Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Atajitwalia udokta si muda.Yap, ni zaidi ya 'Aliyeonja Pepo' by Farouk Topan.
Atajitwalia udokta si muda.Yap, ni zaidi ya 'Aliyeonja Pepo' by Farouk Topan.
Wewe hujielewagi kuwa hujui kitu na kingine huwa mnakuja kutetea vitu vya kijinga sana humu in the cave of huo ujinga wa psychology.... Nimekwambia hata bubu na kiziwi anajua kutomba. Wewe bado huelewi sasa nikusaidie nini? Unafikiri kila mtu ata but kwa ujinga wenu huu?Hauna hoja , pumzika sasa.
Hapa sasa ndiyo umedhihirisha ni kwa namna gani umejaa ujinga kichwani.Wewe hujielewagi kuwa hujui kitu na kingine huwa mnakuja kutetea vitu vya kijinga sana humu in the cave of huo ujinga wa psychology.... Nimekwambia hata bubu na kiziwi anajua kutomba. Wewe bado huelewi sasa nikusaidie nini? Unafikiri kila mtu ata but kwa ujinga wenu huu?
You guys are so dumb huwa tunawaacha because tu naona ni ujinga kubishana na wapuuzi
Usihame, hame, wadudu wa nini tena? Sema nimepuyanga wapi kwenye hiyo hoja, tujadili hoja kwa hoja.Mkuu acha kupuyanga
Wanyama na wadudu wanalijua hilo?
Sasa wewe nianze kukuelezea natural insticts? Nitakuwa sina akili sasa. Yaani nikuelezee kwanini mwanaume anapenda dominance na mwanamke anapenda dominant male?Hapa sasa ndiyo umedhihirisha ni kwa namna gani umejaa ujinga kichwani.
Pole sana.
Hana hoja huyo unapoteza muda tu kumuelewesha.Usihame, hame, wadudu wa nini tena? Sema nimepuyanga wapi kwenye hiyo hoja, tujadili hoja kwa hoja.
Sasa hizo si ndio assumptions zenyewe ulipinga mimi kuzitumia. Lengo sio kutafuta mshindi, lengo ni kupata kwanza reactions za wanawake wenyewe. Halafu mjadala mpya uanzie hapoSijaogopa utafiti, na sijakataa kwamba ufanyike, nimehoji tu nini kikitokea kitatoa hitimisho kuwa wewe upo sahihi, au mimi ndo nipo sahihi?
Je, wanawake wakipinga bila exception wewe ndo utakuwa sahihi?
Au pakitokea wanaokubali hata kama wengi wamepinga nitakuwa sahihi?
Tukikubaliana hapa, tunafanya utafiti wetu uchwara.
Kila nilicho kuuliza tangu tuanze huu mjadala, hakuna ulipo nijibu directly, unakula kuona tu, unataka nikuone una hoja ili hali hauna hoja kabisa.Sasa wewe nianze kukuelezea natural insticts? Nitakuwa sina akili sasa. Yaani nikuelezee kwanini mwanaume anapenda dominance na mwanamke anapenda dominant male?
Heri unipeleke jela au nizalishe nilee bai langu.Mambo ni mawili, tuoe malaya au single mother 😂
Basi subiri mwongozo kutoka mbinguni sawa. Akupe direction namna ya kudindisha maana unaonekana unapenda mwongozo kwenye kila kituKila nilicho kuuliza tangu tuanze huu mjadala, hakuna ulipo nijibu directly, unakula kuona tu, unataka nikuone una hoja ili hali hauna hoja kabisa.
Kwanini zinatambua ndoa? Hapa ndo hoja ilipo, kwanini zisitambue wanawake tu weengi kadri mwanaume anavyotaka bila ndoa. Ndo control ninayosema sasa. Mifumo ya access na udhibiti ambayo inaendelea kutelekezwa taratibu. Sasa hivi watu wanazaa tu na yoyote sio lazima waishi chini ya mwavuli wa ndoa.Katika hiyo mifumo ya dini, kijamii na serikali ni hapo kwenye dini tu ndio kuna kipengere cha mume mmoja mke mmoja napo ni dini ya kikristo. Mifumo ya kiserikali, jamii, utamaduni na uislamu inatambua ndoa ya wake wengi
Umiliki wa wanawake wengi.Tunaongelea familia nyingi au wake wengi? Unajua vizuri polygamy?
Sheria zipo ili kucontrol, binadamu atawalike. Ok, maybe neno Familia nimelitumia vibaya, tuseme umiliki wa wanawake, kufanya ngono na kuzaa na wanawake wengi.Sheria zinawekwa kumlinda mnyonge, ndio maana hata sheria za ndoa ukiziangalia kwa ukaribu unaona zinamlinda zaidi mwanamke. Lakini sheria za kiserikali haziku-invent mfumo wa familia kama madai yako ya hawali. Mtindo wa maisha ya familia ulijiinua wenyewe kwa kufuata natural pattern that's hata hizo sheria zinatambua tamaduni na nature vitu ambavyo vilikuwepo kabla sheria hazijaundwa. Kwahiyo sheria haija-invent nature, ni nature ndio ime-invent sheria
Ni hilo tu umeona? Mbona yapo mengi: tamaa, kukosekana maadili, kutokujali, kukosa upeo wa kufikiri etc.Ninachokiona kwenye hii simulizi ni tatizo la mfumo wa kiuchumi kushindwa kuwapa vijana ajira na fursa za kujiingizia kipato.
Hakuna ulazima wa hoja nzima kujitosheleza kwenye hoja yangu, ndiyo maana nikatumia neno "ninavyoona"Ni hilo tu umeona? Mbona yapo mengi: tamaa, kukosekana maadili, kutokujali, kukosa upeo wa kufikiri etc.
Sasa reaction za wanawake wa kisasa walio wengi si zipo wazi, wengi wanataka pesa ya wanaume, watapinga hoja. Kundi la Malaya likatae pesa? Hii haikuwa hoja yangu.Sasa hizo si ndio assumptions zenyewe ulipinga mimi kuzitumia. Lengo sio kutafuta mshindi, lengo ni kupata kwanza reactions za wanawake wenyewe. Halafu mjadala mpya uanzie hapo
Love u 2 baby girl ShesRise_1 🥰🥰🥰🥰Hivi umejuaje kama nina komwe diha 🙆♂️🤣🤣🤣🤣
Wow thanks darling 😘
Tupendane wenyewe si unaona tuna undiwa vikao kila siku?
Muhumu kila mwanamke ana jijua mwenyewe anajua dhamira yake
Huenda 👇
Tumeanguka mara nyingi
Tumeumizwa pengine
Tumekosea uchaguzi na mengine mengi lakini la muhimu ni tujue tu thamani yetu bila kukubali negative za baadhi ya wanaume waliojawa ubnafsi zitufanye tujisikie dhalili
Love uuu🥰 shibela
Hakuna aliesema kuna tatizoSasa kama atakuwa kahaba mstaafu tatizo lipo wapi.
kama msafi ana past basi mchafu nae ana future.
Jamaa anajua kuandika kuliko hata Chachage Seithy Chachage.Atajitwalia udokta si muda.
Kumbe huwajui watembeza matunda eeeh!!Ufuska mara nyingi ni akili ya mtu tu mkuu wala sio kipato.
Kuna mademu wanatembeza hata matunda mjini ukiwaona ni heri hawa kuliko wa "nakuja ila nadaiwa hela ya kikoba"