelea kuongoza miaka 9 ijayo leo hii?

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
I mean, nani anajua Dunia itakuwaje miaka 2 ijayo?,

USA might have conservative right wing Christian leader, EU watakuwa na priority nyingine hatujui ugomvi na Urusi utaiacha EU na western world katika hali gani, hivyo wanaokupa support leo hii miaka 2-3 ijayo watakuwa na watu wengine kabisa na priority nyingine,

corona pandemic haitokuwepo au angalau siyo kwa namna ilivyo leo hii, Uhuru Kenyata atakuwa hayupo, some people will be dead or too ill, halafu Kiongozi anaongelea kuwepo madarakani miaka 9 ijayo kwenye nchi yenye majeraha na visasi kama hii yetu ?

Kwa maoni yangu miaka 9 ni mingi sana, kwanza miaka 3 ijayo itakuwa migumu sana, …
 
I mean, nani anajua Dunia utakuwaje miaka 2 ijayo, USA might have conservative right wing Christian leader, EU watakuwa na priority nyingine hatujui ugomvi na Urusi utaiacha EU na western world katika hali gani, hivyo wanaokupa support leo hii miaka 2-3 ijayo watakuwa na watu wengine kabisa na priority nyingine, corona pandemic haitokuwepo au angalau siyo kwa namna ilivyo leo hii, Uhuru Kenyata atakuwa hayupo, some people will be dead or too ill, halafu Kiongozi anaongelea kuwepo madarakani miaka 9 ijayo kwenye nchi yenye majeraha na visasi kama hii yetu ?

Changamoto ya viongozi wa kiafrika, wanajionaga kama manabii, mtu anajinasibu kuwepo miaka 9, kama yeye Mungu vile anayeijua kesho, inasikitisha!
 
Mwenzake Mwendazake John P. Magufuli alipojishindisha tu uchaguzi mkuu mwaka 2020, akaanza "muvu" za chini chini na waziwazi kwa kuwatumia wapambe wake ili abadili katiba apate kutawala mpaka kifo chake

Haimkuchukua hata miezi minne tangu aongoze kufanya UCHAFUZI WA MWAKA 2020 ulioitwa "uchaguzi mkuu", na kuwa na mawazo ya "milele", huyu "Ngosha" akafa kifo cha kawaida!!

Huyu naye naona anajifanya anaijua kesho yake.

Katika mazingira ya Tanzania ya leo, kiongozi wa CCM kudhani kuwa anaweza kuwa ktk madaraka ya serikali kwa angalau hata miezi 6 tu ijayo, ni kujilisha upepo wa mchana kweupe

Mama SSH na wenzake hawajui na hata hawaelewi kuwa maisha ya madaraka yao ya kiserikali ni very short and countable!
 
Shida yako unaendelea kushinda a na Marehemu, ni bahati mbaya mmeshindwa kumshinda.Hhahahahah failed political party
 
Kumshinda tena vipi wakati alishapata pigo kwa kiburi chake? Wee unadhani kuua binadamu wenzako huku ukijifanya kusimama madhabahuni kila siku eti wewe ni mcha Mungu ni kitu chema? Mungu hadanganyiki!
 
I mean, nani anajua Dunia utakuwaje miaka 2 ijayo, USA might have conservative right wing Christian leader, EU watakuwa na priority nyingine hatujui ugomvi na Urusi utaiacha EU na western world katika hali gani, hivyo wanaokupa support leo hii miaka 2-3 ijayo watakuwa na watu wengine kabisa na priority nyingine, corona pandemic haitokuwepo au angalau siyo kwa namna ilivyo leo hii, Uhuru Kenyata atakuwa hayupo, some people will be dead or too ill, halafu Kiongozi anaongelea kuwepo madarakani miaka 9 ijayo kwenye nchi yenye majeraha na visasi kama hii yetu ?

Kwa maoni yangu miaka 9 ni mingi sana, kwanza miaka 3 ijayo itakuwa migumu sana, …
Nmemskiliza nikapigwa butwaa,hakika hajitambui
 
Hayo ya West yanamhusu vipi mama?
 
Ndani ya miezi 2 ijayo tunaingia kwenye WWIII, wachache tutakao survive ndiyo tuta amua namna ya kujiongoza……..,,
Mkuu...vikianza hakuna maisha ya uhakika tena, vifo vitakuwa vya kupokezana...Bahati nzuri havitatokea🙏🤲
 
Hiyo 9 ipi kwanza wakati hajui Mungu anapanga lipi?
 
Back
Top Bottom