Miaka michache ijayo Tanzania itaenda kuwa na watu wenye msongo mkali wa mawazo kutokana na madeni

Mithali 22
7 Tajiri humtawala maskini, Naye akopaye ni mtumwa wake akopeshaye.
Roho ya kukopa kopa ni Roho kamili ya SHETANI inayoendeleza umasikini. Ni Roho mbaya inayosambazwa na Marekani, ulaya, world bank na IMF Ili kuendeleza umasikini na utumwa.
Hakuna Taifa au mtu binafsi atafuta umasikini Kwa pesa za mkopo. Hata bodi ya mkopo inatengeneza masikini siyo wasomi. Tujihadhari wandugu.
 
Nchi yangu ilitakiwa kuwa tajiri mkubwa, ila ina ujinga mwingi ikiwemo kuamini kwamba mwenge unaleta amani. Pumbavu kabisa.

Isaya 50 verse 11
 
Hawa wanaokopesha mitandaoni nadhani wanajuta sana tabia za watz zinawanyong'onyeaha sana..
 
Kunamaeneo mawili kama ufumbuzi
1. Kila mmoja awe na bidhaa ama hudduma anauza hata kama kaajiriwa . Hilivyo wengi ni good spender

2. Kusiwe na mikono michache inayozalisha kwa kaya na midomo mingi inayokula ilihali wana uwezo wa kupangiwa kazi
Sahihi kabisa
 
Well said
 

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwanini mkoa wa singida mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…