Juzi tumepitwa na Uganda hadi kwenye per Capita. Per Capita imeshuka sana sasa ni $1200...uganda ni $1300 imagine unapitwa na Uganda nchi isiyo na bandari.
Na hawaongelei kabisa hii ishu kuwa nchi imerudi nyuma sana kiuchumi
Wafanye kazi yao sio kujificha nyuma ya ujanja wa Miradi ya kimkakati,kwanini ccm haitaki watu wafurahi kila Kona wanabana,wakandarasi Hadi wanakufa lipeni watu jasho lao.