Miaka 3 ijayo Dunia ni tofauti kabisa, Rais anaongelea kuongoza miaka 9 ijayo leo hii?

Miaka 3 ijayo Dunia ni tofauti kabisa, Rais anaongelea kuongoza miaka 9 ijayo leo hii?

Nilijua nimeshangaa peke yangu! Mwendazake alitegemea ataiona 2025 na ndoto zaje nyingi kuzitimiza lakini Mungu hakumpa nafasi hiyo.
 
Samia tayari ndani ya mwaka mmoja tu kilevi kimeshakolea kichwani na yeye, sawa na mtangulizi wake, ameshaanza kujiona Mungu. Ngoja tuweke macho.
 
Kifo cha mapema ni pigo! Ndiyo maana huwa tunasikitika mpendwa wetu au binadamu yoyote mwema anapofariki yungali kijana.

Bado haujibu, ni pigo kwa nani? Aliyefariki au waliobakia ?
 
Even if the world would end tomorrow; I can still plant a tree today. Yaani wewe unaweka into consideration the negatives only while eliminating the postives? You would better take into consideration of both. Kama wewe uko sahihi, basi na yeye pia yuko sahihi. However, wewe unaweza ukawa uko wrong, lakini still yeye atakuwa bado yuko right. Negativity yako usiilazimishe i-apply na kwa wengine ambao ni positive thinkres

Unaandika vitu viwili tofauti, kuna tofauti kati ya kutimiza wajibu wako kujaribu kuiacha Dunia ikiwa bora kuliko ulivyoikuta na kusema na kuamini kabisa kwamba utakuwa (bado) ni raisi wa nchi kwa miaka 9 ijayo, hiyo ya pili narcissism ni mental illness, narcissistic ndiyo wenye tabia ya kufikiri kwamba wanaweza kui- model Dunia watakavyo wao,

kumbe hawajui kwamba Dunia iko jinsi ilivyo, na binadamu ndiye anayepaswa kufwata Dunia (nature) itakavyo na siyo kinyume chake, kuna sababu kwa nini Waswahili tuna msemo wa hakuna aijuaye kesho yake na nafikiri karibia kila culture Dunia hii ina huo msemo kwa namna moja au nyingine.
 
I mean, nani anajua Dunia itakuwaje miaka 2 ijayo, USA might have conservative right wing Christian leader, EU watakuwa na priority nyingine hatujui ugomvi na Urusi utaiacha EU na western world katika hali gani, hivyo wanaokupa support leo hii miaka 2-3 ijayo watakuwa na watu wengine kabisa na priority nyingine, corona pandemic haitokuwepo au angalau siyo kwa namna ilivyo leo hii, Uhuru Kenyata atakuwa hayupo, some people will be dead or too ill, halafu Kiongozi anaongelea kuwepo madarakani miaka 9 ijayo kwenye nchi yenye majeraha na visasi kama hii yetu ?

Kwa maoni yangu miaka 9 ni mingi sana, kwanza miaka 3 ijayo itakuwa migumu sana, …
kuwa kiongozi bata sana , unawrza hisi hutakufa
 
tulikua tunawambia,katiba sio leo,,ni baada ya 2025,,,haiwezekani Rais ana mwaka mmoja TU eti aanze kubadili katiba,,kama mlifikiri mtapewa katiba mwakani ili sijui mshinde 2025,,,mkajipange,,,,katiba hata ipatikane kesho,,itachukua at least 3 years kuanza kutumika
Kumbe wewe Ndiye unaetoa hiyo Katiba.

Nakuombea yakukute yaliyomkuta mwendazake.

