Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Kuwa polygamist is a choice...
Ila asili mwanaume akiwa na wengi. Tunajua hili for reproduction na kujazana humu. Na kwa wanyama vivyo hivyo
kuchagua kutokuwa polygamist kwa sababu ya ndoa, mifumo ya serikali au sababu yoyote hakufuti asili yako kuwa wewe ni polygamist by nature.

Mapadri nature yao ya kuwa rijali imefutika sababu wamechagua kutokufanya ngono?
 
Like Wth yaani nianze kufafanua term ya kingereza?
Kwa taarifa yako we can't draw meaning from a single word. Huwa tunasoma hoja na kuelewa kwanza. Au hujui katika lugha kuna context?
Context huwa haiondoi umuhimu wa kufafanua neno ambalo ndilo msingi wa hoja yako.

Neno dominance lina maana tofauti kulingana na context. Linaweza kumaanisha physical dominance, social dominance, leadership, authority, status, aggression au decision making.

Ukisema dominance is masculine bila kubainisha unamaanisha ipi, hapa unakuwa unachekesha.

Ninataka nijibu hoja yako kwa maana uliyoikusudia wewe.

Hauelewi nini?
 
Onyesha uhusiano wa kimantiki kati ya instinct na madai yako, mbona ni rahisi tu, hauelewi nini?

Kama unaona nadharia fulani imekosewa, itaje na uonyeshe imekosewa wapi?

Kifupi thibitisha madai yako. Hoja hupimwa kwa ushahidi.

Mwisho kuwaita watu majina ya hovyo, wewe ndiyo unaonekana ni mjinga na usiye na akili timamu.
Sija mwita mtu majina mabaya ila kile wanacho dai ni sawa ndo nakipinga maana naona hawatumii vizuri ufahamu walopewa

Actually majibu yote ya kukosoa hizo hoja zenu yapo awali na kila nyuzi huwa Narudia kitu kile kile.. Mimi sio mtu wa kupuyanga na kutaka niongee kinadharia zaidi.

It's short, direct and very clear... Natafuta Ajira huwa anajitahidi sana ila. Bado hamuelewi
 
Sio wote ila kwa sasa hali ni mbaya sana kwa mabinti walio wengi. Juzi kanicheki binti mmoja wa chuo x, nilishawahi kutuma maombi ila haeleweki basi nami nikaamua kumpotezea ila hiyo juzi anaomba nimsaidie ada kama 600K na yupo tayari kufanya lolote lile. Sijataka kutumia shida yake kama fursa ila najua kuna watakaoitumia kwasababu najua kwenye hiyo list ya maombi sipo peke yangu.
Sio wote hapo Yes
 
Context huwa haiondoi umuhimu wa kufafanua neno ambalo ndilo msingi wa hoja yako.

Neno dominance lina maana tofauti kulingana na context. Linaweza kumaanisha physical dominance, social dominance, leadership, authority, status, aggression au decision making.

Ukisema dominance is masculine bila kubainisha unamaanisha ipi, hapa unakuwa inachekesha.

Ninataka nijibu hoja yako kwa maana uliyoikusudia wewe.

Hauelewi nini?
Listen mkuu nimechukulia context kubwa na mama Wacha kuintroduce psychological terms hapa kama kawaida zenu

Kila kiumbe kuna Masculine na feminine traits... Ila tunajua fika male kapewa masculinity kwa wingi, female kapewa femininity kwa wingi.. Unalifahamu hilo sio?

Wacha kuplay the game of the mind, it's stupid Narudia utapoteza muda kurudia rudia weka kila neno kutokana na context ya natural instincts na hauta potea
 
Bado hujashangaa. Fanya tafiti, mifumo ya ndoa mwanamke mmoja, mwanaume mmoja kwa mwanadamu iliingiaje kwenye sheria za mwanadamu.
Unajua maana ya ndoa? au wewe ukisikia ndoa akili yako imejifunga kwenye ya kikristo tu. Haujui kuna ndoa za kiislamu na tamaduni zinaruhusu wake wengi.

