KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Ili kuwepo na ustawi ni lazima nchi ikuze hali ya uchumi wa watu wake. Purchasing power lazima iongezeke. Kinyume na hapo ni stress na madeni.
Leo kuna viwanja vinauzwa kwa mkopo, kuna wafanyabiashara wanakopesha zana za ujenzi kwa riba, kuna magari ya mkopo na hamna kipato cha uhakika.
Application softwares za kukopesha mitandaoni zinachipua kama uyoga. Zote zimemlenga Mtanzania mwenye kipato cha chini. Mikopo ni kuanzia 10,000 na kuendelea, haizidi milioni.
Pia kuna simu za mkopo na vocha za mkopo, yerewiiiii....
Jichanganye ukope benki, ukope kiwanja, ukope gari, ukope vifaa vya ujenzi, ukope kwenye wakopeshaji wa mtandaoni. Imekula kwako, stress lazima zikuhusu
Hii ni hatari sana.