(kupe wa usukumani wewe)
 
Unaandika vitu viwili tofauti, kuna tofauti kati ya kutimiza wajibu wako kujaribu kuiacha Dunia ikiwa bora kuliko ulivyoikuta na kusema na kuamini kabisa kwamba utakuwa (bado) ni raisi wa nchi kwa miaka 9 ijayo, hiyo ya pili narcissism ni mental illness, narcissistic ndiyo wenye tabia ya kufikiri kwamba wanaweza kui- model Dunia watakavyo wao, kumbe hawajui kwamba Dunia iko jinsi ilivyo, na binadamu ndiye anayepaswa kufwata Dunia (nature) itakavyo na siyo kinyume chake, kuna sababu kwa nini Waswahili tuna msemo wa hakuna aijuaye kesho yake na nafikiri karibia kila culture Dunia hii ina huo msemo kwa namna moja au nyingine.
Ni kwa sababu anaamini kuwa bado kutakuwa na Rais, na bado Tanzania itaendelea kuwepo, hata kama Rais atakuwa siyo yeye.

Kawaida ulitakiwa umsifu kwamba siyo mbinafsi, yupo kwenye nafasi aliyonayo kwa manufaa ya Watanzania na si kwa kujiwazia mwenyewe kama wewe unavyodhani alitakiwa kuwa anawaza au kufanya
 
Mwenzake Mwendazake John P. Magufuli alipojishindisha tu uchaguzi mkuu mwaka 2020, akaanza "muvu" za chini chini na waziwazi kwa kuwatumia wapambe wake ili abadili katiba apate kutawala mpaka kifo chake

Haimkuchukua hata miezi minne tangu aongoze kufanya UCHAFUZI WA MWAKA 2020 ulioitwa "uchaguzi mkuu", na kuwa na mawazo ya "milele", huyu "Ngosha" akafa kifo cha kawaida!!

Huyu naye naona anajifanya anaijua kesho yake.

Katika mazingira ya Tanzania ya leo, kiongozi wa CCM kudhani kuwa anaweza kuwa ktk madaraka ya serikali kwa angalau hata miezi 6 tu ijayo, ni kujilisha upepo wa mchana kweupe

Mama SSH na wenzake hawajui na hata hawaelewi kuwa maisha ya madaraka yao ya kiserikali ni very short and countable!
Sema Mwamba ametimiza ndoto yake ya kutawala hadi kufa!!
 
Kumbe ikulu patamu naona watu wanapang'ang'ania licha ya kudai hawana mda wa kupumzika
 
Mkuu...vikianza hakuna maisha ya uhakika tena, vifo vitakuwa vya kupokezana...Bahati nzuri havitatokea🙏🤲
this time africa hatuusiki manake juzi walikua wanasema tuchague upande tukasema hatufungamani na mtu yoyote ha ha ha ha ha acha watifuane wenyewe
 
this time africa hatuusiki manake juzi walikua wanasema tuchague upande tukasema hatufungamani na mtu yoyote ha ha ha ha ha acha watifuane wenyewe
Kweli ila likija swala la nyuklia hakuna Afrika wala Ulaya..
 
nyuklia si inapigwa kule kule tu mkuu hata japan ilipigwa miji miwili tu
Kuna tofauti ya nyuklia ya wakati ule na sasa:

Sasa makombora ya nyuklia hayatabebwa na ndege na kuangushwa kama Japan. Sasa yanaweza kupigwa kutoka kwenye vituo vilivyo kwenye hizo nchi au kutoka kwenye Nyambizi baharini,

Sasa tafakari, nyambizi pengine iko pwani ya Zanzibar irushe kombora kuelekea USA, na USA waamue kujibu kwa hilo eneo kombora lilikotokae..Kutatokea nini?

Pili nyambizi iliyo pwani ya Tanzania irushe kombora kwenda Urusi na Urusi wana Distoyer hapo Djibuti walitungue... patamu hapo.
Nyuklia si vita ya kuomba kabisa kwa maana haitakuwa USA vs Urusi bali Dunia yote..
 
Maisha yapo na yataendelea kuwepo mh SSH ndio kamanda wetu kwa sasa na jahazi linasonga bila wasi
 
Back
Top Bottom