PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Mbunge siyo Diwani, hata kama anaingia vikao vya madiwani, anaingia kama mbunge siyo kama diwaniuko bia ya ngapi mkuu
MBunGE ,nidiwani pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbunge siyo Diwani, hata kama anaingia vikao vya madiwani, anaingia kama mbunge siyo kama diwaniuko bia ya ngapi mkuu
MBunGE ,nidiwani pia
Mkuu hadi mloka unapajua🤣🤣🤣🙌🙌Mtoa hoja umenikumbusha kuhusu wilaya hii, vipi kule Mloka je maji Safi na salama wamepata?
Tatizo la maji ni la nchi nzima hasa maeneo ya vijijini.tatizo la mbunge kugombea jimbo ambalo makazi yake kama sio dar,dodoma au hapo kwao maisha ni tofauti na wananchi wake
Kote ni shida. Kijiji Cha marumbo hata maji ya kunywa hayapo. Ukitaka kuoga inabidi ununue maji ya chumvi na unaoga some parts labda miguu au mikono kwa kutumia sabuni ya unga
Ila viongozii bhana khaaahAnaishi Kigamboni huyo! Kisarawe ana nyumba ambayo alimjengea Mama yake baada ya Mama kufariki sijui anaishi nani.Huko Kwa Baba yake Kwala ndio kajenga kajumba kodoogo ka vyumba 2 na sebule kakuzugia Tena mwaka wa 2 huu akajaisha.
maji ya chumvi au 'maji magumu' (hard water)? Kuna maeneo yenye hard water na ndiyo ukioga sabuni haikamati mwilini.Kote ni shida. Kijiji Cha marumbo hata maji ya kunywa hayapo. Ukitaka kuoga inabidi ununue maji ya chumvi na unaoga some parts labda miguu au mikono kwa kutumia sabuni ya unga
Mtoa hoja umenikumbusha kuhusu wilaya hii, vipi kule Mloka je maji Safi na salama wamepata?