Miaka 3 ijayo Dunia ni tofauti kabisa, Rais anaongelea kuongoza miaka 9 ijayo leo hii?

Nilijua nimeshangaa peke yangu! Mwendazake alitegemea ataiona 2025 na ndoto zaje nyingi kuzitimiza lakini Mungu hakumpa nafasi hiyo.
 
Samia tayari ndani ya mwaka mmoja tu kilevi kimeshakolea kichwani na yeye, sawa na mtangulizi wake, ameshaanza kujiona Mungu. Ngoja tuweke macho.
 
Kifo cha mapema ni pigo! Ndiyo maana huwa tunasikitika mpendwa wetu au binadamu yoyote mwema anapofariki yungali kijana.

Bado haujibu, ni pigo kwa nani? Aliyefariki au waliobakia ?
 

Unaandika vitu viwili tofauti, kuna tofauti kati ya kutimiza wajibu wako kujaribu kuiacha Dunia ikiwa bora kuliko ulivyoikuta na kusema na kuamini kabisa kwamba utakuwa (bado) ni raisi wa nchi kwa miaka 9 ijayo, hiyo ya pili narcissism ni mental illness, narcissistic ndiyo wenye tabia ya kufikiri kwamba wanaweza kui- model Dunia watakavyo wao,

kumbe hawajui kwamba Dunia iko jinsi ilivyo, na binadamu ndiye anayepaswa kufwata Dunia (nature) itakavyo na siyo kinyume chake, kuna sababu kwa nini Waswahili tuna msemo wa hakuna aijuaye kesho yake na nafikiri karibia kila culture Dunia hii ina huo msemo kwa namna moja au nyingine.
 
kuwa kiongozi bata sana , unawrza hisi hutakufa
 
Kumbe wewe Ndiye unaetoa hiyo Katiba.

Nakuombea yakukute yaliyomkuta mwendazake.

(kupe wa usukumani wewe)
 
Ni kwa sababu anaamini kuwa bado kutakuwa na Rais, na bado Tanzania itaendelea kuwepo, hata kama Rais atakuwa siyo yeye.

Kawaida ulitakiwa umsifu kwamba siyo mbinafsi, yupo kwenye nafasi aliyonayo kwa manufaa ya Watanzania na si kwa kujiwazia mwenyewe kama wewe unavyodhani alitakiwa kuwa anawaza au kufanya
 
Sema Mwamba ametimiza ndoto yake ya kutawala hadi kufa!!
 
Kumbe ikulu patamu naona watu wanapang'ang'ania licha ya kudai hawana mda wa kupumzika
 
Mkuu...vikianza hakuna maisha ya uhakika tena, vifo vitakuwa vya kupokezana...Bahati nzuri havitatokeašŸ™šŸ¤²
this time africa hatuusiki manake juzi walikua wanasema tuchague upande tukasema hatufungamani na mtu yoyote ha ha ha ha ha acha watifuane wenyewe
 
this time africa hatuusiki manake juzi walikua wanasema tuchague upande tukasema hatufungamani na mtu yoyote ha ha ha ha ha acha watifuane wenyewe
Kweli ila likija swala la nyuklia hakuna Afrika wala Ulaya..
 
nyuklia si inapigwa kule kule tu mkuu hata japan ilipigwa miji miwili tu
Kuna tofauti ya nyuklia ya wakati ule na sasa:

Sasa makombora ya nyuklia hayatabebwa na ndege na kuangushwa kama Japan. Sasa yanaweza kupigwa kutoka kwenye vituo vilivyo kwenye hizo nchi au kutoka kwenye Nyambizi baharini,

Sasa tafakari, nyambizi pengine iko pwani ya Zanzibar irushe kombora kuelekea USA, na USA waamue kujibu kwa hilo eneo kombora lilikotokae..Kutatokea nini?

Pili nyambizi iliyo pwani ya Tanzania irushe kombora kwenda Urusi na Urusi wana Distoyer hapo Djibuti walitungue... patamu hapo.
Nyuklia si vita ya kuomba kabisa kwa maana haitakuwa USA vs Urusi bali Dunia yote..
 
Maisha yapo na yataendelea kuwepo mh SSH ndio kamanda wetu kwa sasa na jahazi linasonga bila wasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…