Strategist7
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 810
- 1,644
Obviously ulichoandika ndicho ulichoona lol!Hakuna ulazima wa hoja nzima kujitosheleza kwenye hoja yangu, ndiyo maana nikatumia neno "ninavyoona"
Hii hoja ungeandika wewe.
Obviously ulichoandika ndicho ulichoona lol!Hakuna ulazima wa hoja nzima kujitosheleza kwenye hoja yangu, ndiyo maana nikatumia neno "ninavyoona"
Hii hoja ungeandika wewe.
😘🫂
Mkuu unajua unachokitetea? Umesema mfumo wa kifamilia ulikua invented na sheria za kiserikali ndio jamaa akakuuliza wadudu ambao nao wanaishi kwa mfumo huo huo wa kifamilia wanalijua hilo, kwamba nao wana serikai zao zikiwawekea huo utaratibu. Ndipo unakuja kuona haupo sahihi. Mfumo wa kifamilia uliibuka kwa kufuata natural pattern ndio maana wanyama na wadudu wasiokua na ufahamu kwa sisi nao wanaishi katika mfumo wa kifamilia. Hivi hauelewi au umeamua tu kutoelewa?Usihame, hame, wadudu wa nini tena? Sema nimepuyanga wapi kwenye hiyo hoja, tujadili hoja kwa hoja.
Kwamba hata hauelewi kuwa mtu akitanguliza neno " ninachokiona" hapo anakuwa anazungumzia mtazamo wake?Obviously ulichoandika ndicho ulichoona lol!
Madogo wanataka matokeo, hawataki mchakato wa kupata hayo matokeoShida, ugumu au changamoto katika maisha ya vijana wa siku hizi ni haramu wengi wamekanyaga akili zao na kuwasha Tamaa bila kuzingatia hatua za upatikanaji wa raha tokea kwenye nyakati ngumu.
Maisha hayana tofauti na mfua Chuma ukikwepa gharama utarudi kuzilipia.
Wengi nawaona wanataka kujiachia wakiwa hawajavuka ng'ambo ...unataka ckass na bado huna jukwaa la kusimama kiwa na standard ya kukulinda kuliko Option amabzo ukikaa unajutia tu.
Mask off.
Sijasema mfumo wa familia umekuwa inveted na sheria. Nilieleweka vibaya au katika uandishi niliskip item muhimu mkanielewa vibaya.Mkuu unajua unachokitetea? Umesema mfumo wa kifamilia ulikua invented na sheria za kiserikali ndio jamaa akakuuliza wadudu ambao nao wanaishi kwa mfumo huo huo wa kifamilia wanalijua hilo, kwamba nao wana serikai zao zikiwawekea huo utaratibu. Ndipo unakuja kuona haupo sahihi. Mfumo wa kifamilia uliibuka kwa kufuata natural pattern ndio maana wanyama na wadudu wasiokua na ufahamu kwa sisi nao wanaishi katika mfumo wa kifamilia. Hivi hauelewi au umeamua tu kutoelewa?
Nani kapinga ulichoandika sio mtazamo wako? You really have some comprehension issues.Kwamba hata hauelewi kuwa mtu akitanguliza neno " ninachokiona" hapo anakuwa anazungumzia mtazamo wake?
Suala dogo kama hili nalo hujui? Utakuwa na shida mahali wewe.
Unajibiwa kwa usahihi kabisa. Shida unatarajia atakaekujibu aingie kwenye mfumo wako ili umpige KO. Ndio maana majibu yakija tofauti na mpangilio wa mbinu yako unakimbilia kusema haujaeleweka. Haiwezekani kila mtu asikuelewe wewe tu.Kila nilicho kuuliza tangu tuanze huu mjadala, hakuna ulipo nijibu directly, unakula kuona tu, unataka nikuone una hoja ili hali hauna hoja kabisa.
Mimi na wewe mwenye hilo tatizo ni nani?Nani kapinga ulichoandika sio mtazamo wako? You really have some comprehension issues.
Hakuna sehemu amejibu kwa usahihi, zaidi anaingiza kejeli tu, na mtu wa aina hiyo kwangu mimi huwa namuona kama hajafika kile kiwango cha kufanya mjadala na mimi kwa kutumia hoja zenye mantiki.Unajibiwa kwa usahihi kabisa. Shida unatarajia atakaekujibu aingie kwenye mfumo wako ili umpige KO. Ndio maana majibu yakija tofauti na mpangilio wa mbinu yako unakimbilia kusema haujaeleweka. Haiwezekani kila mtu asikuelewe wewe tu.
