Kuna kitu kimoja tunakipuuza but ndo mhimili mzima wa kinachoendelea duniani sasa.
vijana wa kiume Africa bado wanaamini concept ya kuwa na mwanamke ambaye atakuwa wake tu, kazi ambayo ni ngumu sababu hawafuatilii sababu halisi ni kwanini mwanamke tangu zamani yeye ndo anakuwa na mwanaume mmoja.
Nature haimlazimishi mwanamke kuwa na mahusiano na mwanaume mmoja. Mifumo ndiyo ilitaka mwanamke awe na mwanaume mmoja atakayetunzwa na mwanaume. "FAMILY"
Hii mifumo ina chanzo, zamani mahusiano yalikuwa ni identity kama NIDA sasa hivi. Ilibidi iwe hivyo kwa ajili ya ACCESS na ili binadamu atawalike, huwezi mtawala mtu ambaye hana identity so mifumo ya kiutawala ikaja na mahusiano ya mwanamke kuwa na mwanaume mmoja na ikiwezekana abebe jina lake. "FAMILY"
Ukimtafuta Mr, X unamtambua kama mume wa fulani na fulani, mwenye watoto fulani na fulani, au mke wa fulani, mama wa fulani na fulani. Then, unapata access yake. Ilikuwa ni lazima huu mfumo ukubalike kijamii, kimaadili na kiserikali ili access iwepo na binadamu atawalike. So serikali, dini, na mifumo yote ya control ikabrand mahusiano katika picha hiyo na elimu ikatolewa vizazi na vizazi mpaka ikaingia kwenye damu.
Sasa hivi, Tech inakua kwa kasi, serikali zimekuwa kubwa, haziitaji sana familia ili kuwa na control ya watu wake, watu nao ni wengi, so serikali zimepuuza mfumo wa family zikawachia taasisi za dini na jamii kupitia wazazi, ndugu, majirani n.k.
Sasa taratibu women wanatoka kwenye shadow ya sex with one man anayeitwa mume na mifumo ya kiutawala haiwalazimishi sana kuwa huko japo kuna visheria uchwara but havizingatiwi, halafu taratibu ile control ya dini inapungua nguvu.
Then what do you excpect kwa binti anayezaliwa leo, au atakaye zaliwa kesho linapokuja suala la vipaumbele vyake vya kimahusiano? Atastick na old system inayopotea kama hakuna central contol?
Ukijumlisha nature calls, uchumi na matamanio ya mwanaume new normal ya mahusiano taratibu itapuuza previous body count kadri muda unavyokwenda and nothing can be done unless mifumo ije na udhibiti.