min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
🧑💻Yanakuja kama mvua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🧑💻Yanakuja kama mvua
Umeona ehh, very true. Ila waadilifu nao hufa.Mzunguko wa Mtu masikini mgumu Sana akiwa na hela anakunywa Pombe zinamuunguza maini akiishiwa hela anakunywa sungura zinaharibu Figo na ubogo
Inshort hii Dunia inahitaji kuwa na cleanest lifestyle ndo utaishi vizuri
Kweli kabisa mkuu ila wanywaji wengi wana ramani za Vita , kwenye moja mbili tatu unaokota kitu.Mzunguko wa Mtu masikini mgumu Sana akiwa na hela anakunywa Pombe zinamuunguza maini akiishiwa hela anakunywa sungura zinaharibu Figo na ubogo
Inshort hii Dunia inahitaji kuwa na cleanest lifestyle ndo utaishi vizuri
CCM itapata wapi wapiga kura tukifikia levels hizi?Hii nchi watu Maisha yakaze zaidi ili akili zikae vizurii,
Ifike hatu mtu usikubali tena kuonewa,
Usikubali tena kutapeliwa
Usikubali tena kuibiwa,
Usikubali tena kunyonywa...
Unamshauri Nini Mtu anayetoka Familia masikini ila yupo mjini kazaa watoto sita na Mama tofauti Ila kaamua kuishi na mke mmoja Kati ya hao aliozaa naoUmeona ehh, very true. Ila waadilifu nao hufa.
Unachitakiwa kufanya ili uishi vizuri, lala vizuri, kula vizuri, fanya mazoezi, enjoy life
Wala siyo siku hizi tu ni tangu karne na enzi. Hebu jaribu kupitia kwenye zile docs za 'the men who made America' uone hao akina Carnegie na Ford waliwatumikisha akina nani mpaka wao wakawa mabilionea.Siri ya utajiri ni ubahili. Hiyo ilikuwa zamani. Siku hizi siri ya utajiri ni umasikini wa watu. Tafuta mtaji, watumikishe mafukara
Second hand clothes kwa Tanzania ni bora kuliko malonya ya Kariakoo. Kwanza kwa nguo quality za mtumba bei ni kubwa kuliko mpya. Mfano mimi navaa viatu, suruali, mashati na mikanda ya mitumba first class. Bei zake zimesimama sana. Kama viatu na mikanda ninavaa pure leather.[emoji41][emoji41] Sema wanabidi wajifunze ubahili badala ya kununua maji ya chupa wawe wanachemsha wanaenda nayo kazini
Badala ya kula bia wale kangara na sungura
Barayla Ya kuvuta Embassy wanweza vuta Nyota.
Sehemu ambayo inafikika kwa Mguu wanaweza kutembea kwa Mguu
Nguo unaweza nunua za karume na kuchanganya moja la dukani
Afya Ni mtaji namba moja ukiwa na hela na Afya unaiEnjoy MaishaKweli kabisa mkuu ila wanywaji wengi wana ramani za Vita , kwenye moja mbili tatu unaokota kitu.
Kweli kabisa ulevi sio poa , ila unywaji sioni kama una tatzo.Afya Ni mtaji namba moja ukiwa na hela na Afya unaiEnjoy Maisha
Mimi binafsi nimeona watu wengi na mwisho wa walevi huwa wanakufa ghafla na wengi huwa hawapewi attention na jamii ila ukifatiliia in deep mwisho wao ndo huo
Unavaa nguo iliyovaliwa na mtu ambaye yeye kaitoa Kama charitySecond hand clothes kwa Tanzania ni bora kuliko malonya ya Kariakoo. Kwanza kwa nguo quality za mtumba bei ni kubwa kuliko mpya. Mfano mimi navaa viatu, suruali, mashati na mikanda ya mitumba first class. Bei zake zimesimama sana. Kama viatu na mikanda ninavaa pure leather.
Nikinunua kiatu kiatu kweli na bei imesimama
Kwa ufupi napenda sana kuvaa na nguo nzuri binafsi nazipata kwenye mitumba kuliko madukani.
Angalizo dogo: sina shida ya hela hata kidogo
Tatizo siyo mikopo tu. Tatizo kubwa mikopo ya nchi hii imeambatana na JANJA JANJA za KITAPELI.Ili kuwepo na ustawi ni lazima nchi ikuze hali ya uchumi wa watu wake. Purchasing power lazima iongezeke. Kinyume na hapo ni stress na madeni.
Leo kuna viwanja vinauzwa kwa mkopo, kuna wafanyabiashara wanakopesha zana za ujenzi kwa riba, kuna magari ya mkopo na hamna kipato cha uhakika.
Application softwares za kukopesha mitandaoni zinachipua kama uyoga. Zote zimemlenga Mtanzania mwenye kipato cha chini. Mikopo ni kuanzia 10,000 na kuendelea, haizidi milioni.
Pia kuna simu za mkopo na vocha za mkopo, yerewiiiii....
Jichanganye ukope benki, ukope kiwanja, ukope gari, ukope vifaa vya ujenzi, ukope kwenye wakopeshaji wa mtandaoni. Imekula kwako, stress lazima zikuhusu
Hii ni hatari sana.
Kila kitu unabidi kuweka balanceKweli kabisa ulevi sio poa , ila unywaji sioni kama una tatzo.
📌📌Kila kitu unabidi kuweka balance
Kama ni hivyo masikini wote wangekuwa matajiri.Siri ya utajiri ni ubahili. Hiyo ilikuwa zamani. Siku hizi siri ya utajiri ni umasikini wa watu. Tafuta mtaji, watumikishe mafukara