Ndoa kama sheria ambayo ipo regulated na serikali ilikuja kutungwa baadae sana wakati ambao binadamu wameshaanza kuishi kama familia. Ndio maana sheria ya ndoa inafuata utamaduni mfano kwenye mirathi lazima iangaliwe kwanza mwenye mali aliishi maisha ya kitamaduni au ya kisasa then mali zitagawanywa kulingana na aina ya maisha aliyoishi mfano kwenye kesi ya mirsfhi ya hayati mengi baada ya klyn kupeleka mahakamani wosia wa mchongo kudai kwamba yeye ndie mmiliki wa kila kitu. Mahakama kabla ya kuanza kuuchambua wosia iliangalia kwanza mengi alikua anaishi katika misingi ya kitamaduni au ya kisasa. Ikaonekana usasa ndio ulitawala zaid maisha yake ndipo wosia ukaanza kuchambuliwa sasa.

Kwaiyo unaona hata hiyo sheria ya ndoa bado inafanya kwenye kwa kufuata natural pattern, sio kwamba eti zilitungwa kama kitu kipya ambacho akikuwepo kabisa kabla. Kwahiyo mtindo wa wanyama na binadamu kuishi kama familia ni nature. Haukua invented na mifumo ya kiserikali
 
Sija mwita mtu majina mabaya ila kile wanacho dai ni sawa ndo nakipinga maana naona hawatumii vizuri ufahamu walopewa

Actually majibu yote ya kukosoa hizo hoja zenu yapo awali na kila nyuzi huwa Narudia kitu kile kile.. Mimi sio mtu wa kupuyanga na kutaka niongee kinadharia zaidi.

It's short, direct and very clear... Natafuta Ajira huwa anajitahidi sana ila. Bado hamuelewi
Unadhani hatuelewi wapi? Embu kwa maneno machache sana, tuambie. Wapi ambapo tunapatetea ambapo unapapinga. Kwa maneno machache sana.
 
Unadhani hatuelewi wapi? Embu kwa maneno machache sana, tuambie. Wapi ambapo tunapatetea ambapo unapapinga. Kwa maneno machache sana.
Wote mimi na Natafuta Ajira tumesha weka bayana awali turudi nini tena...

Angalia kila kitu katika uhalisia wa natural bodily instincts and polarities... Jibu liko wazi kabisa... Hapo ndo utaona kuwa dogma ya psychology ni ujinga ambao unawakumba wengi na ni ngumu kutoka

That's it haihitaji nifafanue zaidi
 
Sija mwita mtu majina mabaya ila kile wanacho dai ni sawa ndo nakipinga maana naona hawatumii vizuri ufahamu walopewa

Actually majibu yote ya kukosoa hizo hoja zenu yapo awali na kila nyuzi huwa Narudia kitu kile kile.. Mimi sio mtu wa kupuyanga na kutaka niongee kinadharia zaidi.

It's short, direct and very clear... Natafuta Ajira huwa anajitahidi sana ila. Bado hamuelewi
Unapotengeneza hitimisho kuhusu nature, dominance au tabia za binadamu, hapo una kuwa ni kama umetoa theory kuhusu jinsi dunia inavyofanya kazi, swali linabaki ni kama hiyo theory ina ushahidi na mantiki ya kutosha, ndiyo maana kuna kupinga hoja na kukubali hoja.

Napingana na maelezo yako kwa sababu hayajathibitisha hitimisho unalotaka yafikie.
 
Hauwezi kuelewa bado uko kwenye mfumo wa dogma.
 
