Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Hahahaha, kuhusu hili tumemaliza.You are a coward

ukimchunguza sana bata hauwezi kumla.Kuna mama fulani wa makamo anauza genge maeneo ya karibu na mtaani kwangu. Ni mama mcheshi kiasi. Huwa napita kununua matunda kwahiyo nimezoeana nae kidogo.
Wiki kadhaa zikizozipita, wikiend moja katika kutembea tembea mtaani kwangu kusalimiana na majirani. Nikafika gengeni kwake. Nikaagiza matunda. Wakati ananifungia kuna binti alitoka nyumba ya karibu akaelekea upande wa pili wa barabara. Nikamshangaa kidogo. Tukaanza mazungumzo sasa na mama muuza matunda.
Mimi: Huyu binti ni nani, anaishi hapa mtaani?
Mama: Ndio anaishi nyumba ile pale(akinionyesha kwa kidole). Amehamia juzi juzi tu hapa mtaani. Ni mwanafunzi kapanga chumba mule ndani. Kwanini unauliza? (huku akitabasamu)
Mimi: ni binti mrembo
Mama: ni binti mrembo sana, lakini ndio hajatulia
Mimi: unamaanisha nini?
Mama: unaona ile pikipiki imepaki pale nje, ni ya boyfriend wake aliempangia chumba pale. Ana mwanaume mwingine huwa anamletaga na gari. Kuna mwingine wa tatu huwa wanakutanaga mtaa wa pili uko. Hapo yupo mbio mbio si ajabu ndio anawahi kukutana nae.
Mimi: oooh.! ana maboyfriend watatu
Mama: unajua maisha ni magumu na yeye ni mwanafunzi. Anatakiwa kulipa kodi, usafiri, kula na mahitaji yake mengine. Ni hela nyingi na mwanaume mmoja anaweza kushindwa kumtimizia mahitaji yote hayo. Nafikiri mwenyewe unaelewa.
Mimi: inaonekana unakubaliana na huo mtindo wa maisha.
Mama: unataka afanye nini, na yeye ni mtoto wa kike yupo mbali na nyumbani.
Mimi: ungekua wewe kwenye nafasi yake ungefanya hivyo?
Mama: hapana hapana hapana. Sisi wakati wetu tulikua na maadili hata maisha hayakua magumu kama sasa. Tuliishi kijamaa unaweza ukaishiwa chumvi na kwenda kuomba kwa jirani ila sasa hivi kila kitu utoe hela, ndio inachangia hawa mabinti kuishi haya maisha
Mimi: na miaka ya mbeleni kuna kijana atakuja kumuoa akiwa hajui haya yote.
Mama: ndio maisha kijana wangu. Kipya kwa mtu ni kichakavu kwa mwingine.
Nikatasamu 😀😀 na kuchukua matunda yangu. Tukaagana
Siku nyingine nikakutana na demu mmoja hivi nikiwa kaunta, akanipa story jinsi yeye na rafiki wanapata hela za kujikimu na maisha.
Kwanza alitaka kuniuzia. Nikamwambia huwa sinunua sex. Napendelea mwanamke mwenye choice, sio ambae yupo tayari kulala na mwanaume yoyote akipewa hela. Akaniomba basi nimnunulie kinywaji. Nikamwambia agiza. Akavuta kiti kirefu akakaa.
Binti: Maisha yamekua magumu sana hapa nahitaji hela ya kumalizia ada ya chuo(akanitajia hela ya ada anayodaiwa).
Mimi: Hiyo ni hela nyingi. Uliwezaje kulipa ada mpaka ulipofikia sasa hivi?
Binti: Nilivyoanza chuo nilikua na mubaba. Alikua ananilipia ada na ananipa hela ya matumizi. Mwaka wa pili tuliachana. Aligundua nilikua na mpenzi wangu. Baada ya hapo maisha yamekua magumu sana. Wanaume kwa sasa hawana hela. Ngumu kupata wa kukupa mahitaji yako yote.
Mimi: sasa ilikuaje ukaanzisha mahusiano mengine wakati tayari una mwanaune anaekuhudumia mahitaji yako.
Binti: huyo mpenzi wangu nilikua nae tangu sijakutana na huyu mubaba, na nisingeweza kumuacha kwa sababu ndie ninaempenda.
Mimi: ooh.! Kwahiyo ukaushi vipi sasa baada ya hapo?
