Miaka kumi ya ndoa mume wangu hajali hisia zangu; Nimechoka!

Nimependa wewe mwanamke umekufikia muwazi sana na kama huu ujumbe au haya uyatakayo umemweleza mumeo afu hujaona mabadiliko una haki na unafaa Sana

Tatizo huwa hatupendi kuambiwa ukweli mke sio tuu mavazi na chakula

Kujali hisia zake ni muhim pia na ndio ndoa yenyewe jamani huu ni ulithi wetu but tunajisahau mnoo
 
Nyie wanawake mnachangia vijana waogope ndoa

Kumbuka kiapo

Kumbuka kabla hamjaingia kwenye ndoa kama ulimahidi kumchit

Kumbuka kuwa maisha yana mengi
 
Usitamani mali ya mwenzio. Tulia na mwenzio. Unasema mwenzio hajui kitu ,mi nadhani na wewe una shida. Mmeona shida mojawapo ya kukaa mbali na wenzi wetu
 
Eti na wewe upo kwenye ndoa?
Unatia aibu. Hivi viapo mnavyochukua huwa mnakuwa mntania au?

Kaa ongea na mume wako muiboreshe ndoa yenu. Mambo mazuri huja kwa kuyawekea bidii.

Mchepuko utakusaidia nini? Tamaa mbele mauti nyuma. Yakikukuta utakuja hapa kuandika thread
 
Huyo wa kazini ikitikea mmefumaniaa na mke wake ni rahisi yy kusamehewa na maisha yakaendelea, ila ww ukifumaniwa/kushtukiwa na mumeo nadhani unajua kitakachotokea... Usisahau Hisia ni temporary ila matokeo ya maamuzi utakayochukuwa kwa kufuata Hisia zako will be permanent na yanaweza kukucost daima
 
Mtunuku huyo kaka.. we only live once!
 
Wanyakyusa hoyeeeee...... FarAway mpatie ndugu yangu wa kinyakyusa akusuuze nafsi.
 
Vumbi la kongo ndio nini?
 
Ni kweli wanawake wanapenda kutikiswa kisawasawa, mimi ndiyo zangu nipe shavu nikukandamize mpaka utosheke kabisa
 
Afadhal umenielewa tena najitahidi kumwongelesha kimahaba na mbwembwe zote za kimahaba mara nyingi ananijibu we unawaza tu mapenzi mambo ya maendeleo.. watu wanadhan nimekurupuka tu kuleta humu hawajui nimevumilia kiasi gani na nikisikia wanawake wenzangu wakisimulia mahaba wanayopewa natamani hata nimkubalie fasta huyo mnyaki
 
Pole sana. .ongea nae vizuri
 
Naona ninawe umerudi kwa staili nyingine za kumsema mumeo,kazana tu utaupata mshahara wako

Yaani umeamua kuja na acc mpya ili umseme mumeo wanawake sijui huwa mnataka nini umepata kazi mpya umempenda Boss sasa umeamua kumchafua na mumeo wakati ulisema unampenda sana na wala huna shida nae haya sasa yanatoka wapi?

We nenda tu ukampe mapenzi moto moto Boss wako acha kumchafua mumeo si sawa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…