Miaka 64 ya uhuru: Watu wanakwama kwa siku 18 kisiwani bila usafiri, Hii ndiyo CCM

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
2,754
Reaction score
4,975
download (38).jpeg
download-39-jpeg.3244183

Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima, Mfanyabiashara, Mvuvi, Mwanafunzi, Mgonjwa aliyepo Mafia anashindwa kuvuka upande wa pili kwa siku zaidi ya 18! Kisa?? Kivuko kibovu 🤦🏾‍♂️

MUNGU IBARIKI USA
 
Attachments

  • download (39).jpeg
    download (39).jpeg
    17.3 KB · Views: 2
Inahitaji Timu ili iweje hizo mashine zipo za kumwaga hapo Krugersdorp tena bei ya kutupa tu.
 
Timu ya kufanya upembuzi yakinifu na kufanya price quotation ya wauzaji wa hizo mashine, wakae kikao kupitia kila invoice na kushauriana kwa wiki tatu wanunue wapi!!! Na pia watatoa ushauri wa kitaalamu namna ya kwenda kununua hizo mashine kama ni kutumia boda au Lori!! Hapo per diem nzito zinafanana thamani ya kununua hizo mashine

Hii nchi bwana
 
View attachment 3244181
download-39-jpeg.3244183

Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima, Mfanyabiashara, Mvuvi, Mwanafunzi, Mgonjwa aliyepo Mafia anashindwa kuvuka upande wa pili kwa siku zaidi ya 18! Kisa?? Kivuko kibovu 🤦🏾‍♂️

MUNGU IBARIKI USA
Rubbish
 
Hii Serikalini ni pasua kichwa, mda unaweza hata kujikuta umetokwa na neno baya, ukifikiria upuuzi unaoendelea hapa nchini
 
Sijui Busisi - Kigongo Sasa hivi pakoje? Wiki chache za nyuma, inachukua masaa 4-5 kuvuka. Kivuko ni kimoja!
 
Kwani Mafia wanachangia kiasi Gani ili wadai Haki? Mwaka Jana Mafia walichangia TRA kiasi Gani?
Kaulize kila trip moja wanavusha mzigo wa Dagaa nyama kuja Nyamisati wa bei gani.
Mi niliulizie nikàambiwa ni kama mzigo wa 20M
 
Timu ya kufanya upembuzi yakinifu na kufanya price quotation ya wauzaji wa hizo mashine, wakae kikao kupitia kila invoice na kushauriana kwa wiki tatu wanunue wapi!!! Na pia watatoa ushauri wa kitaalamu namna ya kwenda kununua hizo mashine kama ni kutumia boda au Lori!! Hapo per diem nzito zinafanana thamani ya kununua hizo mashine

Hii nchi bwana
Nimekuelewa sana...
 
View attachment 3244181
download-39-jpeg.3244183

Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima, Mfanyabiashara, Mvuvi, Mwanafunzi, Mgonjwa aliyepo Mafia anashindwa kuvuka upande wa pili kwa siku zaidi ya 18! Kisa?? Kivuko kibovu 🤦🏾‍♂️

MUNGU IBARIKI USA
Hama Mafia!
 
Ngoja waunde Tume ichunguze kwanza, mnadhani hayo mambo ni rahisi hivyo? Bila tume hatutoboi
 
View attachment 3244181
download-39-jpeg.3244183

Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima, Mfanyabiashara, Mvuvi, Mwanafunzi, Mgonjwa aliyepo Mafia anashindwa kuvuka upande wa pili kwa siku zaidi ya 18! Kisa?? Kivuko kibovu 🤦🏾‍♂️

MUNGU IBARIKI USA
Hii ndiyo CCM bwana, vituko na uwongo kila kukicha
 
Hawa ni Mafia wa Cicily-Italy? Wamefikaje Tanzania?
 
View attachment 3244181
download-39-jpeg.3244183

Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima, Mfanyabiashara, Mvuvi, Mwanafunzi, Mgonjwa aliyepo Mafia anashindwa kuvuka upande wa pili kwa siku zaidi ya 18! Kisa?? Kivuko kibovu 🤦🏾‍♂️

MUNGU IBARIKI USA
Mfumo wa uendeshaji siasa za uchawa umetufikisha hapa,kwa sasa umeme unakatika kwa Kasi ya ajabu kuliko hata ule wakati stiglers Gorge haijaanza kufanya kazi,wakati huu.moogoro mpaka ruaha mbuyuni Kuna mashimo yasiyo ya kawaida,majenereta yameharibika yote taasisi za umma,hakuna jambo limekaa vizuri internet distribution haipo kuendana na mifumo hakuna matumizi makazini,jamani tunarudi nyuma wala hatuna jipya.Ukiona biashara zimefunguliwa Dodoma utazani wanauza,mauzi ni ya kawaida sana sababu pesa Iko upande wa siasa pekee.Hatujui pesa anakula nani sababu hata hao wenye chama wanaisho kwa kuvizia,ni nini.kinaendelea nyuma ya pazia.
 
Hata mkiboreshewa vitu mnaharibu kama daraja zuri la ubungo mlivyoamua kuliharibu kwa kuvunja vunja, mnahujumu reli ya SGR, aliyewaroga keshakufa
 
Wakati huo huo serikali imetenga sh billioni 4 kwa ajili ya kuhesabu nyumbu,na tumbili waliopo kwenye hifadhi za taifa,kumbe Kuna waliokwama visiwani kwa kukosa huduma ya usafiri kwa vivuko kuwa vibovu.
 
Mfumo wa uendeshaji siasa za uchawa umetufikisha hapa,kwa sasa umeme unakatika kwa Kasi ya ajabu kuliko hata ule wakati stiglers Gorge haijaanza kufanya kazi,wakati huu.moogoro mpaka ruaha mbuyuni Kuna mashimo yasiyo ya kawaida,majenereta yameharibika yote taasisi za umma,hakuna jambo limekaa vizuri internet distribution haipo kuendana na mifumo hakuna matumizi makazini,jamani tunarudi nyuma wala hatuna jipya.Ukiona biashara zimefunguliwa Dodoma utazani wanauza,mauzi ni ya kawaida sana sababu pesa Iko upande wa siasa pekee.Hatujui pesa anakula nani sababu hata hao wenye chama wanaisho kwa kuvizia,ni nini.kinaendelea nyuma ya pazia.
Juzi tumepitwa na Uganda hadi kwenye per Capita. Per Capita imeshuka sana sasa ni $1200...uganda ni $1300 imagine unapitwa na Uganda nchi isiyo na bandari.
Na hawaongelei kabisa hii ishu kuwa nchi imerudi nyuma sana kiuchumi
 
Watoe tenda kwa Azam marine

Back
Top Bottom