Miaka michache ijayo Tanzania itaenda kuwa na watu wenye msongo mkali wa mawazo kutokana na madeni

Miaka michache ijayo Tanzania itaenda kuwa na watu wenye msongo mkali wa mawazo kutokana na madeni

Mithali 22
7 Tajiri humtawala maskini, Naye akopaye ni mtumwa wake akopeshaye.
Roho ya kukopa kopa ni Roho kamili ya SHETANI inayoendeleza umasikini. Ni Roho mbaya inayosambazwa na Marekani, ulaya, world bank na IMF Ili kuendeleza umasikini na utumwa.
Hakuna Taifa au mtu binafsi atafuta umasikini Kwa pesa za mkopo. Hata bodi ya mkopo inatengeneza masikini siyo wasomi. Tujihadhari wandugu.
 
Nchi yangu ilitakiwa kuwa tajiri mkubwa, ila ina ujinga mwingi ikiwemo kuamini kwamba mwenge unaleta amani. Pumbavu kabisa.

Isaya 50 verse 11
 
Ili kuwepo na ustawi ni lazima nchi ikuze hali ya uchumi wa watu wake. Purchasing power lazima iongezeke. Kinyume na hapo ni stress na madeni.

Leo kuna viwanja vinauzwa kwa mkopo, kuna wafanyabiashara wanakopesha zana za ujenzi kwa riba, kuna magari ya mkopo na hamna kipato cha uhakika.

Application softwares za kukopesha mitandaoni zinachipua kama uyoga. Zote zimemlenga Mtanzania mwenye kipato cha chini. Mikopo ni kuanzia 10,000 na kuendelea, haizidi milioni.
Pia kuna simu za mkopo na vocha za mkopo, yerewiiiii....

Jichanganye ukope benki, ukope kiwanja, ukope gari, ukope vifaa vya ujenzi, ukope kwenye wakopeshaji wa mtandaoni. Imekula kwako, stress lazima zikuhusu

Hii ni hatari sana.
Hawa wanaokopesha mitandaoni nadhani wanajuta sana tabia za watz zinawanyong'onyeaha sana..
 
Kunamaeneo mawili kama ufumbuzi
1. Kila mmoja awe na bidhaa ama hudduma anauza hata kama kaajiriwa . Hilivyo wengi ni good spender

2. Kusiwe na mikono michache inayozalisha kwa kaya na midomo mingi inayokula ilihali wana uwezo wa kupangiwa kazi
Sahihi kabisa
 
Mithali 22
7 Tajiri humtawala maskini, Naye akopaye ni mtumwa wake akopeshaye.
Roho ya kukopa kopa ni Roho kamili ya SHETANI inayoendeleza umasikini. Ni Roho mbaya inayosambazwa na Marekani, ulaya, world bank na IMF Ili kuendeleza umasikini na utumwa.
Hakuna Taifa au mtu binafsi atafuta umasikini Kwa pesa za mkopo. Hata bodi ya mkopo inatengeneza masikini siyo wasomi. Tujihadhari wandugu.
Well said
 
Unamshauri Nini Mtu anayetoka Familia masikini ila yupo mjini kazaa watoto sita na Mama tofauti Ila kaamua kuishi na mke mmoja Kati ya hao aliozaa nao

Kazi yake kubwa ni bodaboda

Anakunywa sungura , energy drink anavuta embassy sigara

Anapanga chumba na sebule umri wake 40s dini muislmu mkoa singinda

Ushauri

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwanini mkoa wa singida mkuu?
 
Back
Top Bottom