Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Onyesha ni hoja gani niliyo iandika ni ya kidogma na uonyeshe kwa nini?Hauwezi kuelewa bado uko kwenye mfumo wa dogma.
Leo muda upo mwingi sana.
Onyesha ni hoja gani niliyo iandika ni ya kidogma na uonyeshe kwa nini?Hauwezi kuelewa bado uko kwenye mfumo wa dogma.
Am not here to play with words nimefanya sana nilicho waambie I wacheni kukamata philosophy na psychological terms.. Fanyeni connections na natural biological instincts hizo hizo ulizo sema hazina words efficient kuzi describe majibu yatakuja automaticallyNimefuata context uliyo iweka, tatizo lililopo ni hitimisho unalotoa kutoka kwenye hiyo context.
Wewe mwenyewe unatumia maneno kama traits ,masculinity, femininity na instincts, haya yote ni dhana zinazochunguzwa na taaluma kama biology, ethology na psychology, au haujui ?
Elewa kuwa natural instincts zinaelezea kile kilichopo siyo kile kinachopaswa kufanywa, ukijua hili wala hautobishana hovyo hovyo.
Kwahiyo wewe bado unaendelea kutoa madai ambayo haujaonyesha popote pale logical connection inayofanya hitimisho lako lionekane limetokana na premise ulizoziweka.
Mkuu siko hapa kuprove kitu kilicho wazi na kama wewe ndo mindset yako hiyo sipo kucheza Cheza na ujinga wa explanation because it leads no where.Onyesha ni hoja gani niliyo iandika ni ya kidogma na uonyeshe kwa nini?
Leo muda upo mwingi sana.
Hakika, the worst is yet to come. Mkuu nimependa ulivyo-connect dot ukaja na hitimisho tofauti na nililowazia, yaani mimi nikifikiri madogo wataoa makahaba wastaafu wewe umekuja na wazo jipya kwamba hao waoaji na waolewaji hawatakuwepo kabisa.Mama anaonekana ajasoma ni genius l amekujibu kama mwandishi wa Project... Ameanza kukuelea problem (Swala la kiuchumi, Umalaya na Maradhi ). Akaja kukuelezea wapi tulipotokea (Tradition and Customs) akamaliza. Wewe na Yeye Solution ikawa hamna. Wewe ukaja na Impact (Wanaume wataoa Malaya). Hitimisho, Uhalisia hao wakuoa hawatakuwepo kwasababu Uchumi utakuwa umewapiga vibaya mno, Hao unawaita wakuoa si wajinga wanaona nini kinachoendelea sasa. Hawawezi kukubaliana na mfumo wa Mahari wa sasa "TOO MUCH MONEY" product zenyewe mbovu, Single Mlther watakuwa wengi, Mashoga watakuwa kama washikazi wa Masela.
Una elewa vizuri tuEmbu andika kwa kiswahili. Si unakijua? Hizo terminology unazitumia kama kichaka, toka hapo kichakani.
Haya, mimi na wewe hatuelewani wapi linapokuja suala la mwanamke?
Kitu kinachoonekana wazi kwako kinaweza kisiwe wazi kwa mtu mwingine, ndiyo maana hoja inapaswa kujengwa kwa kueleza sababu, siyo tu kwa kudhani ety kila mtu ataona hitimisho lilelile.Wote mimi na Natafuta Ajira tumesha weka bayana awali turudi nini tena...
Angalia kila kitu katika uhalisia wa natural bodily instincts and polarities... Jibu liko wazi kabisa... Hapo ndo utaona kuwa dogma ya psychology ni ujinga ambao unawakumba wengi na ni ngumu kutoka
That's it haihitaji nifafanue zaidi
Mara ya kwanza nasoma Rosa Mistika, nilihisi Kezilahabi kama alikuwa time traveler, namna alivyoandika unaweza fikiri ni mwaka 2026Ni kujidanganya kwamba haya mambo yameanza leo. Kwa sisi tuliokaa na wasichana hostel enzi hizo, mambo hayo sio mageni kwa wanawake wa vyuoni, hayajaanza leo. Kichwa cha habari ilipaswa kuwa kuna baadhi ya wanaume uoa makahaba.
Unarudi kwenye kichaka chako cha maneno ya kingereza. Au tuamie kingereza?Una elewa vizuri tu
Nilikwambia uprove hiyo dominance ya mwanaume ukakimbia
Kwa sababu huna hoja unataka tu play na ujinga wa explanation kupoteza muda
So simpleKitu kinachoonekana wazi kwako kinaweza kisiwe wazi kwa mtu mwingine, ndiyo maana hoja inapaswa kujengwa kwa kueleza sababu, siyo tu kwa kudhani ety kila mtu ataona hitimisho lilelile.
Unaweza kutuambia ni kwa hatua gani hasa kutoka kwenye hizo instincts unafikia conclusion yako?
Halafu kama kuna sehemu psychology imekosea, ni rahisi tu, onyesha ushahidi unaopingana na hiyo sehemu.
Mijadala ya aina hii huwa inataka mtu aonyeshe connection kati ya premise na conclusion, siyo kututangazia tu kwamba jibu lipo wazi.