Unajua maana ya ndoa? au wewe ukisikia ndoa akili yako imejifunga kwenye ya kikristo tu. Haujui kuna ndoa za kiislamu na tamaduni zinaruhusu wake wengi.
Nani kakwambia nimesema ukristo? Embu onyesha kwanza niliposema ukristo kabla hatujaendelea. Nimesema mifumo ya serikali, dini na jamii. Unataka kuanzisha mjadala mwingine tena.
Ndoa kama sheria ambayo ipo regulated na serikali ilikuja kutungwa baadae sana wakati ambao binadamu wameshaanza kuishi kama familia.
Kuishi kama familia hakukumbana mwanaume kuwa na familia nyingi, wanawake wengi. Mifumo ndo ilimbana. Kasome social history.
Ndio maana sheria ya ndoa inafuata utamaduni mfano kwenye mirathi lazima iangaliwe kwanza mwenye mali aliishi maisha ya kitamaduni au ya kisasa then mali zitagawanywa kulingana na aina ya maisha aliyoishi mfano kwenye kesi ya mirsfhi ya hayati mengi baada ya klyn kupeleka mahakamani wosia wa mchongo kudai kwamba yeye ndie mmiliki wa kila kitu. Mahakama kabla ya kuanza kuuchambua wosia iliangalia kwanza mengi alikua anaishi katika misingi ya kitamaduni au ya kisasa. Ikaonekana usasa ndio ulitawala zaid maisha yake ndipo wosia ukaanza kuchambuliwa sasa.

Kwaiyo unaona hata hiyo sheria ya ndoa bado inafanya kwenye kwa kufuata natural pattern, sio kwamba eti zilitungwa kama kitu kipya ambacho akikuwepo kabisa kabla. Kwahiyo mtindo wa wanyama na binadamu kuishi kama familia ni nature. Haukua invented na mifumo ya kiserikali

Hakuna sehemu nimesema mwanadamu sio social being, nimesema mwadamu aliwekewa mifumo ya limitation katika mwavuli wa famila ili kuwa na access na aweze kutawalika. Sasa hivi serikali haziitaji hilo ili kumcontrol mwanadamu.
 
Wote mimi na Natafuta Ajira tumesha weka bayana awali turudi nini tena...

Angalia kila kitu katika uhalisia wa natural bodily instincts and polarities... Jibu liko wazi kabisa... Hapo ndo utaona kuwa dogma ya psychology ni ujinga ambao unawakumba wengi na ni ngumu kutoka

That's it haihitaji nifafanue zaidi
Embu andika kwa kiswahili. Si unakijua? Hizo terminology unazitumia kama kichaka, toka hapo kichakani.

Haya, mimi na wewe hatuelewani wapi linapokuja suala la mwanamke?
 
Ukitulizaga komwe Huwa unapiga spana za maana Sana🤓🤓🤓🤓🤓
Toka Jana nakuona unapiga spana nzito nzito😀😀😀😀
Hivi umejuaje kama nina komwe diha 🙆‍♂️🤣🤣🤣🤣
Gooo baby girl Wa dada WA JF tutakulinda kwa wivu mkubwa Sana🥰🥰🥰🥰🥰
Wow thanks darling 😘
Tupendane wenyewe si unaona tuna undiwa vikao kila siku?

Muhumu kila mwanamke ana jijua mwenyewe anajua dhamira yake
Huenda 👇
Tumeanguka mara nyingi
Tumeumizwa pengine
Tumekosea uchaguzi na mengine mengi lakini la muhimu ni tujue tu thamani yetu bila kukubali negative za baadhi ya wanaume waliojawa ubnafsi zitufanye tujisikie dhalili

Love uuu🥰 shibela
 
Listen mkuu nimechukulia context kubwa na mama Wacha kuintroduce psychological terms hapa kama kawaida zenu

Kila kiumbe kuna Masculine na feminine traits... Ila tunajua fika male kapewa masculinity kwa wingi, female kapewa femininity kwa wingi.. Unalifahamu hilo sio?

Wacha kuplay the game of the mind, it's stupid Narudia utapoteza muda kurudia rudia weka kila neno kutokana na context ya natural instincts na hauta potea
Nimefuata context uliyo iweka, tatizo lililopo ni hitimisho unalotoa kutoka kwenye hiyo context.

Wewe mwenyewe unatumia maneno kama traits ,masculinity, femininity na instincts, haya yote ni dhana zinazochunguzwa na taaluma kama biology, ethology na psychology, au haujui ?

Elewa kuwa natural instincts zinaelezea kile kilichopo siyo kile kinachopaswa kufanywa, ukijua hili wala hautobishana hovyo hovyo.

Kwahiyo wewe bado unaendelea kutoa madai ambayo haujaonyesha popote pale logical connection inayofanya hitimisho lako lionekane limetokana na premise ulizoziweka.
 
Back
Top Bottom