Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mswahili anaoa kila siku, kimsingi wengi wanasaidia aidha na udini, uchawi, ufisadi na ukaribu na mteuziHuyu Jafo hakuna lolote analofanya Kisarawe mkoa wa Pwani. Ni ujanja ujanja tu nashangaa anapaje Uwaziri wakati uwezo wake mdogo sana.
Mpaka Leo wananchi wa Kisarawe hawana maji mpaka ya kunywa ni shida mpaka wategemee mvua inyeshe. Kuoga mpaka uogee sabuni ya unga vinginevyo sabuni ya kawaida povu halitoki kabisa.
Hii nchi Bado sana. Viongozi hawana uchungu kabisa na wananchi.
Na bado ana vimada 9Ameoa wanawake wa4 akumbuke maji ya nn
Nimepita Jana njia ya Iringa _ DomMbona hata hapa mpwapwa Dodoma,hali ni hyo hyo maji chumvi
Kwenye jimbo la Lukuvi pale Isimani pana ukame wa hatari mnooNimepita Jana njia ya Iringa _ Dom
Hivi huko mnaishije?
Nimeona Kuna ng'ombe wengi halafu majani yamekauka vumbi tu, na maji hakuna kabisa
Labda yupo busy sana?!🤣😂😅😆😁Huyu Jafo hakuna lolote analofanya Kisarawe mkoa wa Pwani. Ni ujanja ujanja tu nashangaa anapaje Uwaziri wakati uwezo wake mdogo sana.
Mpaka Leo wananchi wa Kisarawe hawana maji mpaka ya kunywa ni shida mpaka wategemee mvua inyeshe. Kuoga mpaka uogee sabuni ya unga vinginevyo sabuni ya kawaida povu halitoki kabisa.
Hii nchi Bado sana. Viongozi hawana uchungu kabisa na wananchi.
Umemalizaa kabisaaa.tatizo la mbunge kugombea jimbo ambalo makazi yake kama sio dar,dodoma au hapo kwao maisha ni tofauti na wananchi wake
Anaishi Kigamboni huyo! Kisarawe ana nyumba ambayo alimjengea Mama yake baada ya Mama kufariki sijui anaishi nani.Huko Kwa Baba yake Kwala ndio kajenga kajumba kodoogo ka vyumba 2 na sebule kakuzugia Tena mwaka wa 2 huu akajaisha.Umemalizaa kabisaaa.
Na watu wanaishi na kuzaliana bila maji ya Kunywa. Au wananchi wamehama?Kote ni shida. Kijiji Cha marumbo hata maji ya kunywa hayapo. Ukitaka kuoga inabidi ununue maji ya chumvi na unaoga some parts labda miguu au mikono kwa kutumia sabuni ya unga
Wanachangi maji na mbuziNa watu wanaishi na kuzaliana bila maji ya Kunywa. Au wananchi wamehama?
Kama ungekuwa wewe ndio yeye ungefamyaje ili wananchi wapate maji safi na salama.Wanachangi maji na mbuzi
Ningejiuzulu ili kupisha uchunguzi kwa Nini maji hayapoKama ungekuwa wewe ndio yeye ungefamyaje ili wananchi wapate maji safi na salama.
Huu ujinga ccm ndio imewaambukizawananchi. Kwa makusudi walikuwa hawapeleki fedha za miradi kwenye maeneo ambayo wawakilishi wa wananchi ni wa vyama pinzani halafu wanadanganya raia wawakilishi wenu ndio kikwazo Cha maendeleo. (ushahidi- jiwe alisema hilo hadharani). Sasa raia wameendelea kuwa wajinga, badala ya kuuluza halmashauri inafanya kazi gani wanauliza mbunge. Mbunge ni kisemeo tu; pesa, utaalam, watendaji na vitendeakazi vipo halmashauri.Huyu Jafo hakuna lolote analofanya Kisarawe mkoa wa Pwani. Ni ujanja ujanja tu nashangaa anapaje Uwaziri wakati uwezo wake mdogo sana.
Mpaka Leo wananchi wa Kisarawe hawana maji mpaka ya kunywa ni shida mpaka wategemee mvua inyeshe. Kuoga mpaka uogee sabuni ya unga vinginevyo sabuni ya kawaida povu halitoki kabisa.
Hii nchi Bado sana. Viongozi hawana uchungu kabisa na wananchi.
Nlikuwaga na harakati fulani hukowazaramo wanataka maendeleo basi wao ni ngoma na vigodoro tu.
Sisi tunajuwa kukatika mauno tuHalafu Bado mnataka eti tuendeshe bandari sisi wenyewe wakati hata maji hatuwezi wakati tumezungukukwa na mito na maziwa. Umaskini unetujaa mpaka matakoni halafu ubishi mwingi sana eti dp world wasitudaidie.
Ana wake wanne sasa, huwezi kuwa na kakichwa kadogo vile na kile kijuso ukawa na akili.Huyu Jafo hakuna lolote analofanya Kisarawe mkoa wa Pwani. Ni ujanja ujanja tu nashangaa anapaje Uwaziri wakati uwezo wake mdogo sana.
Mpaka Leo wananchi wa Kisarawe hawana maji mpaka ya kunywa ni shida mpaka wategemee mvua inyeshe. Kuoga mpaka uogee sabuni ya unga vinginevyo sabuni ya kawaida povu halitoki kabisa.
Hii nchi Bado sana. Viongozi hawana uchungu kabisa na wananchi.
uko bia ya ngapi mkuuHizo siyo kazi za Mbunge. Kwani Kisarawe hawana Halmashauri? Si ndiyo palipompatia sifa Jokate na yule nani sijui waliemhamishia Kibaha?
Niko Kijiji kinaitwa kikwete hapa ,napata stori zakingwendu hapaAnaishi Kigamboni huyo! Kisarawe ana nyumba ambayo alimjengea Mama yake baada ya Mama kufariki sijui anaishi nani.Huko Kwa Baba yake Kwala ndio kajenga kajumba kodoogo ka vyumba 2 na sebule kakuzugia Tena mwaka wa 2 huu akajaisha.
Mleta mada mm natokea wilaya amabapo mbunge wake alishawahi kuwa waziri wa elimu maji utalii ila nikisema kwamba hakuna maji ya uhakika wala hakuna lolote alilofanya kwenye utalii utashangaa hii ndio nature ya viongozi wetu na watu wetu. Alipigwa chini ila now anataka arudi tena cha ajabu watu wanamsupport kwa kanga na 5k anazohonga. Yaani mtu anathamini kula ya leo anasahau akitoa kura ndio 5years hakuna maendeleo imagine waziri wa maji na kwake hakuna maji ya uhakika wala hakuna mradi unaoeleweka wa maji. Kuna tatizo kubwa sana kwenye swala la uongoziHuyu Jafo hakuna lolote analofanya Kisarawe mkoa wa Pwani. Ni ujanja ujanja tu nashangaa anapaje Uwaziri wakati uwezo wake mdogo sana.