Mkuu hujui?Unarudi kwenye kichaka chako cha maneno ya kingereza. Au tuamie kingereza?
Swali ni jepesi.
Linapokuja suala la mwanamke, mimi na wewe tunatofautiana wapi?
Nimeelewa unachokipinga kwamba mimi nafanya general assumptions lakini kwenye uhalisia kuna exceptions. Ndio maana mimi nikasema basi badala ya kufanya assumptions tufanye utafitu wetu mdogo. Tuachane na generalization ninayofanya mimi. Tuachane na exception unayoitetea wewe. Twende kwenye utafiti. Sijaelewa kwanini unaogopa utafiti wakati.Umejificha kwenye kichaka cha "wanawake watakataa" wakati hiyo siyo hoja. Hoja ni generalization ya hao wanaokataa kuwakilisha wanawake wote duniani.
Inaonekana hujajua ninachokupinga.
Unadharau maneno, wakati maneno ndiyo zana tunayotumia kuelezea na kupima ukweli.Am not here to play with words nimefanya sana nilicho waambie I wacheni kukamata philosophy na psychological terms.. Fanyeni connections na natural biological instincts hizo hizo ulizo sema hazina words efficient kuzi describe majibu yatakuja automatically
Huu ujinga wa maneno ni mbaya na huwa una sababisha kuandika paragraphs zisizo na maana. Hatutafuti ukweli ila tuna rudi kwenye ukweli
Periodt
Hahaha. Unakatika sana.Mkuu hujui?
Tuko different both physically, and biologically hasa hasa.
Na tofauti hiyo ina affect other aspects mpaka namna tunavyo perceive things emotionally.
Sasa vyote hivi ulikuwa hujui?
You are a walking zombie mkuu sitaniiUnadharau maneno, wakati maneno ndiyo zana tunayotumia kuelezea na kupima ukweli.
Hatuwezi kujadili natural biological instincts bila kutumia concepts na definitions, hata biology yenyewe ina maneno maalum inayotumia kuelezea vitu vinavyotokea mwilini na kwenye tabia.
Hauoni kama tusipokuwa na lugha sahihi, kila mtu anaweza kuelewa neno lilelile kwa maana tofauti na mwisho tunakuwa tunajadili vitu viwili tofauti hapa?
Suala la jibu kuja automatically ni assumption, ndiyo maana tunahitaji reasoning na evidence kuonyesha ni nani anaeleza vizuri zaidi.
Unachokiona wewe kuwa kiko wazi ndicho kinacho hitaji kuchunguzwa zaidi.Mkuu siko hapa kuprove kitu kilicho wazi na kama wewe ndo mindset yako hiyo sipo kucheza Cheza na ujinga wa explanation because it leads no where.
Nilisha uka kwenye hayo mambo kitambo. Kila kitu kiko wazi wanyama wanakuzidi akili kama Unashindwa kuona na kuhisi
Listen hapa umeuliza swali nimejibu kwa namna ya ku kuonesha tofauti mama.Hahaha. Unakatika sana.
Sasa ukikaa kwenye hicho kichaka cha phyisically, biologically unadhani huonekani?
Kwa ufupi inawezekana hujui unachopinga ni nini, hujui unapingwa hoja gani, yaani umevurugika.
Sijaogopa utafiti, na sijakataa kwamba ufanyike, nimehoji tu nini kikitokea kitatoa hitimisho kuwa wewe upo sahihi, au mimi ndo nipo sahihi?Nimeelewa unachokipinga kwamba mimi nafanya general assumptions lakini kwenye uhalisia kuna exceptions. Ndio maana mimi nikasema basi badala ya kufanya assumptions tufanye utafitu wetu mdogo. Tuachane na generalization ninayofanya mimi. Tuachane na exception unayoitetea wewe. Twende kwenye utafiti. Sijaelewa kwanini unaogopa utafiti wakati.
Maana hata tukisema jf sio population ya wanawake wote kwaiyo hatuwezi kupata accurate data. Bado hiyo inaweza kutengua hata assumptions zangu ulizosema nimezifanya kufikia hitimisho kwahiyo hata mimi nilitakiwa kuogopa utafiti. Bado sielewi kwanini ni wewe tu ndio unaogopa utafiti.
Kama psychology inaweza kuprogramu akili ya binadamu, hiyo programming inaingiaje?So simple
Instincts are real, psychology is programmable.
Nadhani umeelewa sio programming ya computer ila maana ni ile ile.
Unaposema mimi napinga, napinga nini?Listen hapa umeuliza swali nimejibu kwa namna ya ku kuonesha tofauti mama.
Wewe mpk now unapinga tu huleti uthibitisho wa kiuhalisia unajitekenya na kutafta closure kwa wengine and that's insane tu.
If bado huleti uthibitisho wa physical dominance ya mwanamke ambayo nilitaka uniweke, then bora tuishie hapo.
You've nothing meaningful
Kama psychology inaweza kuprogramu akili ya binadamu, hiyo programming inaingiaje?
Inafanya kazi kwa sababu hakuna instincts, au kwa sababu instincts zipo lakini binadamu ana uwezo wa kujifunza na kubadilika?