Miaka 64 ya uhuru: Watu wanakwama kwa siku 18 kisiwani bila usafiri, Hii ndiyo CCM

Miaka 64 ya uhuru: Watu wanakwama kwa siku 18 kisiwani bila usafiri, Hii ndiyo CCM

Mafia ni sehemu ya Comoro huko au?
 
Kwani Mafia wanachangia kiasi Gani ili wadai Haki? Mwaka Jana Mafia walichangia TRA kiasi Gani?
Ukiwawekea miundombinu utaamusha uchumi na mapato yataongezeka ukizingatia mafia ni kisiwa Cha utalii.

Kama tungeangalia wilaya au mkoa upi unachangia Nini ndo upewe miundombinu sizani kama Kuna mkoa ungestahili miundombinu Zaidi ya DSM
 
Juzi tumepitwa na Uganda hadi kwenye per Capita. Per Capita imeshuka sana sasa ni $1200...uganda ni $1300 imagine unapitwa na Uganda nchi isiyo na bandari.
Na hawaongelei kabisa hii ishu kuwa nchi imerudi nyuma sana kiuchumi

wanadhurumu sana wananchi,huku wakulima wameozeshewa mazao ya mbaazi na malipo hayaji kwa wakati
 
Watoe tenda kwa Azam marine
Wafanye kazi yao sio kujificha nyuma ya ujanja wa Miradi ya kimkakati,kwanini ccm haitaki watu wafurahi kila Kona wanabana,wakandarasi Hadi wanakufa lipeni watu jasho lao.
 
Back
Top Bottom