You sound desperate. Hebu twende hatua kwa hatua, wapi nimeandika kwamba ulichoandika wewe sio mtazamo wako?Mimi na wewe mwenye hilo tatizo ni nani?
Au ndio ukiwa kichaa kila mtu unamuona ni kichaa mwenzako?
Umereply hoja yangu, nikakujibu kuwa ndiyo maana nilitumia neno linaloonyesha huo ni mtazamo wangu, unarudi tena kujibu sijui ujinga gani, hauoni kama unaonekana ni mjinga hapa?
Unarudia makosa yale yale, niliyokurekebisha jana.Haiwezekani kila mtu asikuelewe wewe tu.
Duh, soma reply yako ya mara ya pili umejibu nini halafu rudi hapa kuniambia ulimaanisha nini?You sound desperate. Hebu twende hatua kwa hatua, wapi nimeandika kwamba ulichoandika wewe sio mtazamo wako?
Hahaha. Yaani utoe tuhuma wewe halafu utake wengine wathibitishe? With all due respect, uwezo wako wa kuelewa maandishi ni mdogo sana mkuu. I repeat, again, you have comprehension issues.Duh, soma reply yako ya mara ya pili umejibu nini halafu rudi hapa kuniambia ulimaanisha nini?
Ndoa ni sheria ilikua invented na binadamu. Lakini nature haitambui ndoa inatambua tu mwanaume na mwanamke kama partner.Kwanini zinatambua ndoa? Hapa ndo hoja ilipo, kwanini zisitambue wanawake tu weengi kadri mwanaume anavyotaka bila ndoa. Ndo control ninayosema sasa. Mifumo ya access na udhibiti ambayo inaendelea kutelekezwa taratibu. Sasa hivi watu wanazaa tu na yoyote sio lazima waishi chini ya mwavuli wa ndoa.
Hiyo ni polygamy. Wewe ulisema familia nyingi nafikiri hiyo ni extemded family. Kuna tofauti ya wake wengi na familia nyingiUmiliki wa wanawake wengi.
Asili ya sheria ni kumlinda mnyonge. Kuzitumia hili kumtawala binadamu ni madhumuni ambayo ambayo yaliibuka baadae sana kwa masilahi ya tabaka tawala, hayakua lengo la ku-invent sheria kuanzia mwanzo.Sheria zipo ili kucontrol, binadamu atawalike.
Sina haja ya kurudia kusoma , chochote na haitabadili chochote wewe kuongea haya.Hahaha. Yaani utoe tuhuma wewe halafu utake wengine wathibitishe? With all due respect, uwezo wako wa kuelewa maandishi ni mdogo sana mkuu. I repeat, again, you have comprehension issues.
Sawa, kwa hiyo tumekubaliana kwamba wanaume sisi kiasili tunapenda kufanya ngono na mwanamke zaidi ya mmoja au la?Ndoa ni sheria ilikua invented na binadamu. Lakini nature haitambui ndoa inatambua tu mwanaume na mwanamke kama partner.
Dhana ya mwanaume kuweza kuwa na partners wengi wa kike chimbuko lake ni asili. Mwanaume na mwanamke wakiishi maisha ya promiscuous, ni mwanamke ndie atakutana na consequences mbaya zaidi.
Kuna suala la kibailojia pia mwanamke ana changamoto nyingi linapokuja suala la sex mfano hedhi, mabadiliko ya homoni, ujauzito n.k tofauti na mwanaume ambae yupo active 24hrs/day. 30days/month. 365 days/year.
Ukiongelea tamaa tu ya kuzini ya kuzini baina ya mwanaume na mwanamke ilo ni suala binafsi kiasili alipodetemined by nature. Lakini ukija kwenye consequences zake hapo ndipo kuna nature maana promiscuous inamkatili zaidi mwanamke. Ndio natural pattern ikawezesha suala la mwanaumenkuwa na partners wengi tofauti na upande. Hiyo sio sheria ambayo ikiwekwa na serikali ni suala ambalo liliibuka kwa kufuata asili yetu kimaumbile
Hiyo ni polygamy. Wewe ulisema familia nyingi nafikiri hiyo ni extemded family. Kuna tofauti ya wake wengi na familia nyingi
Asili ya sheria ni kumlinda mnyonge. Kuzitumia hili kumtawala binadamu ni madhumuni ambayo ambayo yaliibuka baadae sana kwa masilahi ya tabaka tawala, hayakua lengo la ku-invent sheria kuanzia mwanzo.
You are a moron. Get lost!Sina haja ya kurudia kusoma , chochote na haitabadili chochote wewe kuongea haya.
Labda ulihitaji nini kwenye hoja yangu?
Okay, umejisikia vizuri sasa?You are a moron. Get lost!