Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ni maneno yaliyosemwa mbele ya wanasiasa fulani ili kuwafikishia ujumbe wapinzani wake. Wanaodhani kwa kelele zao za kila siku wanaweza kumtoa ikulu.I mean, nani anajua Dunia utakuwaje miaka 2 ijayo, USA might have conservative right wing Christian leader, EU watakuwa na priority nyingine hatujui ugomvi na Urusi utaiacha EU na western world katika hali gani, hivyo wanaokupa support leo hii miaka 2-3 ijayo watakuwa na watu wengine kabisa na priority nyingine, corona pandemic haitokuwepo au angalau siyo kwa namna ilivyo leo hii, Uhuru Kenyata atakuwa hayupo, some people will be dead or too ill, halafu Kiongozi anaongelea kuwepo madarakani miaka 9 ijayo kwenye nchi yenye majeraha na visasi kama hii yetu ?
Kwa maoni yangu miaka 9 ni mingi sana, kwanza miaka 3 ijayo itakuwa migumu sana, …
Ni mjanja anayekula sahani moja na wote wenye nia ambazo pengine ni za siri za kutaka kuingia ikulu, kina Pole Pole wanao wafuasi wengi nyuma yao na wamepewa ubalozi ili wapunguzwe ushawishi wao ndani ya siasa za Tanzania.
Sio vibaya kuwa na nia za urais na kama mtu mmoja haridhiki nae wapo mabilioni huko vijijini wanaojengewa shule za kisasa na zenyewe ni muendelezo wa kampeni, kuna miradi mikubwa ya maji inagusa maisha ya mamilioni ya wapiga kura.
Sisi wapiga kelele wa nyuma ya keyboard ujanja wetu ni humu humu mijini, kuna maisha ya huko vijijini na hao ndio wapiga kura wenyewe.