Miaka karibu 10 ya Jafo ubunge Kisarawe bado maji ni ya chumvi. Kuoga mpaka uogee detergents

Miaka karibu 10 ya Jafo ubunge Kisarawe bado maji ni ya chumvi. Kuoga mpaka uogee detergents

Maji ni changamoto kwa maeneo mengi Tanzania.
Sehemu nyingine hata hayo maji ya chumvi hayapatikani.
Hata hivyo, wakati wa mvua maji mengi hutiririka kuelekea baharini na kwenye maziwa. Tunahitaji ni viongozi wenye uelewa wa hali halisi ya mazingira yetu, changamoto zilizopo na njia rahisi za kuzitatua bila kutegemea misaada ya kutoka nje.
Lazima tudhibiti na kuongoza nchi kwa akili za kawaida kama Mungu alivyotutunuku.
Siasa zetu zina aina fulani ya comedy itakayosababisha hata mazezeta kuwa viongozi baadaye.
 
Kote ni shida. Kijiji Cha marumbo hata maji ya kunywa hayapo. Ukitaka kuoga inabidi ununue maji ya chumvi na unaoga some parts labda miguu au mikono kwa kutumia sabuni ya unga

Hiki kijiji ni chimbuko langu upande wa kiumeni. Anyway unachosema ni kweli kabisa na huwa nikienda huko ishu ya kuoga huwa inanipa mawazo sana huwezi kuoga kwa uhuru wakati wenyeji wamekufuatia maji umbali mkubwa sana.


Kuhusu huyu mbunge wetu sioni la ajabu lolote atakalo weza kufanya kwa awamu hii ikiwa katika awamu ile ya mzee baba yeye akiwa mmoja kati ya vipenzi vya mkulu na alipewa wizara nyeti ya TAMISEMI alishindwa hata kushawishi tupate barabara ya lami hayo maji kuweza?
 
Anaishi Kigamboni huyo! Kisarawe ana nyumba ambayo alimjengea Mama yake baada ya Mama kufariki sijui anaishi nani.Huko Kwa Baba yake Kwala ndio kajenga kajumba kodoogo ka vyumba 2 na sebule kakuzugia Tena mwaka wa 2 huu akajaisha.
Ila viongozii bhana khaaah
 
Kote ni shida. Kijiji Cha marumbo hata maji ya kunywa hayapo. Ukitaka kuoga inabidi ununue maji ya chumvi na unaoga some parts labda miguu au mikono kwa kutumia sabuni ya unga
maji ya chumvi au 'maji magumu' (hard water)? Kuna maeneo yenye hard water na ndiyo ukioga sabuni haikamati mwilini.
 
Back
Top Bottom