Miaka 40 tu lakini ulaji wa tunda ushakuwa shida

Sasa unataka kusemaje ndugu, nishushe presha kwa7bu nihali ya kaida?
 
Kwa maisha yetu huu ni umri wa majukumu mengi sana, yaani ile dhana ya life begins at 40 ni huko ulaya na marekani. Huku bongo 40 ndio umri watoto wapo primary na secondary, kama hujajenga ndio kipindi cha kupambana uwe na kibanda chako, kama ni ajira/biashara ndio unatakiwa uwe stable....mambo ni mengi, usipoangalia unapata crisis ya mawazo. Sasa kama upo stage hiyo, mambo ni mengi, hilo tunda utalila vipi hadi ufaidi!
 

Sasa tunafanyaje ili hawa wake zetu watuelewe? Mana hapo ndipo Mtihani ilipo, mwenzako anaweza fikiri una Mchepuko mana mama zetu mara nyingi huongozwa na hisia badala ya uhalisia.
 

Sasa tunafanyaje ili hawa wake zetu watuelewe? Mana hapo ndipo Mtihani ulipo, mwenzako anaweza fikiri una Mchepuko mana mama zetu mara nyingi huongozwa na hisia badala ya uhalisia
 
Mkuu najua utasema ni utani ila hii mbinu utanishukuru badae kwa mda wako..
Na hata kama utakua na chochote kitu utanitumia tuu sina baya..

Nunua cologate ile dawa ya meno.
Kila asbhi paka na unapolala paka
Ndani ya week case itakua closed....
Apake kwenye nini sasa mkuu mbona umeongea kiuoga uoga
 
Baki hivo hivo sisi tukusaidie kwa bibie. Wewe umri umeenda. Tupe namba za bibie.
 
Acha kunywa energy na mandazi.
NB;Kuna uwezekano sonona inakusumbua.Tafuta wataalamu wakupe tiba ya akili.
 
Kulaa vizuri ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…