Binti: (anaanza kwa kucheka) kuna siku rafiki angu alinipigia kuniambia amepata hela ya kulipa ada. Nikamuuliza umepata sponsor wapi uko. Akaniambia hakuna mwanaume huyo sasa hivi. Huko alipo kumer inawaka moto. Amelazimika kulala na wanaume kadhaa ili apate hela
Nikatabasamu kidogo halafu akaendelea na story.
Binti: hali sio hali yaani sasa hivi inabidi tuanze tu kuwalenga mpaka nyie waume za watu.
Mimi: umejuaje kama mimi nimeoa?
Binti: huwa tunanusa.
Nikacheka kidogo na kuangalia muda kwenye saa ya mkononi then nikainuka kwenye kiti. Tukaagana. Nikalipa bill yangu na yake. Nikamwambia achukue chenchi atapanda bodaboda akiwa anaondoka. Nikasepa.
Ulisema mfumo wa familia ulikua invented na sheria za kiserikali. Nikakutalia na kukuambia taasisi ya familia iliibuka kwa kufuata asili ya wanyama ndio maana hata tembo, simba n.k ambao hawana utashi wa kibinadamu au serikali za kuwawekea sheria na wao wanaishi katika mtindo huo huo wa kifamilia. Ndoa ndio sheria ambayo ilitungwa na mamlaka za kiutawala, lakini partnership ya mwanaume na mwanamke hiyo ni nature. Kwa sababu upo kiligi zaidi ukashindwa kukubali hapo ulipuyanga. Ukaja na kisingizio kwamba haukueleweka(kisingizio pendwa cha yule feminist mwenzio uko juu)Hakuna utetezi hapo, Statement ipo too clear.
Huko maporini mifumo haimzuii mtu kuishi kama jogoo na wapo wanaoishi kama jogoo, hiyo haimaanishi hakuna wanaoishi chini ya mwavuli wa familia. Unakataa nini hapo?
Hakuna wanaoishi kama jogoo?
Ingekua ni yeye peke ake tu tungeelewa lakini kila mtu anaejitokeza kukujibu kisingizio chako ni hajakuelewa. Halafu watu wengine tukisoma jibu ulilopewa tunaona linajitoshelezaHakuna sehemu amejibu kwa usahihi, zaidi anaingiza kejeli tu, na mtu wa aina hiyo kwangu mimi huwa namuona kama hajafika kile kiwango cha kufanya mjadala na mimi kwa kutumia hoja zenye mantiki.
Hili nilishaweka sawa kuwa either nilieleweka vibaya au katika uandishi niliskip kitu muhimu tafsiri ya nilichoandika ikabadiika. Familia haijawa inveted na sheria za serikali. Nilishatolea ufafanuzi, nilichomaanisha ni mifumo(ndoa za kidini, serkali) ipo ili kucontrolUlisema mfumo wa familia ulikua invented na sheria za kiserikali.
Wake za watu mbona wapo ambao wanaogongwa tu?Eti mwanaume kwa sababu kiasili promiscuous inaku-favor basi ndio uende tu ukagonge mke wa mtu au binti wa mtu alafu uachwe tu free haipo hiyo
Sasa unataka tuanze kuuliza mwanajf mmoja mmoja. Una tatizo mzee baba. You are not smart as your delusion tells you.Unarudia makosa yale yale, niliyokurekebisha jana.
Unapozungumzia kila mtu una maanisha nini?
Wewe na nani?
Mbona unatafuta support ya kijinga sana kijana.
Nimekupa mtihani mdogo tu jana, onyesha wapi kila mtu huwa ananipinga humu ndani, uzuri huwa nachangia karibia majukwaa yote.
Ukiandika assumption na kutaka kuwalisha watu mtazamo wako ambao hauna uhalisia wowote ni lazima utakutana tu na mimi kwenye uzi wako/comment yako.
Ni wewe na huyo mwenzako ndiyo tunapingana sana humu ndani, kwahiyo usipende kutumia neno kila mtu maana naona haujui hata maana yake.
Hujawahi nunua spea used Tandale na kufunga kwenye gari mpya?Kuna mama fulani wa makamo anauza genge maeneo ya karibu na mtaani kwangu. Ni mama mcheshi kiasi. Huwa napita kununua matunda kwahiyo nimezoeana nae kidogo.
Wiki kadhaa zikizozipita, wikiend moja katika kutembea tembea mtaani kwangu kusalimiana na majirani. Nikafika gengeni kwake. Nikaagiza matunda. Wakati ananifungia kuna binti alitoka nyumba ya karibu akaelekea upande wa pili wa barabara. Nikamshangaa kidogo. Tukaanza mazungumzo sasa na mama muuza matunda.
