Miaka 40 tu lakini ulaji wa tunda ushakuwa shida

Sababu:
1. Uzalishaji wa testosterone umepungua kwako kwa kiwango kikubwa.
2. Inawezekana una high Glycemic index bila kujua.
3. Inawezekana una abnormal high or abnormal low BP bila kujua.
4. Hutumii viwango vya kutosha vya protini ya wanyama.
5. Mfumo wa chakula/gut imechafuka.
6. Una Sonona



Utatuzi/Solution
1. Fanya mazoezi maalum ya Kuongeza uzalishaji wa testosterone kwako.
2. Kula protini ya wanyama ya kutosha.
3. Pima BP na sukari kisha chukua hatua.
4. Acha msongo wa mawazo uliopitiliza.
5. Kula matunda, mboga za majani, maji ya kutosha na jamii ya mikunde.
6. Acha pombe za aina zote.
7. Acha vinywaji vilaini vya aina zote.
8. Kunywa dawa ya kuharisha.
 
Mkisaidiwa kubanduliwa tunda mnakuja hapa na jazba kibao kumbe nyie ndio wenye matatizo

40 Years bado KIJANA kabisa na unakaa mwezi hujala tunda la mama yoyo una HATARI Sana

👉 ngojea wenye Nguvu ya kubandua matunda waje wakusaidie Mkuu ila usije hapa kulalamika 😁
 
Ukute umeoa mpare mwenzio, kwa ninavyowajua wamama wa kipare. Aloo achana na chips mayai kabisa. Kula hata makande ya karanga.
 
Mkuu najua utasema ni utani ila hii mbinu utanishukuru badae kwa mda wako..
Na hata kama utakua na chochote kitu utanitumia tuu sina baya..

Nunua cologate ile dawa ya meno.
Kila asbhi paka na unapolala paka
Ndani ya week case itakua cclosCome on man

Mkuu najua utasema ni utani ila hii mbinu utanishukuru badae kwa mda wako..
Na hata kama utakua na chochote kitu utanitumia tuu sina baya..

Nunua cologate ile dawa ya meno.
Kila asbhi paka na unapolala paka
Ndani ya week case itakua closed....
Come on😄
 
Unaishi sehem gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…