Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Timu ya kufanya upembuzi yakinifu na kufanya price quotation ya wauzaji wa hizo mashine, wakae kikao kupitia kila invoice na kushauriana kwa wiki tatu wanunue wapi!!! Na pia watatoa ushauri wa kitaalamu namna ya kwenda kununua hizo mashine kama ni kutumia boda au Lori!! Hapo per diem nzito zinafanana thamani ya kununua hizo mashineInahitaji Timu ili iweje hizo mashine zipo za kumwaga hapo Krugersdorp tena bei ya kutupa tu.
RubbishView attachment 3244181
Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima, Mfanyabiashara, Mvuvi, Mwanafunzi, Mgonjwa aliyepo Mafia anashindwa kuvuka upande wa pili kwa siku zaidi ya 18! Kisa?? Kivuko kibovu π€¦πΎββοΈ
MUNGU IBARIKI USA
Hii Serikalini ni pasua kichwa, mda unaweza hata kujikuta umetokwa na neno baya, ukifikiria upuuzi unaoendelea hapa nchiniView attachment 3244181
Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima, Mfanyabiashara, Mvuvi, Mwanafunzi, Mgonjwa aliyepo Mafia anashindwa kuvuka upande wa pili kwa siku zaidi ya 18! Kisa?? Kivuko kibovu π€¦πΎββοΈ
MUNGU IBARIKI USA
Mkuu, hivi hujui kwamba Mafia ndio miongoni wa wafia chama pendwa? Mbona unatu chonganisha na chama chetu.Kwani Mafia wanachangia kiasi Gani ili wadai Haki? Mwaka Jana Mafia walichangia TRA kiasi Gani?
Kaulize kila trip moja wanavusha mzigo wa Dagaa nyama kuja Nyamisati wa bei gani.Kwani Mafia wanachangia kiasi Gani ili wadai Haki? Mwaka Jana Mafia walichangia TRA kiasi Gani?
Nimekuelewa sana...Timu ya kufanya upembuzi yakinifu na kufanya price quotation ya wauzaji wa hizo mashine, wakae kikao kupitia kila invoice na kushauriana kwa wiki tatu wanunue wapi!!! Na pia watatoa ushauri wa kitaalamu namna ya kwenda kununua hizo mashine kama ni kutumia boda au Lori!! Hapo per diem nzito zinafanana thamani ya kununua hizo mashine
Hii nchi bwana
Hama Mafia!View attachment 3244181
Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima, Mfanyabiashara, Mvuvi, Mwanafunzi, Mgonjwa aliyepo Mafia anashindwa kuvuka upande wa pili kwa siku zaidi ya 18! Kisa?? Kivuko kibovu π€¦πΎββοΈ
MUNGU IBARIKI USA
Hii ndiyo CCM bwana, vituko na uwongo kila kukichaView attachment 3244181
Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima, Mfanyabiashara, Mvuvi, Mwanafunzi, Mgonjwa aliyepo Mafia anashindwa kuvuka upande wa pili kwa siku zaidi ya 18! Kisa?? Kivuko kibovu π€¦πΎββοΈ
MUNGU IBARIKI USA
Mfumo wa uendeshaji siasa za uchawa umetufikisha hapa,kwa sasa umeme unakatika kwa Kasi ya ajabu kuliko hata ule wakati stiglers Gorge haijaanza kufanya kazi,wakati huu.moogoro mpaka ruaha mbuyuni Kuna mashimo yasiyo ya kawaida,majenereta yameharibika yote taasisi za umma,hakuna jambo limekaa vizuri internet distribution haipo kuendana na mifumo hakuna matumizi makazini,jamani tunarudi nyuma wala hatuna jipya.Ukiona biashara zimefunguliwa Dodoma utazani wanauza,mauzi ni ya kawaida sana sababu pesa Iko upande wa siasa pekee.Hatujui pesa anakula nani sababu hata hao wenye chama wanaisho kwa kuvizia,ni nini.kinaendelea nyuma ya pazia.View attachment 3244181
Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima, Mfanyabiashara, Mvuvi, Mwanafunzi, Mgonjwa aliyepo Mafia anashindwa kuvuka upande wa pili kwa siku zaidi ya 18! Kisa?? Kivuko kibovu π€¦πΎββοΈ
MUNGU IBARIKI USA
Hata mkiboreshewa vitu mnaharibu kama daraja zuri la ubungo mlivyoamua kuliharibu kwa kuvunja vunja, mnahujumu reli ya SGR, aliyewaroga keshakufaView attachment 3244181
Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima, Mfanyabiashara, Mvuvi, Mwanafunzi, Mgonjwa aliyepo Mafia anashindwa kuvuka upande wa pili kwa siku zaidi ya 18! Kisa?? Kivuko kibovu π€¦πΎββοΈ
MUNGU IBARIKI USA
Juzi tumepitwa na Uganda hadi kwenye per Capita. Per Capita imeshuka sana sasa ni $1200...uganda ni $1300 imagine unapitwa na Uganda nchi isiyo na bandari.Mfumo wa uendeshaji siasa za uchawa umetufikisha hapa,kwa sasa umeme unakatika kwa Kasi ya ajabu kuliko hata ule wakati stiglers Gorge haijaanza kufanya kazi,wakati huu.moogoro mpaka ruaha mbuyuni Kuna mashimo yasiyo ya kawaida,majenereta yameharibika yote taasisi za umma,hakuna jambo limekaa vizuri internet distribution haipo kuendana na mifumo hakuna matumizi makazini,jamani tunarudi nyuma wala hatuna jipya.Ukiona biashara zimefunguliwa Dodoma utazani wanauza,mauzi ni ya kawaida sana sababu pesa Iko upande wa siasa pekee.Hatujui pesa anakula nani sababu hata hao wenye chama wanaisho kwa kuvizia,ni nini.kinaendelea nyuma ya pazia.
View attachment 3244181