Miaka 3 ijayo Dunia ni tofauti kabisa, Rais anaongelea kuongoza miaka 9 ijayo leo hii?

Viongozi wetu wa ccm badala wakae na kuwaza kuleta ufumbuzi wa matatizo ktk Taifa letu wao wanawaza uchaguzi tu
 
Umeandika kwa akili za kipumbav kama litoto
Bure kabsa,
 

Kwa sababu hatuna uhakika na yajayo kwa hiyo tusiwe na mipango?

Nenda kajipange uje upya!!?
 
Kumshinda tena vipi wakati alishapata pigo kwa kiburi chake? Wee unadhani kuua binadamu wenzako huku ukijifanya kusimama madhabahuni kila siku eti wewe ni mcha Mungu ni kitu chema? Mungu hadanganyiki!
pigo?,yaani kufa ni pigo?,are you mad?[emoji44]
 
Viongozi wetu wa ccm badala wakae na kuwaza kuleta ufumbuzi wa matatizo ktk Taifa letu wao wanawaza uchaguzi tu
tulikua tunawambia,katiba sio leo,,ni baada ya 2025,,,haiwezekani Rais ana mwaka mmoja TU eti aanze kubadili katiba,,kama mlifikiri mtapewa katiba mwakani ili sijui mshinde 2025,,,mkajipange,,,,katiba hata ipatikane kesho,,itachukua at least 3 years kuanza kutumika
 
We need a proces to start. We naye mawazo ya kiccm tu.

Katiba mpya itakuja na mageuzi ktk utawala bora, haki na maendeleo.

We unawaza madaraka tu.
 
Atakaa tu huyu sio yule aliyesema atakaa infinite akatwaiwa
 
Sisi tuataka katiba mpya bora uchaguzi uchelewe mama anakwenda kuweka historia,kama mlizoea mavyeo ya damu na dhuluma mtaji uchawa ekwisha
 
Huna akili
 
Kumshinda tena vipi wakati alishapata pigo kwa kiburi chake? Wee unadhani kuua binadamu wenzako huku ukijifanya kusimama madhabahuni kila siku eti wewe ni mcha Mungu ni kitu chema? Mungu hadanganyiki!
Hapendi mungu wake atolewe kama mfano wa mtu mjinga.

Anamtunzia "regase"!
 
Kama yule mwingine waliyekuwa wakimwambia atawale milele.
 
John mallya: Kama gari la RPC linasiti 5 na ninyi mnasema mlikuwa 6 mweleze mheshimiwa Jaji je? afande kingai alimkalia nani?
Shahidi: Sijui
Swali la ki mitego.

Aliyekaliwa ni Nani?

Alimkaliaje mwanaume.

Kwa wazee wa bandarini Ina tafsiri tata.
 
Nashindwa kuchangia kwenye uzi huu kwa sababu nadhani kuna taarifa sina.

Nini kimetokea mleta mada?
 
We need a proces to start. We naye mawazo ya kiccm tu. Katiba mpya itakuja na mageuzi ktk utawala bora, haki na maendeleo. We unawaza madaraka tu.

Wee unafikiri akina mbowe wanawaza hayo unayosema, wanawaza madaraka tu.
 
KATIBA MPYA inahitajika.

Viongozi mlioko madarakani tunawakumbusha umhimu wa kuwapatia katiba MPYA watanzania.

Tendeni HAKI mkiwa madarakani siku zaja, mnaweza kujuta!
 
Changamoto ya viongozi wa kiafrika, wanajionaga kama manabii, mtu anajinasibu kuwepo miaka 9, kama yeye Mungu vile anayeijua kesho, inasikitisha!

Yeye ni taasisi

Akisema mipango ya kutimiza miaka 3, 6, 9 n.k. siyo lazima atimize yeye mwenyewe kama Samia.

Bali ni taasisi ya urais ndiyo itatimiza.

Kwa hiyo hata yeye akiondoka hayo yatatekelezwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…