Mimi: Huyu binti ni nani, anaishi hapa mtaani?
Mama: Ndio anaishi nyumba ile pale(akinionyesha kwa kidole). Amehamia juzi juzi tu hapa mtaani. Ni mwanafunzi kapanga chumba mule ndani. Kwanini unauliza? (huku akitabasamu)
Mimi: ni binti mrembo
Mama: ni binti mrembo sana, lakini ndio hajatulia
Mimi: unamaanisha nini?
Mama: unaona ile pikipiki imepaki pale nje, ni ya boyfriend wake aliempangia chumba pale. Ana mwanaume mwingine huwa anamletaga na gari. Kuna mwingine wa tatu huwa wanakutanaga mtaa wa pili uko. Hapo yupo mbio mbio si ajabu ndio anawahi kukutana nae.
Mimi: oooh.! ana maboyfriend watatu
Mama: unajua maisha ni magumu na yeye ni mwanafunzi. Anatakiwa kulipa kodi, usafiri, kula na mahitaji yake mengine. Ni hela nyingi na mwanaume mmoja anaweza kushindwa kumtimizia mahitaji yote hayo. Nafikiri mwenyewe unaelewa.
Mimi: inaonekana unakubaliana na huo mtindo wa maisha.
Mama: unataka afanye nini, na yeye ni mtoto wa kike yupo mbali na nyumbani.
Mimi: ungekua wewe kwenye nafasi yake ungefanya hivyo?
Mama: hapana hapana hapana. Sisi wakati wetu tulikua na maadili hata maisha hayakua magumu kama sasa. Tuliishi kijamaa unaweza ukaishiwa chumvi na kwenda kuomba kwa jirani ila sasa hivi kila kitu utoe hela, ndio inachangia hawa mabinti kuishi haya maisha
Mimi: na miaka ya mbeleni kuna kijana atakuja kumuoa akiwa hajui haya yote.
Mama: ndio maisha kijana wangu. Kipya kwa mtu ni kichakavu kwa mwingine.
Nikatasamu 😀😀 na kuchukua matunda yangu. Tukaagana
Siku nyingine nikakutana na demu mmoja hivi nikiwa kaunta, akanipa story jinsi yeye na rafiki wanapata hela za kujikimu na maisha.
Kwanza alitaka kuniuzia. Nikamwambia huwa sinunua sex. Napendelea mwanamke mwenye choice, sio ambae yupo tayari kulala na mwanaume yoyote akipewa hela. Akaniomba basi nimnunulie kinywaji. Nikamwambia agiza. Akavuta kiti kirefu akakaa.
Binti: Maisha yamekua magumu sana hapa nahitaji hela ya kumalizia ada ya chuo(akanitajia hela ya ada anayodaiwa).
Mimi: Hiyo ni hela nyingi. Uliwezaje kulipa ada mpaka ulipofikia sasa hivi?
Binti: Nilivyoanza chuo nilikua na mubaba. Alikua ananilipia ada na ananipa hela ya matumizi. Mwaka wa pili tuliachana. Aligundua nilikua na mpenzi wangu. Baada ya hapo maisha yamekua magumu sana. Wanaume kwa sasa hawana hela. Ngumu kupata wa kukupa mahitaji yako yote.
Mimi: sasa ilikuaje ukaanzisha mahusiano mengine wakati tayari una mwanaune anaekuhudumia mahitaji yako.
Binti: huyo mpenzi wangu nilikua nae tangu sijakutana na huyu mubaba, na nisingeweza kumuacha kwa sababu ndie ninaempenda.
Mimi: ooh.! Kwahiyo ukaushi vipi sasa baada ya hapo?
Binti: (anaanza kwa kucheka) kuna siku rafiki angu alinipigia kuniambia amepata hela ya kulipa ada. Nikamuuliza umepata sponsor wapi uko. Akaniambia hakuna mwanaume huyo sasa hivi. Huko alipo kumer inawaka moto. Amelazimika kulala na wanaume kadhaa ili apate hela
Nikatabasamu kidogo halafu akaendelea na story.
Binti: hali sio hali yaani sasa hivi inabidi tuanze tu kuwalenga mpaka nyie waume za watu.
Mimi: umejuaje kama mimi nimeoa?
Binti: huwa tunanusa.
Nikacheka kidogo na kuangalia muda kwenye saa ya mkononi then nikainuka kwenye kiti. Tukaagana. Nikalipa bill yangu na yake. Nikamwambia achukue chenchi atapanda bodaboda akiwa anaondoka. Nikasepa.
MabetoAkina wozu na Azizi K