Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mswahili anaoa kila siku, kimsingi wengi wanasaidia aidha na udini, uchawi, ufisadi na ukaribu na mteuziHuyu Jafo hakuna lolote analofanya Kisarawe mkoa wa Pwani. Ni ujanja ujanja tu nashangaa anapaje Uwaziri wakati uwezo wake mdogo sana.
Mpaka Leo wananchi wa Kisarawe hawana maji mpaka ya kunywa ni shida mpaka wategemee mvua inyeshe. Kuoga mpaka uogee sabuni ya unga vinginevyo sabuni ya kawaida povu halitoki kabisa.
Hii nchi Bado sana. Viongozi hawana uchungu kabisa na wananchi.